amatolo
JF-Expert Member
- Jul 24, 2017
- 690
- 712
Jibu hoja sio kuruka kuruka tumanji naye alikuwa na makosa gani vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja sio kuruka kuruka tumanji naye alikuwa na makosa gani vile
umeona mbali mkuuTulizeni mshono. Tundu Lissu is coming back home, hao mabalozi wanasafisha njia tu.
Mshamba wa Chato huyu, usipoteze muda wako.Utangulizi tu umechemka.
Sheria zipo wazi namna ya kumfungulia mtu mashitaka na kumkamata.Acha mbwembwe binafsi nakuona huna hoja ya msingi.
😁matishoAK47
Acha uchochezi mkuu!Mbona Kinana kamkashifu na mnamuangalia tuu hamumfanyi chochote!
Mkuu inawezekana kwamba kweli Kabendera kukandika aliyoandika kuna watu hawakufurahia ila kama haya mashtaka mengie yametungwa ili tu kumtisha basi tanzania iko mahali pabaya sana
PAYE- Unaitambua hii sheria ?Kwani Mkuu kwanini sasa tunadangaywa kuwa Uhujumu uchumi kumbe hilo siyo tatizo kubwa, maana content nzima ya Andiko lako ni Kumchafua Mfalme wenu.
Halafu Kabendera anafanya biashara gani mpaka aingie Kukwepa Kodi na kuhujmu Uchumi? Hata haingii akilini hata Kidogo.
Mkuu kuna msemo wa kisasa unasema kisu unachokinoa ndio kitatumika kukuchinja,KAMA KABENDERA ALITUNGA MASHTAKA JUU YA SEREKALI YETU NA RAIS ALIYECHAGULIWA NA WANANCHI THEN HAKUNA TATIZO NA YEYE AKITUNGIWA MASHTAKA ILI KUBALANCE MIZANI. HOPEFULLY AKITOKA HUKO KOROKORONI ATAACHA KUTUNGA MASHTAKA KATIKA MAHAKAMA YAKE YA THE UCHUMI
QUID PRO QUO "YOU SCRATCH MY BACK AND I'LL SCRATCH YOURS"
Mie sioni tatizo kukamatwa, kufunguliwa/kubambikiwa kesi, tatizo langu watu kuja kumkamata bila sare baadae inaelezwa eti jeshi la polisi ndio linamshikilia. Hoja hapa na wengine waliopotea wakichukuliwa na watu wasio na sare kama hao, sasa mnataka kuwaeleza nini watu wanaopotea kwa mazingira hayo? Kwanini lisijitofautishe namna ya utendaji, ili kujenga imani na watu kuwa na Amani!
Police wameshataki kabendera kwa makosa ya utakatishaji wa fedha pamoja uhujumu uchumi,wewe hili la kumtukana Rais umelitoa wapi?Kwanza kabisa niwape pole familia ya kabendera,wengi wanaogopa kusema ukweli na makosa ya kabendera kwa upande wake ,kwakua wataonekana hawana ubinaadamu,
Lakini kama nchi ,kabendera aliikosea sana akaangalia maslahi yake akamtukana raisi atakavyo akainanga serikali atakavyo eti leo hii kuna watu ni watetezi wake,na bado jeshi la polisi lilitoa sababu kwanini lilimkamata kwa kumvamia kwa kuwa alikaidi wito,je hapo hatuoni makosa ya kabendera,
Kwanini alikuwa hataki kuitikia wito kama huna kosa polisi ni rafiki na kwenda polisi sio kwamba umefungwa tayari ni mahojiano.
Kabendera alikuwa anaonyesha jeuri kuwa nyuma yake kuna ubalozi wa mmarekani na uingereza.
Ndio maana alikuwa anakaidi,bwana huyo anaonekana ana mambo mengi mabaya ana tuhuma za kukwepa kodi na kutakatisha fedha bado kuna watu wanatetea je mnaujua undani wake ilihali wengine wanakamatwa italy kwa kwa kusafirisha madawa.
Tuwache kupiga mayowe waachwe jeshi la polisi,
mahakama wafanye kazi yao,
Ndio watakao toa maamuzi ya haki na sheria.
Angalizo hawezi kuwa mfungwa bila ya kutiwa hatiani na mahakama!