ha ha ha naona una bifu na vilaza!!
hahaha not me man. am just elaborating what he meant.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha naona una bifu na vilaza!!
Hiyo nyota kubwa inaitwa VY Canis na jua letu linaingia zaidi ya Mara 1400 katika hiyo nyota. Now you can imagine how big it is mkuu.Ndugu yangu unatisha kwa Sayansi sasa mimi nina swali" hivi karibuni nilisikia katika kituo cha habari cha BBC kwamba wanasayansi huko marekani kwa kutumia darubini yako kubwa zaidi wameweza kugundua uwepo wa nyota ifananayo na jua ila hiyo ni kubwa maradufu ya jua letu hili na ina mwanga mkali zaidi pia! Sijui kama unaweza kunielezea vizuri juu ya hili jambo nikaelewa vizuri"'
Hiyo nyota kubwa inaitwa VY Canis na jua letu linaingia zaidi ya Mara 1400 katika hiyo nyota. Now you can imagine how big it is mkuu.
VY Canis Majoris kama ulivyosema ni kubwa sana (hypergiant) lakini haifanani na jua kwa vigezo vingi ila nyota zinazofanana na jua kwa size, luminosity, gas compositions na vigezo vingine ziko nyingi zinakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 22 ya nyota zote. Katika Milkyway peke yake nyota zinazofanana sana na jua zinakadiriwa kuwa takribani bilioni 9.

Kijana it seems you know that field very well, but usikrem kila kitu kwa technologia yetu ya kibongo hiyo elimu sio muhimu sana kwamba inahitadi attention katika masomo yetu, hizo information ndeefu unazoleta hapa kila mtu anaweza kuziacces 'Google it' ulichofanya hapo ni kutafsiri tuu nayo pia kwa kutumia google translator, hakuna jipya hapo, watu ni wavivu tuu wa kutafuta mambo ulivyoandika hapa kuna watu wanakuona genius na wengine wanatamani upewe tuzo Nobel
Kama ni rahisi hivyo prove kisichokuwepo chochote hakipo.
Hivi hakuna Nishani ya NOBEL kwa mabingwa wa kukariri kama wewe ?
Kukariri ni sifa ya uwezo wa kiakili.
Hata wewe umekariri ndiyo maana umeweza kuandika.
Ndiyo maana hata kwenye dini kuna mashindano ya kukariri Quran.
Kukariri ni sifa ya uwezo wa kiakili.
Hata wewe umekariri ndiyo maana umeweza kuandika.
Ndiyo maana hata kwenye dini kuna mashindano ya kukariri Quran.
Sawa, nauliza tena, Nishani ya NOBEL kwa Mabingwa wa Kukariri kama wewe Haipo ?
Sawa, nauliza tena, Nishani ya NOBEL kwa Mabingwa wa Kukariri kama wewe Haipo ?
Kiranga una threads ngapi unazozitumikia Leo humu JF? Maana Kuna moja umeanzisha kule unapinga uwepo wa Mungu kinadharia sn, ingawa sins uhakika km ni yule Mungu wa Wote au mungu wako ndio hayupo
Umeandika hoja ya mashiko, si kwa kibongotu,hata kwa dunia nzima haia maana, ujuha wa hali ya juu kuweza kuchunguza nyota iizo nje ya GALAXY yetu wakati huohuo tunashindwa kuiona ndege iliyoanguka ikiwa na abilia zaidi ya 200 ka zaidi ya miez mitatu sasa.
Kama sio Fix ni nini ? uwezo mkubwa wa kueleza kwa Ufasaha kuhusu Nyota na Uwezekano wa maisha mengne, ka kutoahesabu kuonyesha hata namna ambavyo tunaweza kufika huko, Lakini Saynsi hiyo hyo inashindwa kutuonyesha wapi MALAYSIA air Line Imedondokea.
Hapa ni kukaririshwa kwa kwenda mbele...
Hivi kwa Mujibu wa hawa mabingwa wa Sayansi; EVOLUTION IMEKOMA au INAENDELEA...
KAMA imekoma maandiko ya wanasayansi ni kweli...
Kama inaendelea maandishi ni FIX, sababu ni kwamba hizo Projection za Mabillion ya miaka haziwezi kuwa sahihi kwa kuwa object zaweza kuwa zime evolve due to EVOLUTION
Asante mkuu kwa kuona mchango wangu japo mleta mada alikuwa mkali kaa simba jike mwenye watoto, ni hivi, umuhimu wa mambo ya nyota na uhalisia wake ni mambo ya theory tuu, japo ni muhimu kuyajua 'just for funny' ila kiuhalisia sisi kama watanzania, hivyo vitu hutuvihitaji sana kwani hatuwezi hata kuprove hizo theories, jamaa amemeza sasa mkosoe uone mapovu! hahaaaUmeandika hoja ya mashiko, si kwa kibongotu,hata kwa dunia nzima haia maana, ujuha wa hali ya juu kuweza kuchunguza nyota iizo nje ya GALAXY yetu wakati huohuo tunashindwa kuiona ndege iliyoanguka ikiwa na abilia zaidi ya 200 ka zaidi ya miez mitatu sasa.
Kama sio Fix ni nini ? uwezo mkubwa wa kueleza kwa Ufasaha kuhusu Nyota na Uwezekano wa maisha mengne, ka kutoahesabu kuonyesha hata namna ambavyo tunaweza kufika huko, Lakini Saynsi hiyo hyo inashindwa kutuonyesha wapi MALAYSIA air Line Imedondokea.
Hapa ni kukaririshwa kwa kwenda mbele...
Hivi kwa Mujibu wa hawa mabingwa wa Sayansi; EVOLUTION IMEKOMA au INAENDELEA...
KAMA imekoma maandiko ya wanasayansi ni kweli...
Kama inaendelea maandishi ni FIX, sababu ni kwamba hizo Projection za Mabillion ya miaka haziwezi kuwa sahihi kwa kuwa object zaweza kuwa zime evolve due to EVOLUTION
Asante mkuu kwa kuona mchango wangu japo mleta mada alikuwa mkali kaa simba jike mwenye watoto, ni hivi, umuhimu wa mambo ya nyota na uhalisia wake ni mambo ya theory tuu, japo ni muhimu kuyajua 'just for funny' ila kiuhalisia sisi kama watanzania, hivyo vitu hutuvihitaji sana kwani hatuwezi hata kuprove hizo theories, jamaa amemeza sasa mkosoe uone mapovu! hahaaa