Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

Nani aliandika Bibilia?Ukoloni mambo leo!
 
Haya ni maelezo yako au aya !? Ukiandika aya una 'quote' sio kutoa maoni.
 
Hivi madhambi ufanye wewe then yesu akubebee hahahaaaa huu uokozi wa dhambi siufahamu kwa hawa jamaaa
Hayo ni zamani za Yesu
Sio sasa
Binadamu ni watu wa makosa tu
Yesu alituonya kuhusu dhambi na akasema kama watu hawataacha dhambi basi hukumu yake itakuwa ya haki kwa kuwa amekwisha sema
Ndio maana anatupa nafasi ya kuyajutia makosa yetu na kuyaacha
 
Sawa ni kweli Allah lina maana ya Mungu ila ni Mungu yupi sasa maana Allah huyu inaonekana hakuumba hata mbingu na ardhi na vyote vilivyomo
Allah SWT ndo aliyesema 'na iwe, mara ikawa ! Na Maria akabeba mimba ya Yesu. Hebu tuambie alichoumba Yesu
 
Uongo ukiachwa huonekana kuwa ni kweli
Kuna uongo unaopita wa kuwa mungu ana mwana ! Hili hata papa anajua kuwa ni uongo!
Yaani mungu mwanae anapigwa na yeye anatizama tu ! Lakini mara paap, mwanawe kafa akageuka tena kuwa mungu ! Daaah hizi sarakasi za wagala noma sana
 
Mbabaishaji tu wewe ! Mkijaza makaratasi ya serikali, ukilizwa dini gani ? Unajaza mkiristo !
Hakuna kitu kinaitwa Ukristo bali wanaomfuata Yesu kristo
 
Wagalatia woote mnaochangia/mnaoupitia huu uzi...tafadhalini fuatilieni mijadala ya dr. zakir naik na ahmed dedat huko youtube ili walau mfunguke kidogo....akili zenu zinahitaji fikra kubwa na nna uhakika kama utaifuatilia hiyo mijadala kwa lengo la kujifunza na kuutafuta ukweli basi,utaanza kuona mabadiliko katika mitizamo yako kuhusu yesu/issa kwa ujumla wake.
 
sijaelewa hapo Isa= Zeruzeru kvp?. toa Arabic reference tuone acha uongo.
 
Kuna uongo unaopita wa kuwa mungu ana mwana ! Hili hata papa anajua kuwa ni uongo!
Yaani mungu mwanae anapigwa na yeye anatizama tu ! Lakini mara paap, mwanawe kafa akageuka tena kuwa mungu ! Daaah hizi sarakasi za wagala noma sana
Mungu hachunguziki ndugu na wala hujamjua bado
 
Habari za Mungu huyu kamba tupu.

Ndiyo maana Diamond kashtukia anaamua kupiga hela tu.

Over.
 
Utumbo mtupu uliousema hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…