Ukweli wa Erick Kabendera ndio huu

Kwahiyo ndio ukweli wako huo? Haya subili nafasi za utendaji wa kata. Maana zinarudishwa ofisi ya Rais.
 
Msha panga kumuua sema tu ilibumbuluka wakati wa mkamata
 
Bila shaka hizo fedha alizokuwa akihongwa ili kutoa maandiko zake ndizo zimempa hiyo ML.
 
Mkuu inawezekana kwamba kweli Kabendera kukandika aliyoandika kuna watu hawakufurahia ila kama haya mashtaka mengie yametungwa ili tu kumtisha basi tanzania iko mahali pabaya sana

KAMA KABENDERA ALITUNGA MASHTAKA JUU YA SEREKALI YETU NA RAIS ALIYECHAGULIWA NA WANANCHI THEN HAKUNA TATIZO NA YEYE AKITUNGIWA MASHTAKA ILI KUBALANCE MIZANI. HOPEFULLY AKITOKA HUKO KOROKORONI ATAACHA KUTUNGA MASHTAKA KATIKA MAHAKAMA YAKE YA THE UCHUMI
QUID PRO QUO "YOU SCRATCH MY BACK AND I'LL SCRATCH YOURS"
 
Mie sioni tatizo kukamatwa, kufunguliwa/kubambikiwa kesi, tatizo langu watu kuja kumkamata bila sare baadae inaelezwa eti jeshi la polisi ndio linamshikilia. Hoja hapa na wengine waliopotea wakichukuliwa na watu wasio na sare kama hao, sasa mnataka kuwaeleza nini watu wanaopotea kwa mazingira hayo? Kwanini lisijitofautishe namna ya utendaji, ili kujenga imani na watu kuwa na Amani!
 
Kuna uhusiano gani kati ya aliekamatwa italy akisafirisha madawa na Kabendera?
 
Bora unyamaze kuliko kupoteza muda wa watu kusoma hadithi za kitoto hivi.
Kama Kabendera kafanya makosa ya kumuandika vibaya Rais na kuisema nchi yake kwa nini anashtakiwa kwa uhujumu uchumi na money laundry?
Huo huoni kuwa ni uhuni? Ni kuwa Kabendera hana alilofanya kuvunja sheria na sasa serikali imeamua kumbambika kesi.
Kumbe hata serikali inabambika watu kesi?
 
PAYE- Unaitambua hii sheria ?
 
Mkuu kuna msemo wa kisasa unasema kisu unachokinoa ndio kitatumika kukuchinja,
 


Askari kanzu asipovaa kanzu ni makosa? Kitambulisho ndicho muhumi kuliko kanzu.
 
Maajenti wa Lumumba mna shida sana.
Kwa hiyo ni halali mtu akikamatwa kuteswa kuuwawa watu wanyamaze kwa vile mnatawala Tz??
Yakikukuta utadema tuu, mwenzio akinyolewa zako tia maji!!
 
Police wameshataki kabendera kwa makosa ya utakatishaji wa fedha pamoja uhujumu uchumi,wewe hili la kumtukana Rais umelitoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…