Shida ya pisi Kali wengi kichwani zimejaa funza tu.
Mwanamke yeyote anayeamini uzuri wake kwamba ndo kila kitu..sehemu pekee anayostahili ni kuwa mchepuko tu
Wanaume wanaojjielewa wakitaka kuoa utawaona selections zao mwanamke simple,smart and humble ..
Hamnaga mwanaume smart anayejisumbua kuoa mwanamke ambaye hata basic skills za kuishi na jamii Hana anategemea sura na matako yake ...
Anasikia msiba yeye anakimbilia saloon kuweka kope bandia.. Wanwake wenzake wapo jikoni wanapika msibani lenyewe limejichanganya na wanaume hata aya halina...
Kusalimia majirani linakwambia uswahili...