Ukweli wa kuzimika kwa taa za uwanja wa Benjamin Mkapa

🤣🤣🤣🤣ndo umeamua Mimi kama Meneja wa uwanja, na familia yangu mikono isiende tumbon?...
Mm mwnyw naunga mkono kuwa ukipata nafasi ya kupiga pesa za serikali basi hakikisha unazipiga kisawa sawa hadi uwekwe kwenye vitabu vya kumbukumbu hivyo hao wanavozipiga hizo pesa naona sawa tuu
 
Huo mpunga wa Azam mbona unanunua generator jipya brand yoyote ya 500kVA na mafuta ya saa 24 kwa mwezi mzima bila kulizima.

500kVA diesel generator ½ load ni 65l/h.

65×24×30×3100=145,080,000.

Mwezi mzima bila kulizima saa 24 ni 145M.
 
Habari.!

Kwa kawaida, mechi zote zinazochezwa muda wa usiku inatakiwa taa pamoja na miundombinu mingine ziendeshwe kwa jenereta. Hii ni kwa kila mechi bila kutegemea ni aina gani ya mechi...
Nashukuru Kwa ufafanuzi
 
Huo mpunga wa Azam mbona unanunua generator jipya brand yoyote ya 500kVA na mafuta ya saa 24 kwa mwezi mzima bila kulizima.

500kVA diesel generator ½ load ni 65l/h.

65×24×30×3100=145,080,000.

Mwezi mzima bila kulizima saa 24 ni 145M.
duh
 
Sio kweli wale ni mbuzi wa kafara tu ila ukweli unajulikana ule uwanja upo chini ya serikali hapo wameamua tu kufa nao ili kupunguza hasira za wananchi ila ukweli unajulikana.
 
Mimi ninacho kujua
Simba ikicheza ule uwanja inatosha Lita 40 za mafuta.

Inatosa asilimia za uwanja. Kwenye get collection nknk.....

Hiyo ya Azam nae kama anatoa Hiyo Fedha Sina uhakika coz Azam haonyeshi Mechi za CAF...

ANYWAY NGOJA NIFANYE UTAFITI.
 
Labda kama Azam kapewa tenda ya kupiga picha mechi za caf zinazofanyika taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…