Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Per day!?!?!Milion300????
Kupewa Dili la kufanya production sio kupata haki za kurusha matangazo kwa kisimbuzi chako, hao DStv, Bien Sports wote wanachukua haki za kurusha matangazo kwa caf, DStv na Bien Sports wamechukua haki za kurusha matangazo kwa kituo chochote wanachotaka kutoka kwenye vituo vyao wanavyovimiliki, hii unalipia mkwanja mrefu, lakini vituo vya taifa vya nchi vina unafuu flani wa bei ndio maana Azam katumia Zbc2 ambayo inatambulika ni televisheni ya taifa la znz, Azam ana kapata dili la production tu na sio kuonyesha kwenye tv zake, akitaka kuonyesha kwenye tv zake (Azam sports) atapaswa kulipa caf tena mkwanja mrefuAnakwepa gharama kivipi wakati Production anafanya Azam ila zbc 2 yeye anapewa 'feed' Ili arushe matangazo tuu. Soma comment zangu nmeshajibu ulichokiandika.
Zbc hapewi haki za kurusha matangazo ya mpira na Azam anapewa na caf, Azam akizalisha anapangiwa na caf ampe nani matangazoAnakwepa gharama kivipi wakati Production anafanya Azam ila zbc 2 yeye anapewa 'feed' Ili arushe matangazo tuu. Soma comment zangu nmeshajibu ulichokiandika.
Nilichokiandika mm ndicho ww umekiandika ila ww umeandika kwa maneno mengi.Kupewa Dili la kufanya production sio kupata haki za kurusha matangazo kwa kisimbuzi chako, hao DStv, Bien Sports wote wanachukua haki za kurusha matangazo kwa caf, DStv na Bien Sports wamechukua haki za kurusha matangazo kwa kituo chochote wanachotaka kutoka kwenye vituo vyao wanavyovimiliki, hii unalipia mkwanja mrefu, lakini vituo vya taifa vya nchi vina unafuu flani wa bei ndio maana Azam katumia Zbc2 ambayo inatambulika ni televisheni ya taifa la znz, Azam ana kapata dili la production tu na sio kuonyesha kwenye tv zake, akitaka kuonyesha kwenye tv zake (Azam sports) atapaswa kulipa caf tena mkwanja mrefu
Kwa taarifa yako, zbc2 ni mali ya azam. Na Azam ndio wanapanga watoe matangazo kwa nani mana wao ndio wamepewa haki ya kurusha na kufanya Production za mechi zote za CAF zinazofanyika hapa Tz.Zbc hapewi haki za kurusha matangazo ya mpira na Azam anapewa na caf, Azam akizalisha anapangiwa na caf ampe nani matangazo
300Mil kwa mechi hii inaweza kua sio kweliHabari,
Kwa kawaida, mechi zote zinazochezwa muda wa usiku inatakiwa taa pamoja na miundombinu mingine ziendeshwe kwa jenereta. Hii ni kwa kila mechi bila kutegemea ni aina gani ya mechi.
Azam tv wanatoa milioni 300 kwa ajili ya kila mechi za usiku hii ni kwa sababu Azam Media ndio wanaofanya uzalishaji upande wa video, pia serikali nao kupitia wizara ya michezo nao pia wanatoa pesa kwa ajili ya kufanikisha mechi zote zinazochezwa muda wa usiku. Tukumbuke kwamba hizo pesa zote ni kwa mechi moja.
Kiasi chote hiki ni kwa ajili ya mafuta ya kwenye jenereta mana taa zinazotumika pale zinatumia umeme mkubwa.
Najua kuna watu hapa wataniuliza inakuaje Azam Media wanatoa pesa zote hizo kwa mechi moja 🤣 kabla hamjaniuliza naombeni na mimi niwaulize swali 'mnajua Azam Media wanaingiza pesa kiasi gani kwa mechi moja ya kimataifa?
Je, unajua ni kwanini baada ya taa kuzima tanesco walisema wao hawahusiki wakati inaeleweka kabisa kuwa muda wa usiku ni jenereta linatumika? 😂😂
Sasa kinachotokea huko uwanjani ni kwamba,
uongozi wa uwanja badala ya kutumia jenereta kwa ajili ya mechi za usiku, wao wanatumia umeme wa tanesco afu pesa kwa ajili ya mafuta ya jenereta wanaweka mfukoni. Hii wanafanya kwa karibu kila mechi ila ndio hivyo siku hazilingani na ndio kwa bahati nzuri wanapewa surprise taa kuzima kutokana na hitilafu au umeme kuwa mdogo kutoka Tanesco.
Eh em Ngoja niishie hapa 😂😂
Siku njema wakuu
Kwanzia hatua ya makundi, Azam hawahusiki katika production za mechi za Caf. Wapo broadcaster maalumu wa Caf ndio wanaofanya production za mechi zote kwanzia hatua ya makundi hadi fainali.Mechi umeangalia zbc2 lkn production inafanywa na Azam
Duh nakupa pole mzee, mechi zote zitakazochezwa hapa nchini zinafanywa na Azam ila kila stage kunakuwa na viwango vinavyohitajika na CAF. Kama wakiona hukidhi vigezo vyao hawakupi haki. Labla hapo kwenye fainali ndio sina uhakika ila stage zote zitakazofanyika hapa Tz zinafanywa na AzamKwanzia hatua ya makundi, Azam hawahusiki katika production za mechi za Caf. Wapo broadcaster maalumu wa Caf ndio wanaofanya production za mechi zote kwanzia hatua ya makundi hadi fainali.
Duuuuh! Azam ana haki ya kufanya production tu tena analipwa na caf kwa kufanya hiyo shughuli, zbc2 ni mali ya serikali ya Zanzibar kama ilivyo tbc Ila Azam ni kama anaiendesha tu ndio maana kwenye makaratasi hukuti umiliki wa Azam kwa zbc2, zbc kapata haki ya kurusha matangazo ya mpira kutoka caf na sio kutoka kwa AzamNilichokiandika mm ndicho ww umekiandika ila ww umeandika kwa maneno mengi.
Kwa taarifa yako, zbc2 ni mali ya azam. Na Azam ndio wanapanga watoe matangazo kwa nani mana wao ndio wamepewa haki ya kurusha na kufanya Production za mechi zote za CAF zinazofanyika hapa Tz.
Duh nakupa pole mzee, mechi zote zitakazochezwa hapa nchini zinafanywa na Azam ila kila stage kunakuwa na viwango vinavyohitajika na CAF. Kama wakiona hukidhi vigezo vyao hawakupi haki. Labla hapo kwenye fainali ndio sina uhakika ila stage zote zitakazofanyika hapa Tz zinafanywa na Azam
Kama ni zbc ndio wamepewa haki mbona hawafanyi Production wao zbc2.?Duuuuh! Azam ana haki ya kufanya production tu tena analipwa na caf kwa kufanya hiyo shughuli, zbc2 ni mali ya serikali ya Zanzibar kama ilivyo tbc Ila Azam ni kama anaiendesha tu ndio maana kwenye makaratasi hukuti umiliki wa Azam kwa zbc2, zbc kapata haki ya kurusha matangazo ya mpira kutoka caf na sio kutoka kwa Azam
Nadhani ww mwnyw huelewi unachokiandika na mm nnachokiandika.Haujui kitu, CAF mashindano yao yote yanafanyiwa production na waliopewa tender. Azam mwisho wake ni kwenye hatua za awali tu. Huku kwanzia kwenye makundi wanasimamia wenyewe CAF kupitia wazabuni waliopewa tenda ya urushwaji wa matangazo. View attachment 2607747
Kupewa haki ya kurusha matangazo sio sawa na kupewa haki ya kuzalisha matangazo, DStv ana haki ya kurusha matangazo ya epl lakini hana haki ya kuzalishaKama ni zbc ndio wamepewa haki mbona hawafanyi Production wao zbc2.?
Kama Azam ndio wamepewa mamlaka ya kufanya productions na CAF kwanini mechi hawarushi kwa channel za Azam sports badala yake inarushwa kupitia Zbc2?Nadhani ww mwnyw huelewi unachokiandika na mm nnachokiandika.
Nakupa mtihani mdogo tuu kama utaweza. Siku ya mechi ya Yanga itakayofanyika taifa nenda kwa mtu yeyote wa Camera afu muulize anafanya kazi kampuni gani.
Kwahy zbc ndo wanafanya production 😂😂 ligi ya Zanzibar tuu inawashinda ndo waje wafanye za caf 😂Kama Azam ndio wamepewa mamlaka ya kufanya productions na CAF kwanini mechi hawarushi kwa channel za Azam sports badala yake inarushwa kupitia Zbc2?