quadraqoraman
Senior Member
- Aug 11, 2016
- 105
- 89
hisia kali za bangi hizi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpagani maana yake nini?Bila shaka huyu jamaa nimpagani
Kuna mtu anaitwa Deception anasema HIV ni uongo tu.Mwezi wa tano mwaka huu nilienda kupima HIV nikakutwa nipo positive sikuamini kwa hiyo ilibidi niende vituo pamoja na hospitali zaidi ya tano na huko kote vipimo vikaonyesha kuwa nipo positive,nikarudi nyumbani na kuanza kumwomba mungu wangu,mwezi wa nane mwaka huu nimeenda kupima nimejikuta nipo negative!!.....Nimezunguka vituo na hospitali zaidi ya kumi na moja vyote nimepima na wamedai kuwa nipo negative!!!......Hakika mungu anaishi na kutawala na sayansi pamoja na matendo yake ni makuu sana!!!
Ushaacha tena kihoja chako cha kuumba jiwe na kushindwa kubeba?maana ndiyo kaujanja chako cha kuanzisha kahoja halafu kikikushinda unakakimbia. Niambie kwanza tumeshaelewa kuhusu mungu kuwa na uwezo wa kushindwa kubeba jiwe kubwa?Kama mungu ana uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa nabuwezobwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Kuna mtu anaitwa Deception anasema HIV ni uongo tu.
Pia, kuna watu wana natural resistance ya HIV huenda ukawa mmoja wao.
Hakuna niliposema hivyo. Vitabu vya dini huwa vinaonekana ni uongo kiujumla wake lakini huku kwengine ni ukweli mtupu mwanzo mwisho.Kwa hiyo unakubali vitabu vya dini vinamezesha watu uongo au ?
Hebu thibitisha hilo.Mwezi wa tano mwaka huu nilienda kupima HIV nikakutwa nipo positive sikuamini kwa hiyo ilibidi niende vituo pamoja na hospitali zaidi ya tano na huko kote vipimo vikaonyesha kuwa nipo positive,nikarudi nyumbani na kuanza kumwomba mungu wangu,mwezi wa nane mwaka huu nimeenda kupima nimejikuta nipo negative!!.....Nimezunguka vituo na hospitali zaidi ya kumi na moja vyote nimepima na wamedai kuwa nipo negative!!!......Hakika mungu anaishi na kutawala na sayansi pamoja na matendo yake ni makuu sana!!!
Nitupie certificates hapa za during and after HIV?Hebu thibitisha hilo.
Mungu ana uwezo wa kushindwa?Ushaacha tena kihoja chako cha kuumba jiwe na kushindwa kubeba?maana ndiyo kaujanja chako cha kuanzisha kahoja halafu kikikushinda unakakimbia. Niambie kwanza tumeshaelewa kuhusu mungu kuwa na uwezo wa kushindwa kubeba jiwe kubwa?
Biblia haina uongo?Hakuna niliposema hivyo. Vitabu vya dini huwa vinaonekana ni uongo kiujumla wake lakini huku kwengine ni ukweli mtupu mwanzo mwisho.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?Kaendelee na utafiti wako, mungu ana makazi yake maalumu, yapo na hayaka shaka,, wala huhitaji kutumia miaka mingi,,
Lakin pia mungu haenei kwenye sayar au any huge body utakayoifikiria, lakin cha ajabu anaenea kwenye moyo wa aliyempokea na kukubali kumtumikia,
Anyway umefanya ya bible, bado Hindu, Islam,Budha n.k kafanyie na. Hayo, kama hutaishia ku revert
Hoja yenu ya kuumba jiwe na kushindwa kulibeba ndiyo ina maana hiyo.Mungu ana uwezo wa kushindwa?
Unawezaje kuthibitisha kupona kwako kumetokana na kumrudia Mungu na si kingine chochote?Natural resistance ipi wakati mimi huo mwezi wa tano nilikuwa naumwa sana nilipoenda hospitali wakanishauri nipime HIV ndipo nikakutwa positive,na nilipohamua kumrudia mungu effectively ndipo nikapokea uponyaji wangu!!......Hakika mungu anaishi na kutawala na sayansi yake ni kuu kupita sayansi zote kwani madaktari walishindwa kunitibu na walinipa dawa za kurefusha maisha ila mungu mkuu ameniweka huru na HIV!!
Alelluya!!!
Biblia yote ni uongo au kuna uongo na ukweli?Biblia haina uongo?
Hata kama ina uongo mmoja tu kwingine kote ukweli, kwa nini kitabu cha Mungu kiwe na uongo wowote?Biblia yote ni uongo au kuna uongo na ukweli?
Praise the lord.Mwezi wa tano mwaka huu nilienda kupima HIV nikakutwa nipo positive sikuamini kwa hiyo ilibidi niende vituo pamoja na hospitali zaidi ya tano na huko kote vipimo vikaonyesha kuwa nipo positive,nikarudi nyumbani na kuanza kumwomba mungu wangu,mwezi wa nane mwaka huu nimeenda kupima nimejikuta nipo negative!!.....Nimezunguka vituo na hospitali zaidi ya kumi na moja vyote nimepima na wamedai kuwa nipo negative!!!......Hakika mungu anaishi na kutawala na sayansi pamoja na matendo yake ni makuu sana!!!
Uku kwingine haya "huku kwingine" wapi sasa?Hakuna niliposema hivyo. Vitabu vya dini huwa vinaonekana ni uongo kiujumla wake lakini huku kwengine ni ukweli mtupu mwanzo mwisho.
Pia, kuna watu wana natural resistance ya HIV huenda ukawa mmoja wao....
Hilo halijathibitisha Mungu yupo.
Kama kwenye sayansi.Uku kwingine haya "huku kwingine" wapi sasa?
Hebu fafanua hapo vizuri