Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Unaposema viumbe huishi kwa kutegemea jua tu hapa napata tabu kuelewa kidogo.

Je mvua hayana nafasi ktk hayo ya mwanadamu? Kama ni hvyo basi hata jangwani kungekuwa na makazi mengi sana ya wanadamu kwakuwa uhai wa viumbe unatokana na jua pekee!
Mvua pia ni matokeo ya evaporation ambayo husababishwa na jua pasipokuwa na jua hata hiyo mvua haiwezi kutokea.
 
Duh, we mshkaji noma kweli....unajipu la kiimani.Kifup siwez kuendelea kubishana na wewe usiye na imani wala hakuna chochote unachokiamini ktk maisha ya ulimwengu,upo upo tu kana kwamba weye ndiye super natural being.
Ukinijibu swali hili nitaamini uwepo wa mungu. Hivi uwepo wa shetani ni mipango ya mungu au ni kufeli kwa mungu?
 
Mvua pia ni matokeo ya evaporation ambayo husababishwa na jua pasipokuwa na jua hata hiyo mvua haiwezi kutokea.

Hyo evaporation inawezaje kukamilika bila kuwa agents zake kama misitu inayoweza kuhifadhi maji na kutitirisha sehemu nyingine ili mzunguko uweze kutokea?
 
Hyo evaporation inawezaje kukamilika bila kuwa agents zake kama misitu inayoweza kuhifadhi maji na kutitirisha sehemu nyingine ili mzunguko uweze kutokea?
Asilimia 70 inatokea baharini.
 
Duh, we mshkaji noma kweli....unajipu la kiimani.Kifup siwez kuendelea kubishana na wewe usiye na imani wala hakuna chochote unachokiamini ktk maisha ya ulimwengu,upo upo tu kana kwamba weye ndiye super natural being.
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Unaamini tu. Huwezi hata kuelewa unavyoamini.

Kwa sababu humuelewi, kwa sababu si cha kweli.
 
Sawa huyo mungu alipata wapi akili ya kuumba huu ulimwengu, na alifikiria atapata faida gani? na kabla hajaumba huu ulimwengu yeye alikua anafanua nini? Na saizi anafanya nini?
Huwa napenda kuona watu wenye upeo wa kufikiri na kuuliza na wewe, Watanzania wengi huwa hawafikiri.
 
Ni vema mkuu umeonyesha njia yako kwa kipi ulicho jifunza na kukipigania safi sana na hongera.sikubezi ila nakupa pongez za ukweli mkuu.Ni vizuri watu wajenge hoja zasimngi sio kukukatisha tamaa.wao huenda hawaja wahi kuisumbuki leo moja tuu.
 
Wachawi wakipita karibu na mikesha kwenye nyumba za ibada au kwa watu wenye imani kali za kidini huwa wanapata misukosuko sana. Hiyo nayo ni ishara ya kuonyesha kuwa MUNGU yupo.
 
Wachawi wakipita karibu na mikesha kwenye nyumba za ibada au kwa watu wenye imani kali za kidini huwa wanapata misukosuko sana. Hiyo nayo ni ishara ya kuonyesha kuwa MUNGU yupo.
na wewe umefanya ka utafiti kuhusu hcho ulichosema mkuu?
 
Mkuu wewe na NASA nani zaidi?
Maana NASA wenzako wameshindwa utaweza wewe bhana?

Acha kupoteza mda wa Waungwana!
Kwanin mkuu unawaamini sana hao NASA? Kwani wao hawawez kuwa wapotoshaji?

Si ajabu na wewe ndio wale waliongizwa chaka kwenye moon landing
 
Hivi huu ni utafiti au mapokeo?
 
Mkubwa sina shaka na Bange unazokula.
Tujuze ma memba tupo wengi.
 
Research done by this scholar has logic and he links his observations with quotes from the Holy Bible. Considering that the universe is created by God and there is nothing in this world that is without Him, He being with no limit, boundless; He is everywhere. He is infinite. He is there in the sun and the stars much larger than the sun and in the galaxies, one of which is the Milky Way which also contains our solar system. And all that is but a part of creation of God. But the first place to search for Him is within myself. He is there in me in all my actions as He is in yours and in others. He has given me consciousness and I have choice to do what I do. Each one of us creates each one's destiny by each one's actions which are linked to family, society and world. The distinction of good and bad is my choice, my concept, my creation. In my consciousness if I am a mere pawn of those around me, this will be reflected in my actions and destiny. On the other hand if in my consciousness I am one with benevolent kind everloving God, this will be reflected in my actions and destiny. Further to that, if in my consciousness, my concept of God is that of good to some and bad to others, this will be reflected in my actions and destiny. If I look for God in far away places not directly accessible to me, whether in this or other sun or accessible only through an intermediary, I shall never reach Him because of my thought block.
 
Mungu haishi kwenye jua kwa maana mianga mikuu (jua, mwezi na nyota) ziliumbwa baadae. Hii ina maana kuna mahali ambapo ndio makazi sahihi ya Mungu muumbaji na wala sio kwenye jua. Kutofikiwa kwa jua ni moja ya namna ambazo Mungu ameweka ili kuudhihirisha ukuu wake kwa mwanadamu. Sio kila kitu alichoumba Mungu mwanadamu anaweza kukichallenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…