Ukweli wa tuzo kwa diamond

Ukweli wa tuzo kwa diamond

MUMU THE DON

Senior Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
148
Reaction score
183
HEAVEN ON DESERT naomba tupe ukweli wa tuzo za diamond we ulisema kachukua mbili et website walikosea kuhusu tuzo kwenda kwa mafikizolo so watalekebisha mbona diamond kaonekana na moja jana bwana.tupe habari zilizo thibitishwa we mtu mkubwa bwana usikimbie jukwaa then ule uzi wa mapokezi ya diamond mbona mmeufunga au coz umeumbuka..!
 
kwa mujibu wa tajiri Dangote ilitangazwa kachukua 2 na sheddy clever kachukua moja baade ikabadilishwa. ni dhahiri kwamba hii ni hujuma dhidi ya tanzania ikibidi tuandamane kudai hizo tuzo zirudishwe..inauma sana manaa there is no way bwana Dangote alishindwa kuelewa ki INGLISHI wakati the winners were announced..let's do it people
 
hahahaaaa....!!yani wewe mi hata sikuelewi!
 
Back
Top Bottom