Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Kuna mtu anaitwa Deception anasema HIV ni uongo tu.

Pia, kuna watu wana natural resistance ya HIV huenda ukawa mmoja wao.

Hilo halijathibitisha Mungu yupo.
Unathibitishiwa uwezo wa Mungu lakini bado hauamini.
 
Ushaacha tena kihoja chako cha kuumba jiwe na kushindwa kubeba?maana ndiyo kaujanja chako cha kuanzisha kahoja halafu kikikushinda unakakimbia. Niambie kwanza tumeshaelewa kuhusu mungu kuwa na uwezo wa kushindwa kubeba jiwe kubwa?
Kiranga ni pasua kichwa nimemwambia Mungu hashindwi chochote.
 
Natural resistance ipi wakati mimi huo mwezi wa tano nilikuwa naumwa sana nilipoenda hospitali wakanishauri nipime HIV ndipo nikakutwa positive,na nilipohamua kumrudia mungu effectively ndipo nikapokea uponyaji wangu!!......Hakika mungu anaishi na kutawala na sayansi yake ni kuu kupita sayansi zote kwani madaktari walishindwa kunitibu na walinipa dawa za kurefusha maisha ila mungu mkuu ameniweka huru na HIV!!

Alelluya!!!
Jina la Bwana libarikiwe
 
Kaendelee na utafiti wako, mungu ana makazi yake maalumu, yapo na hayaka shaka,, wala huhitaji kutumia miaka mingi,,
Lakin pia mungu haenei kwenye sayar au any huge body utakayoifikiria, lakin cha ajabu anaenea kwenye moyo wa aliyempokea na kukubali kumtumikia,

Anyway umefanya ya bible, bado Hindu, Islam,Budha n.k kafanyie na. Hayo, kama hutaishia ku revert
Mkuu Vitabu vingi vya dini nimevisoma ninaendelea kujifunza zaidi na zaidi ingawa ktk inchi zetu za kiafrika hakuna support serikar na watu wake ni siasa bado tupo Dunia ya mwanzo.
 
Kwa akili alizo tupa mungu ni kidogo sana kuweza kutafakar ila kumbuka mungu yupo mbingun usizid kumtafakari ubongo wako utafika mwisho na jibu hutalipata
 
Embu nipe mfano hata mmoja wa utata ulioondolewa na sayansi.Najua elimu ni pana.Nipe faida juu ya hilo
Uwepo wa sayari nyingine nyingi inje ya mfumo wa jua letu na zilizotengeneza mfumo kama wa solar system yetu ambako inadhaniwa kuna uhai mwingine kwa sababu angani sayari na nyota ni nyingi.

Jua letu ni nyota iliyopo karibu ina mfumo wa sayari zake zinazolizunguka.

Nyota nyingi angani zina mfumo kama wa jua letu na zina sayari zinazo jizungusha kama ilivyo ktk jua letu.

Miaka billion 12 iliyopita kulitokea mlipuko (big bang) chembechembe zilijikusanya na kutengeneza sayari na nyota na vyote vilivyomo ulimwenguni.

Utata kuhusu kupatwa kwa mwezi ni utata uliomalizwa na science watu waliamini mwezi unanaswa na jua wakati mwezi upo mbali sana na jua 92million umbali.
 
Unawezaje kuthibitisha kupona kwako kumetokana na kumrudia Mungu na si kingine chochote?

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini kaumba ulimwengu ambao unaruhusu magonjwa kuwapo wakati alikuwa na upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote wa kuumba ukimwengu ambao magonjwa hayapo kabisa?

Kwa nini Mungu akupendelee wewe kukuepusha na huu ugonjwa wakati maelfu wanakufa kwa magonjwa kila siku?

Huyo Mungu gani mwenye kupendelea wengine na kuacha wengine wafe kwa magonjwa?

Yupo kweli au ni hadithi tu?
Hicho kitu kingine kilicho mponya kipe jina ni Mungu ili upate majibu
 
Uwepo wa sayari nyingine nyingi inje ya mfumo wa jua letu na zilizotengeneza mfumo kama wa solar system yetu ambako inadhaniwa kuna uhai mwingine kwa sababu angani sayari na nyota ni nyingi.

Jua letu ni nyota iliyopo karibu ina mfumo wa sayari zake zinazolizunguka.

Nyota nyingi angani zina mfumo kama wa jua letu na zina sayari zinazo jizungusha kama ilivyo ktk jua letu.

Miaka billion 12 iliyopita kulitokea mlipuko (big bang) chembechembe zilijikusanya na kutengeneza sayari na nyota na vyote vilivyomo ulimwenguni.

Utata kuhusu kupatwa kwa mwezi ni utata uliomalizwa na science watu waliamini mwezi unanaswa na jua wakati mwezi upo mbali sana na jua 92million umbali.
Una uhakika gani kama kuna sayari nyingine nje ya mfumo wetu wa jua?

Bila shaka hata wewe unaamini kwamba dunia inazunguka jua ?Hivyo ndivyo wanasayansi walivyokudanganya.
Mimi naamini kinyume na wewe,yaani naamini jua linazunguka dunia.

Pili,kama hao wanasayansi wana uhakika na yale wanayo yasema.Kwanini waseme hudhaniwa kwamba kwenye sayari kuna maisha?

Hivi kweli mpaka leo unaamini nadharia ya KISHINDO KIKUBWA?Haa jamaa sitaki kuamini maneno yako.

Embu pekua vitabu usome tena na tena.
 
Hata kama ina uongo mmoja tu kwingine kote ukweli, kwa nini kitabu cha Mungu kiwe na uongo wowote?

Biblia ina uongo au haina? Hilo ndilo swali.

Hutaki kulijibu.
Bible haina uongo ni jinsi ya uelewa wa mtumiaji na dhamira yake
 
Hebu fafanua hilo la natural resistance ya HIV likoje/linakuaje.

Ugumu unaoupata wewe kujadili uwepo wa mungu ndio ugumu ninaopata mimi kujadili uwepo wa HIV...hivyo basi,fahamu kwamba jinsi unavyowachukulia wale wanaoamini kwamba kuna mungu ndivyo mimi ninavyokuchukulia wewe unayeamini kwamba kuna HIV.Tena wewe unaweza kuwa zaidi ya hao wanaoamini kwamba kuna mungu....hii ni kwasababu masuala ya umungu ni IMANI lakini suala la HIV ni SAYANSI.Hivyo ningetegemea wewe kwako iwe rahisi zaidi kuelewa kuhusu kutokuwepo kwa HIV kuliko wao kuelewa kuhusu kutokuwepo kwa mungu,hii ni kwasababu sayansi inaweza kuthibitishwa na kuweza kuonekana wazi lakini imani haiko hivyo.
Mkuu nimesikia habari zako juu ya HIV najifunza na ntalifanyia kazi nijielimishe zaidi
 
Uwepo wa sayari nyingine nyingi inje ya mfumo wa jua letu na zilizotengeneza mfumo kama wa solar system yetu ambako inadhaniwa kuna uhai mwingine kwa sababu angani sayari na nyota ni nyingi.

Jua letu ni nyota iliyopo karibu ina mfumo wa sayari zake zinazolizunguka.

Nyota nyingi angani zina mfumo kama wa jua letu na zina sayari zinazo jizungusha kama ilivyo ktk jua letu.

Miaka billion 12 iliyopita kulitokea mlipuko (big bang) chembechembe zilijikusanya na kutengeneza sayari na nyota na vyote vilivyomo ulimwenguni.

Utata kuhusu kupatwa kwa mwezi ni utata uliomalizwa na science watu waliamini mwezi unanaswa na jua wakati mwezi upo mbali sana na jua 92million umbali.
Halafu sisi wengine na umri wetu huu mdogo kiasi utata huo umetupitia mbali mno,yaani hatujawahi kutatizika hata kwa bahati mbaya yaani tunapata elimu sahihi kuhusu vitu hivyo na sisi tunavifanyia kazi.

Sasa ngoja nikupe faida nyingine,kutokana na kile ulichokigusia yaani kupatwa kwa mwezi.

Waislamu tuna kalenda yetu,yaani ina tarehe na miezi,kwa wote hakuna shaka ya kuwa idadi ya miezi ipo kumi na mbili tangu ilipoumbwa hii dunia.Kwa waislamu miezi huwa ina siku 29,na mara chache sana huenda mpaka siku ya 30,ndipo mwezi huandama.

Kawaida jua hupatwa pindi mwezi unapopotea katika uso wa dunia yaani ardhini,na jua halipatwi isipokuwa katika tarehe ya 28 au 29,hii ni kwa mujibu wa kalenda ya hijiriya.Kwahiyo ni juu yako kama utakuwa ni mtu wa kupenda kujua ukweli.Kwa mfano kwa Tanzania juzi lilipopatwa jua ilikuwa ni tarehe 1.9.2016 sawa na yarehe 29.11.2016.Huo ndio muujiza wa Mola kutuonyesha sisi kwamba yeye upo.Katika kupatwa kwa jua tarehe hizo hazibadiliki.Kama Mola akikupa uhai,ukisikia tena jua limepatwa wewe ulizia ni tarehe ngapi katika kalenda ya hijiriya.

Tukirudi katika suala la kupatwa kwa mwezi,inajulikana ya kuwa mwezi una njia zake na vituo vyake,nidhamu hiyo ameiweka yule mjuzi wa kupangalia mambo hasa.Jua na Mwezi haviingiliani katika njia zao wali kimoja hakimtangulii mwenzie wala havidirikiani.
Mwezi haupatwi isipokuwa katika siku ya 13 au 14 au 15 tangu unapoandama.Hii ni kwa mujibu wa kalenda ya hijiriya kwahiyo utatafuta muwafaka wake na kalenda ya miladiya.

Tofauti yetu sisi na wayakinifu sisi vitu hivi kamwe havitupi utata na tunajua kwanini kuna kupatwa kwa jua na kwanini kuna kupatwa kwa mwezi.Mpaka kesho kiyama hakuna mwanasayansi atakayekwambia kwanini kuna kupata kwa jua au mwezi,sio kwanini mwezi umepatwa au jua.

Sisi tumeitangulia sayansi mbali sana,sababu tunaujua ukweli ambao wao hawaujui tena kwao wao mpaka wafanye majaribio na dhana zao.Mimi najua ni tarehe gani jua au mwezi utapatwa tena.Hatukuoteshwa bali tumesomeshwa ukweli.
 
Back
Top Bottom