changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Na ndivyo ilivyo,Kupewa haki ya kurusha matangazo sio sawa na kupewa haki ya kuzalisha matangazo, DStv ana haki ya kurusha matangazo ya epl lakini hana haki ya kuzalisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndivyo ilivyo,Kupewa haki ya kurusha matangazo sio sawa na kupewa haki ya kuzalisha matangazo, DStv ana haki ya kurusha matangazo ya epl lakini hana haki ya kuzalisha
Sijabisha kuwa Azam hazalishi yale matangazo kwakuwa sina ushahidi na hilo Ila nakuhakikishia Azam hana haki ya kurusha matangazo yale
Zbc wamepewa haki ya matangazo ila production wanafanya kampuni iliyopewa tender na CAF. Kama nilivyokuonesha hapo juu screenshot. Productions zote zinafanywa na kampuni iliyopewa tenda na CAF ili kufanya ubora wa kazi kuwa ni ule ule. Zbc kapewa tu haki ya matangazo. Na Azam anafanya production kwenye vimechi vya hatua ya awali tu ila kwanzia makundi ni wenyewe Caf kupitia kampuni iliyopewa kazi.Kwahy zbc ndo wanafanya production [emoji23][emoji23] ligi ya Zanzibar tuu inawashinda ndo waje wafanye za caf [emoji23]
Ndio maana nikasema kwenye mechi ya Yanga uje nikupe ushahidi kuwa Azam ndie anafanya mechi zote bila kujali ni stage gani (sina uhakika kwenye fainali)Zbc wamepewa haki ya matangazo ila production wanafanya kampuni iliyopewa tender na CAF. Kama nilivyokuonesha hapo juu screenshot. Productions zote zinafanywa na kampuni iliyopewa tenda na CAF ili kufanya ubora wa kazi kuwa ni ule ule. Zbc kapewa tu haki ya matangazo. Na Azam anafanya production kwenye vimechi vya hatua ya awali tu ila kwanzia makundi ni wenyewe Caf kupitia kampuni iliyopewa kazi.
![]()
CAF appoints Broadcast Services partners for 2022-2023 | CAFOnline.com
CAF has appointed Infront France, AMP Visual, Globecast and Mediapro as Broadcast Services suppliers at CAF events for the period 2022-2023. This will include the TotalEnergies Africa Cup of Nations Cameroon 2021, TotalEnergies CAF Champions League, TotalEnergies CAF Confederation Cup...www.cafonline.com
Ungetulia ungeeleweka badala yake unataka uonekane ndio una akili peke yako. Tender ya production na haki ya kuonyesha ni vitu sawasawa?Kama ni zbc ndio wamepewa haki mbona hawafanyi Production wao zbc2.?
Inawezekana vipi ukanyimwa haki ya matangazo halafu uje upewe kazi ya uzalishaji?Sijabisha kuwa Azam hazalishi yale matangazo kwakuwa sina ushahidi na hilo Ila nakuhakikishia Azam hana haki ya kurusha matangazo yale
Bc nadhani wengi wenu ndio hamnielewi na sio kwamba najiona mm ndie mwenye akili, Azam anafanya production halafu zbc2 anapewa 'feed' ambayo ndo kuyarusha hewani.Ungetulia ungeeleweka badala yake unataka uonekane ndio una akili peke yako. Tender ya production na haki ya kuonyesha ni vitu sawasawa?
Mmoja ni kama mzalishaji mwingine mtoa huduma au msambazaji. Nami nakuuliza swali, Dstv ilivyoonyesha kombe la dunia hapa Southern Africa ndio ilikuwa na production uwanjani?
Siku jaribu kuwa na tv mbili moja weka supersports na nyingine weka ZBC 2 kisha angalia kama matukio mfano replay, n k kama zitaenda sambamba au zitatofautiana.Bc nadhani wengi wenu ndio hamnielewi na sio kwamba najiona mm ndie mwenye akili, Azam anafanya production halafu zbc2 anapewa 'feed' ambayo ndo kuyarusha hewani.
Sasa hapo kipi kisichoeleweka.?
Nani atafanya production hapa Tanzania kama sio Azam? Au kampuni itoke nje na itoze gharama kubwa. Baada ya kuzalisha, kitu ambacho Azam wanajua na CV yao inaonyesha wanavyotumika kwenye ligi yetu ndipo inabaki nani anasambaza. Wanaotazama ni wengi na wenye uwezo wa kuonyesha ni wengi zaidi kuliko wenye uwezo wa production. Hapo ndio competition inakuja mwenye vigezo zaidi anapewa nafasi. Azam haitaki kulipa zaidi na haina coverage kubwa ukanda huu wa EA, kati na Kusini mwa Afrika. Hivyo hawawezi lipa hela ndefu kuingia hasara. Ndio hapo OP anadai waliingia ZBC2 kujiweka pale, Wazenji walivyo ile channel ingekuwa chini yao tusingekuwa na kitu paleInawezekana vipi ukanyimwa haki ya matangazo halafu uje upewe kazi ya uzalishaji?
Azam production yao haina replay nyingi na slow motion na camera hazishiki angles nyingi. Pia hawaonyeshi sana upande wa mashabikiSiku jaribu kuwa na tv mbili moja weka supersports na nyingine weka ZBC 2 kisha angalia kama matukio mfano replay, n k kama zitaenda sambamba au zitatofautiana.
Na kweli...huu ni UMBEA...Acha umbea punguza uchawa
Duh mkuu naona unataka kuleta mengine hapa, Kwahy hua kuna kampuni ngapi zinazofanya Production mechi ikiwa taifa.?Siku jaribu kuwa na tv mbili moja weka supersports na nyingine weka ZBC 2 kisha angalia kama matukio mfano replay, n k kama zitaenda sambamba au zitatofautiana.
Nani atafanya production hapa Tanzania kama sio Azam? Au kampuni itoke nje na itoze gharama kubwa. Baada ya kuzalisha, kitu ambacho Azam wanajua na CV yao inaonyesha wanavyotumika kwenye ligi yetu ndipo inabaki nani anasambaza. Wanaotazama ni wengi na wenye uwezo wa kuonyesha ni wengi zaidi kuliko wenye uwezo wa production. Hapo ndio competition inakuja mwenye vigezo zaidi anapewa nafasi. Azam haitaki kulipa zaidi na haina coverage kubwa ukanda huu wa EA, kati na Kusini mwa Afrika. Hivyo hawawezi lipa hela ndefu kuingia hasara. Ndio hapo OP anadai waliingia ZBC2 kujiweka pale, Wazenji walivyo ile channel ingekuwa chini yao tusingekuwa na kitu pale
Atleast nmepata mtu nnayezungumza nae lugha moja, yote uliyoandika hapo ni sahihi mkuu.Azam production yao haina replay nyingi na slow motion na camera hazishiki angles nyingi. Pia hawaonyeshi sana upande wa mashabiki
Kama kazi ya kufanya productions inaweza fanywa na Azam ina maana hata misri, Tunisia, Morocco, Algeria, na nchi zingine zinazojimudu wana vituo pia wanaoweza kufanya kazi kama vile ambavyo Azam anafanya.Nani atafanya production hapa Tanzania kama sio Azam? Au kampuni itoke nje na itoze gharama kubwa. Baada ya kuzalisha, kitu ambacho Azam wanajua na CV yao inaonyesha wanavyotumika kwenye ligi yetu ndipo inabaki nani anasambaza. Wanaotazama ni wengi na wenye uwezo wa kuonyesha ni wengi zaidi kuliko wenye uwezo wa production. Hapo ndio competition inakuja mwenye vigezo zaidi anapewa nafasi. Azam haitaki kulipa zaidi na haina coverage kubwa ukanda huu wa EA, kati na Kusini mwa Afrika. Hivyo hawawezi lipa hela ndefu kuingia hasara. Ndio hapo OP anadai waliingia ZBC2 kujiweka pale, Wazenji walivyo ile channel ingekuwa chini yao tusingekuwa na kitu pale
Azam hawana coverage ya Camera za kutosha kama makampuni makubwa kama supersports ndio maana ni rahisi kukosa baadhi ya matukio ya uwanjani. Wenzetu wana Camera zaidi ya 30 kwenye uwanja.Azam production yao haina replay nyingi na slow motion na camera hazishiki angles nyingi. Pia hawaonyeshi sana upande wa mashabiki
Hizo nchi ulizotaja nao pia mechi ikiwa kwenye nchi zao kuna Media za kwenye hy nchi wanafanya production, kama Media ipo na haijakizi vigezo vya CAF hapo sasa ndio kampuni kutoka nje anaweza kwenda kuomba kufanya production. Kwa mfano, timu ya Kenya ikiwa kwenye mashindano ya CAF afu hakuna Media itakayokidhi vigezo vya CAF bc Azam au Media nyingine wenye uwezo wanaweza kwenda kuomba kufanya productions.Kama kazi ya kufanya productions inaweza fanywa na Azam ina maana hata misri, Tunisia, Morocco, Algeria, na nchi zingine zinazojimudu wana vituo pia wanaoweza kufanya kazi kama vile ambavyo Azam anafanya.
Kama hizo kazi zinaweza kufanyika je wazabuni waliopewa tenda ya kufanya productions za michuano ya CAF kazi zao ni zipi?
Sawa, je kwa kwa mechi za Tanzania supersports production yao anachukulia wapi kama kuna utofauti. Kwa mechi ambazo zinafanyika nje ya Tanzania je ni Azam ndiye anayehusika na production au ni nani?Azam production yao haina replay nyingi na slow motion na camera hazishiki angles nyingi. Pia hawaonyeshi sana upande wa mashabiki
Soma comment yangu hapo juu, comment namba 77Sawa, je kwa kwa mechi za Tanzania supersports production yao anachukulia wapi kama kuna utofauti. Kwa mechi ambazo zinafanyika nje ya Tanzania je ni Azam ndiye anayehusika na production au ni nani?