Ukweli wa Kustaajabisha Kuhusu Nyota za Angani

Status
Not open for further replies.
Haya mambo yanatisha sana tena kwa sisi tunaoamini kuwa uumbaji wa vyote hivyo umefanywa na mungu, huwa najiuliza kama ni kweli hayo yaliyosemwa yapo na namna yanavyofanya kazi kiajabu, je mungu muumbaji ni wa namna gani?
 
Ulinitisha hapo kwenye Jua kumeza visayari vyake. Ila nikapamua nilipofika sehemu uliyoelezea itatokea miaka bilioni kadhaa ijayo!!
 
Mkuu nimekuvulia kofia... BIGUP Mgalanjuka
 
Last edited by a moderator:
Ulinitisha hapo kwenye Jua kumeza visayari vyake. Ila nikapamua nilipofika sehemu uliyoelezea itatokea miaka bilioni kadhaa ijayo!!

Hatari ziko nyingi lakini kubwa sana ziko mbali nasi ingawa si kigezo cha kusema tuko salama 100% kwa sasa. Mfano ukiweka mbali mwisho wa Jua (Sun's death). Kuna hatari nyinginezo ambazo zinaweza kutokea kama ajali. Ikitokea Netron star ikapita/ikaform karibu na jua letu basi itakuwa mwisho wetu. Hii inatokana na ukweli kwamba neutron stars zina uzito mkubwa hivyo gravitational force yake itasababisha jua na kila kilichokaribu yake kuvutwa na kumezwa.

Pia Kuna massive blackholes ambayo haya idadi yake inawezekana ni sawa na ile ya nyota ila hayaonekani. Ikitokea blackhole likapita karibu nasi hapo tutafutwa hata mabaki hayataonekana. Rabsha nyingine ni vimondo, solar winds, solar flares, radiations kama tukiharibu magnetic field na ozone layer katika sayari yetu ambayo hizi kwa kweli zinatulinda sana.
 
unanifanya nikumbuke ndoto yangu ya kusoma physics ambayo imeyeyuka kwa fact kwamba ni lazima uichukue na education ambayo kibongobongo haina maslahi, but i hope one day i'll fulfill my dreams.
 
unanifanya nikumbuke ndoto yangu ya kusoma physics ambayo imeyeyuka kwa fact kwamba ni lazima uichukue na education ambayo kibongobongo haina maslahi, but i hope one day i'll fulfill my dreams.

Take it as hobby besides what you do for a living, you will surely enjoy. Sharing what you know with the rest of us is quite interesting as well.
 
Hii imeniongezea jambo aksante mkuu
 
Daaaa hii ilmu nzuri saaaanaaaa ingawa sasa inatuweka na presha.
Ahsante sana Mgalanjuka
 
Last edited by a moderator:
Ulinitisha hapo kwenye Jua kumeza visayari vyake. Ila nikapamua nilipofika sehemu uliyoelezea itatokea miaka bilioni kadhaa ijayo!!

Ulipumua baada ya kugundua miaka billion kadhaa ijayo wewe/Mimi/sisi hatutakuwepo? Umenichekesha sana mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…