Wewe kweli ni kipara kipya yaani umepoteza NYWELE na AKILI pia. Njaa ni shida sana.
Hivi unadhani kwa hichi kipara chako una busara saaaaana kuliko hao mabalozi na nchi zao za UK na US?
Erick Kabendera kakamatwa kwa kutekwa. Polisi wakaknusha hawajamkamata na hawajui aliko!
Baada ya kibano wakasema amekamatwa na Maofisa UHAMIAJI kwa kosa la URAIA maana alishaitwa kuhojiwa akakanusha!
Baada ya Mama mzazi wa Kabendera kujitokeza hadharani na kuongea na media kuwa mama huyo alimzaa mwanaye huyo hapahapa Tanzania hivo swala la kutilia shaka URAIA wake halipo!
Baada ya kauli hiyo ya mama mzazi Mapoliccm wakabadili GEA angani kuwa Kabendera amekamatwa kwa tuhuma za:
- Kushirikiana na Makundi ya Wahalifu.
- Kukwepa Kodi.
- Kuatakatisha Fedha.
Kosa alilokamatwa nalo kwanza la URAIA limefutika kwa kukosa mashiko...!!!
Hivi huu usanii na Uigizaji wa Policcm kutaka KUMBAMBIKIA Kabendera Makosa ya kubumba dunia haioni?
Hivi sasa tuna ugeni wa SADC kuna nchi 16 ziko hapa wanaona na wanasoma UOZO WA SERIKALI HII YA AWAMU YA 5!!
Huwezi kuficha ubaya wako kwa kuwalaghai watu kwa viwanda, flyover, bombadia na miundo mbinu ilhali UNAKIUKA HAKI ZA RAIA WAKO KWA ASILIMIA 100%..!!!Hii haikubaliki popote duniani...nyie endeleeni kuwapotosha hao mazezeta na mapoyoyo wenzenu....... lakini watu makini wenye akili na DUNIA NZIMA INAONA HUU UPUUZI WA AWAMU HII..!!!