Ukweli wa Erick Kabendera ndio huu

Mbona maelezo yako yanamhukumu? Kuna tofauti gani kati yako wewe unaemhukumu na wale wanaomtetea? Kama ni suala la kuachia sheria ifuate mkondo wakebasi linakuhusu wewe kama ambavyo linawahusu hao wengine.
 
Acha kuwa mjinga wewe ebo! Kama hujui mfumo wa kumshtaki mtu kaa kimya kuliko kuandika njozi zako hapa
 
Acha kuwa mjinga wewe ebo! Kama hujui mfumo wa kumshtaki mtu kaa kimya kuliko kuandika njozi zako hapa
Lbd mfumo uliouweka wewe ambao hata huwezi kuutaja hapa..hizi ndio tabia za wahalifu kujitetea anataja taja vitu hata havielewi sijui mfumo, mtu ameshtakiwa kwa kosa halafu anawapangia wanaomtafuta jinsi anavyotaka wampeleke kwa mahojianao.
 
Lbd mfumo uliouweka wewe ambao hata huwezi kuutaja hapa..hizi ndio tabia za wahalifu kujitetea anataja taja vitu hata havielewi sijui mfumo, mtu ameshtakiwa kwa kosa halafu anawapangia wanaomtafuta jinsi anavyotaka wampeleke kwa mahojianao.
Kwa nini hashtakiwi kwa hivyo mnavyotaja?
Unamshitaki mtu kwa unyang'anyi kumbe unamaanisha ugoni?
Ujinga mtupu! Ndio maana mnapokea matamko toka nje sababu hamko wazi
 
Acha kukalili wewe,eti buku saba,sio kila jambo ni buku saba ,una ushahidi na hizo buku saba?si ajabu wewe hata mia tano inakushinda,tunapojadili kwenye mambo ya kimsingi tusilete porojo za siasa. Je wewe unamjua Kabendera kuliko vyombo vya usalama,si ajabu ndio sasa umeanza kumsikia huyo Kabendera na badala ya kujua kinachoendelea wewe kama kasuku unakuja na wimbo wa buku saba.
 
Kwa nini hashtakiwi kwa hivyo mnavyotaja?
Unamshitaki mtu kwa unyang'anyi kumbe unamaanisha ugoni?
Ujinga mtupu! Ndio maana mnapokea matamko toka nje sababu hamko wazi
Wanaoweza kufahamu aina ya makosa anayotuhumiwa nayo kabendera ni wale waliohoji na kupata maelezo yake na kuchunguza mwenendo wa kazi zake, marafiki zake, mawasiliano yake, mapato yake, matumizi yake nk..ni upumba.vu kutetea kwa kuhoji kwa nini alikamatwa kwa tuhuma za uraia na sasa anashtakiwa kwa makosa mengine, kwa hiyo kabendera hawezi kuwa na makosa mengine? kwa kumtizama inaweza kuwa sawa lakini akichunguzwa inaweza kuwa habari nyingine..ni kitu cha kawaida mtu akifikishwa polisi kwa mahojiano katikati ya maelezo wanaomhoji wanaweza kugundua dalili za kuwepo makosa mengine..nini cha ajabu??
 

Wewe kweli ni kipara kipya yaani umepoteza NYWELE na AKILI pia. Njaa ni shida sana.

Hivi unadhani kwa hichi kipara chako una busara saaaaana kuliko hao mabalozi na nchi zao za UK na US?
Erick Kabendera kakamatwa kwa kutekwa. Polisi wakaknusha hawajamkamata na hawajui aliko!
Baada ya kibano wakasema amekamatwa na Maofisa UHAMIAJI kwa kosa la URAIA maana alishaitwa kuhojiwa akakanusha!
Baada ya Mama mzazi wa Kabendera kujitokeza hadharani na kuongea na media kuwa mama huyo alimzaa mwanaye huyo hapahapa Tanzania hivo swala la kutilia shaka URAIA wake halipo!
Baada ya kauli hiyo ya mama mzazi Mapoliccm wakabadili GEA angani kuwa Kabendera amekamatwa kwa tuhuma za:
  1. Kushirikiana na Makundi ya Wahalifu.
  2. Kukwepa Kodi.
  3. Kutakatisha Fedha.
Kosa alilokamatwa nalo kwanza la URAIA limefutika kwa kukosa mashiko...!!!
Hivi huu usanii na Uigizaji wa Policcm kutaka KUMBAMBIKIA Kabendera Makosa ya kubumba dunia haioni?
Hivi sasa tuna ugeni wa SADC kuna nchi 16 ziko hapa wanaona na wanasoma UOZO WA SERIKALI HII YA AWAMU YA 5!!
Huwezi kuficha ubaya wako kwa kuwalaghai watu kwa viwanda, flyover, bombadia na miundo mbinu ilhali UNAKIUKA HAKI ZA RAIA WAKO KWA ASILIMIA 100%..!!!Hii haikubaliki popote duniani...nyie endeleeni kuwapotosha hao mazezeta na mapoyoyo wenzenu....... lakini watu makini wenye akili na DUNIA NZIMA INAONA HUU UPUUZI WA AWAMU HII..!!!
 
Aya uende sasa ukachukue buku 7 yako shwaini wewe ulichoandika ni tofauti na anachoshitakiwa ndorobooeeh
 
Kama una akili inafikiri kwa style hii ujue huna tofauti na kuku, una uhakika tuhuma za uraia zilibadilishwa baada ya mama wa kabendera kujitokeza?? waliomtuhumu unadhani hawajui ana mama yake?? acha mama yake, mjomba ake, babu au wote ndugu za kabendera unadhani hawafahamu hilo?? unadhani kabendera hawezi kuwa na makosa mengine ambayo wewe au hata mama yake anaweza kuwa hayafahamu?? unadhani ukiitwa polisi kwa kosa la kumtusi jirani yako polisi hawaruhusiwi kuchunguza makosa mengine? hii generation ya leo akili yao sawa na kinyesi cha nguruwe kabisa! kazi kupanua mdomo kulalamika na wishies za kuku! mara SADC, mara dunia..ni kama mwehu anaokota makopo.
 
wewe unawafundisha Polisi kazi, umetuhumiwa na makosa ukaitwa polisi uende kwa hiyari ukakataa halafu unawapangia waje kukuchukua unavyotaka wewe..akili ya ma.pumbu kabisa hii.
Nincompoop persons like you are many, two wrongs doesn’t make right at all. Kutokana na majibu yako you can easily tell what kind of a person are u
 
TrueVoter, ni heri ungenyamaza ndugu yangu. Nashangaa kwamba umekuwa mwana JF tangia 2008 lakini mbona kwa michango yako unazidi tu kujidhalilisha? Mambo hayaendi hivyo...kwa watu wastaarabu wanaoheshimu sheria polisi kabla ya kukukamata lazima wakutajie sababu ya kukukamata. Hili hata kajinga ambako hakakuona milango ya shule analijua...hii ya kwako sasa ni zaidi ya ujinga, ni upumbavu. Halafu eti hutaki kuelimishwa, so sad!
 
wewe unawafundisha Polisi kazi, umetuhumiwa na makosa ukaitwa polisi uende kwa hiyari ukakataa halafu unawapangia waje kukuchukua unavyotaka wewe..akili ya ma.pumbu kabisa hii.

Unajiita ati 'TrueVoter'....? Umeongea na kutetea upuuzi mtupu hapa.....!!!
True voter gani hata lugha unayo andika tu husomeki....??!!...hiyari...?...akili ya ma.pumbu...?Are you crazy?
Kwa lugha na maneno haya wewe ni Wrong Voter na ndiyo maana unatetea a wrong candidate...!!!
Jitafakari.....!!!
 
Nincompoop persons like you are many, two wrongs doesn’t make right at all. Kutokana na majibu yako you can easily tell what kind of a person are u
It s easy to gauge my words n feel your brain works, but hard to see your ignorance..
 
Mkuu inawezekana kwamba kweli Kabendera kukandika aliyoandika kuna watu hawakufurahia ila kama haya mashtaka mengie yametungwa ili tu kumtisha basi tanzania iko mahali pabaya sana
Kama mengine yametungwa tu juu ya KABENDERA nina uhakika kesi itaenda mwishowe itafutwa na tunamuomba Mungu iwe ni hivyo.Lakini ninavyoelewa na ndivyo ilivyo kama polisi wanapokupekua nyumbani kwako kwa ajili ya kutafuta mathalani silaha iliyoibiwa na wakaikosa kwako lakini katika msako huo wakalikuta gunia la bangi ndani mwako hapo litakuwa jambo jingine jipyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na huwezi kusema hilo jambo limetungwa.
 
Kwa hiyo sababu ya kukukamata ikiwa wizi wa kuku, polisi hawatakiwi kutuhumu makosa mengine hata kama zipo dalili za kuwa na makosa hayo baada ya kukuhoji?? ni wapumbavu wa aina yako ndio wanadhani polisi anamkamata mtu bila kutajiwa sababu.
 
 
Takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…