Ukweli wa mafuriko ya Lissu wafichuka, ni watoa rushwa CCM wanahaha kwa kuwatuma wafuasi wao

Kweli wewe unatumia akili za kuvukia barabara unadhani unaweza hadaa akili za watumiaji wa jf
 
Freed Freed,

Huu ujinga ndio mlimuingiza nao mkenge Magufuli kuwa ili akubalike sana, atoe hela ya kuwanunua wapinzani kisha waseme wanaenda kuunga mkono juhudi. Matokeo yake saa hii kapanick haelewi inakuwaje watu wanajaa kwa Lissu. Ili kupooza hasira ya Magufuli, matapeli mliomuingiza mjini mzee wa watu, mnakuja na hizi post ili kumpoteza maboya.
 
Hao baadhi yao hata siku ya kuchukua fomu wametumwa na watoa rushwa. Sasa Siri imefichuka.
 
Ndiyo, wakihofia kukatwa. Ni wabunge walioshinda kura za maoni. Wanaitisha kamati kuu ya CCM ione hali ni tete na kukatana kuepukwe kwa mustakabali wa Chama.
Nimesoma hi post naona wewe ndo mwenyewe unaehofia kukatwa. HAKUNA mjinga wa kuambiwa nenda kwa Lissu ili kuitisha CCM halafu nae aende.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Inept thinking.
 
Duh, mtatajana tu, twendeni taratibu. Ila mkubali tu kwamba mmeshikwa korodani. Na hii kitu hamkuwàhi kuigundua madhara yake. Mwisho wa siku mtatumia tu ubabe.
 
Mawazo yanaingia yanatoka.
Ningekuwa nimekunywa KONYAGI je
 
Hapana, wengi wametumwa na mafisadi kutikisa kiberiti kwa CCM. Siasa mchezo wa hovyo Sana.

Unaweza kukuta wewe kwa akili hizi ni think-tank wa chama na moja ya washauri wa katibu wa itikadi na uenezi. CCM kuna sehemu tulikosea!
 
Haija wahi kuwa na haitakaa iwe watu wa Ccm ati kumfuata Lissu. Tfuteni gear nyingine..
 
Ujinga kipaji.
 
Upuuzi mtupu
 
Hahahahahahahah Kikwete alisema, "Za Kuambiwa changanya na zako" kama umejaliwa kuwa nazo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…