Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
- Thread starter
- #81
Kwenye televisheni Kuna kitu kinaitwa 'feed' kwamba production inafanywa na wengine ila ww ndie unarusha matangazo hayo.Sawa, je kwa kwa mechi za Tanzania supersports production yao anachukulia wapi kama kuna utofauti. Kwa mechi ambazo zinafanyika nje ya Tanzania je ni Azam ndiye anayehusika na production au ni nani?
Mfano, kwenye king'amuzi cha Azam Tv kwenye channel yao ya UTV channel namba 108 hua wanarusha mechi za EPL lkn sio wao wanaofanya production na hakuna utofauti na kwa anayeangalia hiyo mechi kupitia channel za supersports.
Mfano mwingine, kwenye ziara za rais Samia au mikutano ya bunge Production inafanywa na wengine afu Media ndio wanapewa hiyo 'feed' hvy hakuna Media kwenda na camera zao (ila kuna uwezekano wa Media kupeleka Camera zao lkn hua wanapewa limit kama wakipeleka camera zao wenyewe)
Mkuu changaule pamoja na wengineo kama mpaka hapa hamjanielewa aisee bc imetosha kuwaelewesha.