Ukweli wa kuzimika kwa taa za uwanja wa Benjamin Mkapa

Ukweli wa kuzimika kwa taa za uwanja wa Benjamin Mkapa

Habari,

Kwa kawaida, mechi zote zinazochezwa muda wa usiku inatakiwa taa pamoja na miundombinu mingine ziendeshwe kwa jenereta. Hii ni kwa kila mechi bila kutegemea ni aina gani ya mechi.

Azam tv wanatoa milioni 300 kwa ajili ya kila mechi za usiku hii ni kwa sababu Azam Media ndio wanaofanya uzalishaji upande wa video, pia serikali nao kupitia wizara ya michezo nao pia wanatoa pesa kwa ajili ya kufanikisha mechi zote zinazochezwa muda wa usiku. Tukumbuke kwamba hizo pesa zote ni kwa mechi moja.

Kiasi chote hiki ni kwa ajili ya mafuta ya kwenye jenereta mana taa zinazotumika pale zinatumia umeme mkubwa.

Najua kuna watu hapa wataniuliza inakuaje Azam Media wanatoa pesa zote hizo kwa mechi moja [emoji1787] kabla hamjaniuliza naombeni na mimi niwaulize swali 'mnajua Azam Media wanaingiza pesa kiasi gani kwa mechi moja ya kimataifa?

Je, unajua ni kwanini baada ya taa kuzima tanesco walisema wao hawahusiki wakati inaeleweka kabisa kuwa muda wa usiku ni jenereta linatumika? [emoji23][emoji23]

Sasa kinachotokea huko uwanjani ni kwamba,
uongozi wa uwanja badala ya kutumia jenereta kwa ajili ya mechi za usiku, wao wanatumia umeme wa tanesco afu pesa kwa ajili ya mafuta ya jenereta wanaweka mfukoni. Hii wanafanya kwa karibu kila mechi ila ndio hivyo siku hazilingani na ndio kwa bahati nzuri wanapewa surprise taa kuzima kutokana na hitilafu au umeme kuwa mdogo kutoka Tanesco.

Eh em Ngoja niishie hapa [emoji23][emoji23]
Siku njema wakuu
Najua kuna watu hapa wataniuliza inakuaje Azam Media wanatoa pesa zote hizo kwa mechi moja [emoji1787] kabla hamjaniuliza naombeni na mimi niwaulize swali 'mnajua Azam Media wanaingiza pesa kiasi gani kwa mechi moja ya kimataifa?

Tueleze hapo kwanza
 
Mkuu, ulishawahi kwenda uwanjani?
Tuanzie hapo kwanza.

Pia unaangalia matangazo ya azam match za ligi kuu?

Swala la quality ya ZBC2 nalo la kudebate?
Sio kwamba hua naenda uwanjani tuu, mm ni zaidi ya hy unayoisema hapo ukitaka kuamini uje uwanjani siku ya mechi ya Yanga ndipo nitakuthibitishia mm ni nani na nna uhakika gn kusema hayo yote.
 
Najua kuna watu hapa wataniuliza inakuaje Azam Media wanatoa pesa zote hizo kwa mechi moja [emoji1787] kabla hamjaniuliza naombeni na mimi niwaulize swali 'mnajua Azam Media wanaingiza pesa kiasi gani kwa mechi moja ya kimataifa?

Tueleze hapo kwanza
Nmeshatoa majibu, soma comment zangu
 
GUYS, HAPA NDO MWISHO WA KUJIBU COMMENT ZENU MANA UZI UNASONGA MBELE KWA KUJAA COMMENT ZA WATU WALIOAMUA KUTOKUELEWA
________________________
 
Habari,

Kwa kawaida, mechi zote zinazochezwa muda wa usiku inatakiwa taa pamoja na miundombinu mingine ziendeshwe kwa jenereta. Hii ni kwa kila mechi bila kutegemea ni aina gani ya mechi.

Azam tv wanatoa milioni 300 kwa ajili ya kila mechi za usiku hii ni kwa sababu Azam Media ndio wanaofanya uzalishaji upande wa video, pia serikali nao kupitia wizara ya michezo nao pia wanatoa pesa kwa ajili ya kufanikisha mechi zote zinazochezwa muda wa usiku. Tukumbuke kwamba hizo pesa zote ni kwa mechi moja.

Kiasi chote hiki ni kwa ajili ya mafuta ya kwenye jenereta mana taa zinazotumika pale zinatumia umeme mkubwa.

Najua kuna watu hapa wataniuliza inakuaje Azam Media wanatoa pesa zote hizo kwa mechi moja 🤣 kabla hamjaniuliza naombeni na mimi niwaulize swali 'mnajua Azam Media wanaingiza pesa kiasi gani kwa mechi moja ya kimataifa?

Je, unajua ni kwanini baada ya taa kuzima tanesco walisema wao hawahusiki wakati inaeleweka kabisa kuwa muda wa usiku ni jenereta linatumika? 😂😂

Sasa kinachotokea huko uwanjani ni kwamba,
uongozi wa uwanja badala ya kutumia jenereta kwa ajili ya mechi za usiku, wao wanatumia umeme wa tanesco afu pesa kwa ajili ya mafuta ya jenereta wanaweka mfukoni. Hii wanafanya kwa karibu kila mechi ila ndio hivyo siku hazilingani na ndio kwa bahati nzuri wanapewa surprise taa kuzima kutokana na hitilafu au umeme kuwa mdogo kutoka Tanesco.

Eh em Ngoja niishie hapa 😂😂
Siku njema wakuu
Wabongo nuksi
 
Wewe uliyesema the same maswali yangu ni haya kwako.
1) je vituo vyote vya television vilivyoonesha mechi ya Yanga, vilichukua production kutoka kwa Azam media?
2) je Azam analipwa ili afanye huo uzalishaji? na analipwa na CAF, official broadcaster wa Caf, wanunuaji wa haki au ni nani anayewalipa?
Kwanza ieleweke sina ushahidi wowote kuwa azam kala tenda ya kuzalisha matangazo ya caf, nilichosema mimi ni kuwa kilichorushwa zbc2 na supersport was the same
 
Azam hawana coverage ya Camera za kutosha kama makampuni makubwa kama supersports ndio maana ni rahisi kukosa baadhi ya matukio ya uwanjani. Wenzetu wana Camera zaidi ya 30 kwenye uwanja.
Izo camera zinauzwa trillion ngap had Azam media zinamshinda?
 
Kwamba nawe unakubaliana nae kuwa kituo cha supersport, Bein sport, canal sport, n.k hao wote wanategemea Azam ndio awafanyie uzalishaji kwa mechi za hapa Tanzania?
Huyu ni muandishi habari wa clouds tv soma alichokiandika halafu nambie umeelewa nini kuhusu Azam kufanya productions za mechi za Caf

Screenshot_20230531-081532.jpg
Screenshot_20230531-081550.jpg
 
Kwanzia hatua ya makundi, Azam hawahusiki katika production za mechi za Caf. Wapo broadcaster maalumu wa Caf ndio wanaofanya production za mechi zote kwanzia hatua ya makundi hadi fainali.
AZAM wamefanya mechi zote za CAF zilizofanyika Tz pamoja na hiyo fainali

Screenshot_20230531-081532.jpg
Screenshot_20230531-081550.jpg
 
Utafiti wangu niliofanya taa za Mkapa huzima kwenye mechi za Taifa Stars na Yanga tu basi!

Mechi zingine zote Abajalo, Faru Dume, Pan African, Coastal union, Simba Queen, Lipuli, Simba kolowizard, Azam lambalamba, Man City kipara Guardiola, Brazil, Sweden, Real Madrid, zote zinapigwa Lupaso usiku na hakuna hitilafu , hata tamasha la Mwamposa taa zipo gado 24/7!

Kuna kitu behind! Ni aibu ya Taifa na Wahusika wanalindwa! tuanzie hapo ufukunyuku🤪
 
Dah wahuni wa mjini wamemtengenezea ajali ticha mtumbuka kaimu meneja wa uwanja kabaki hajui cha kufanya...wahuni sio watu kataa wahuni.
 
Back
Top Bottom