Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

"Katika utafiti wangu nimejifunza kwa kuwa Jua ndilo lina Uhai kwa Viumbe basi kuna uwezekana mkubwa wa 94.6% Muumba anaishi katika Jua" kwahiyo muumba anaishi kwenye jua pamoja na viumbe gani??
Hivyo viumbe vinauwezo sawa na muumba??
Jua kiumbe, mwezi kiumbe, sayar ni viumbe na mwisho wao vyote vitazima ila kudhihirisha ukiumbe wao...!
##kuleta amri kumi kupitia radi mwanga sio sababu yakusema anaishi kwenye jua/radi kwasababu rad/mwanga pia husafiri kwenye hewa... Je, tunaweza kusema muumba yupo kwenye jua na hewa??
Mkuu rudia kusoma post vizuri kuhusu kuishi kwenye jua!
Jua (sun) ni kundi nyota na katika ulimwengu kuna nyota nyingi sana m billion kubwa zaidi ya jua letu zenye mfumu kama wa Solar system yetu ninaamini Hizo nyota ambazo ni nuru moja wapo ndipo uhai wa Mungu ulipo!
Soma:1Timotheo 6:16
Kutoka 19:5-30

Uhai wa viumbe vinavyotegemea Jua ni vile ambavyovipo duniani Mfano; hapa duniani katika bara Antarctica kusini mwa Dunia hupata kiasi kidogo cha jua kwa mwaka kwa siku 15 tu hakuna misitu hakuna wanyama labda ni mwani wa baharini na bacteria uhai ni 19% kuweza kuishi hewa nzito upepo mkali barafu imeganda baridi Kali mvua hunyesha Mara 2 au 1 kwa msim wa mwaka mzima.
 
Mkuu hakuna sehemu nimesema kiumbe kina uweza kama Mungu!
Finyangwa haiwezi kuwa na uwezo wa mfinyanzi kitabaki ni chombo kilichotengenezwa ndo sifa yake.
Jina la Bwana libarikiwe.
 
Jambo lipi ambalo unaweza kusema A inasababishwa na B bila ya kuwa na wajibu wa kuthibitisha kwamba A inasababishwa na B ?
Ni kwa sababu hata science yenyewe haina maelezo ya kutosha/uthibitisho kwa kila jambo mfano imeshindwa kuweka clear kama the universe is creation or naturally made up.

Na pia what if that science tomorrow will come up with enough proof that God exists, would you still embrace your agonistic atheism or you will have no choice rather than accepting the truth?
 
Wewe herufi za Kiswahili tu zinakushinda.

Halafu unajitapa umebobea.

Umebobea nini? Ungumbaru?
Mkuu lakini si umeelewa somo! siku zote hata ukimtaka mwanamke Mara ooooo Mimi staki sikuelewi fahamu huyo umekula.
Nakuona somo linakuingia .

Inakupasa ufike mwisho kubali Mungu wako ni mwenye huruma atakuhesabia haki.

KARIBU KUNDINI
 
Unaniuliza habari za Big Bang nilikwambia lini kwamba nazikubali?

Kwa nini unauliza "nani aliweka hewa" na si "nini kiliweka hewa"? Unauliza swali ambalo lina bias kwenda kwenye jibu unalolitaka wewe?

Nikikwambia kwamba sijui jibu la swali lako, kutokujua kwangu kunathibitishaje jibu ni Mungu?

Ukiniuliza square root ya mbili ni nini, nikakwambia sijui, kutokujua kwangu kunathibitishaje kwamba square root ya mbili ni kumi?

Utasemaje square root ya mbili ni kumi bila kutuonesha umepataje kumi?

Unaweza kuthibitisha hiyo hewa ililetwa na Mungu? Unaweza kuthibitisha haikuweza kutokea kwa njia nyingine yoyote?
Hiyo njia nyingine ndio Mungu!
Kutokujua kwako Mimi ninaye fahamu nimekufunza tena unahesabu kwa vijiti unashindwaje kuniamini?
1 + 1 = 2 unahitaji bado haujaelewa?
 
Ni kwa sababu hata science yenyewe haina maelezo ya kutosha/uthibitisho kwa kila jambo mfano imeshindwa kuweka clear kama the universe is creation or naturally made up.

Na pia what if that science tomorrow will come up with enough proof that God exists, would you still embrace your agonistic atheism or you will have no choice rather than accepting the truth?
Science imekosa majibu mengi kuhusu uhai na uumbaji ila inatoa mwelekeo kwa yale yaliyopo karibu na sayari yetu.

Mfano;

Vitabu mfano Bible ni kitabu cha kale kinaandika Mungu hachunguziki.

Wengi waliamini kuna jua letu na sayari zake tu na nyota katika ulimwengu lakini utafiti unaonyesha mamilion ya sayari na nyota ktk anga ya mbali pasipo weza kufikika na mwanadamu kilahisi.

Zamani hakukuwepo technology kama ya leo walioandika Bible walikuwa ni wateule waliopata maelekezo na kushushiwa kile walicho andika mpaka sasa Mungu hachunguziki Hata kama binafsi najifunza na kudhani Mungu yupo katika Nuru isiyoweza kukaribiwa (Jua ,nyota) Sijui nyota hiyo ipo umbali gani au ni ipi au ipo mbali na uono wa anga ya kibinadamu.
 
Usidanganye toka zamani watu wa kiabudia vitu tofauti mpaka jua watu wakiabudia sasa twambie tu kama na wewe jua ndio Muungu wako
 
Mkuu sidanganyi wala sina nia ya kufanya mzaha katika jambo linalo husu Mungu.

Ni kweli zamani watu waliabudia vitu tofauti katika jamii yangu Mimi watu waliabudu jua jioni jua linapo zama magharibi yalijichora mawingu ya aina mbali mbali wanyama au watu mtu ameshikilia panga analima, anagombana n.k
Hapo watu walipiga magoti kumuomba Mungu awaondolee balaa wanaloliona mbele yao kuomba mvua, chakula, waondolewe magonjwa kama ukoma uliokuwa ni tishio, funza wa miguuni, na walifanikiwa ktk maombi yao .

Wengine walimwomba Mungu mwenye roho mbaya katika miti mi kubwa ya aina 2
1.Umvumu (milumba)
2.Umguruka

Waliwaombea wenzao mabalaa kuomba uchawi , wezi wa mifugo mpaka leo ktk jamii yangu bado baadhi wameendelea kutumia hizi mila kulaani watoto wasio na heshima n.k.
Lakini Mimi huu ni utafiti wa science na Vitabu vitakatifu na nimeelezea kwa marefu kama una hoja niambie nitakujibu
 
Usidanganye toka zamani watu wa kiabudia vitu tofauti mpaka jua watu wakiabudia sasa twambie tu kama na wewe jua ndio Muungu wako
Mkuu sidanganyi wala sina nia ya kufanya mzaha katika jambo linalo husu Mungu.

Ni kweli zamani watu waliabudia vitu tofauti katika jamii yangu Mimi watu waliabudu jua jioni jua linapo zama magharibi yalijichora mawingu ya aina mbali mbali wanyama au watu mtu ameshikilia panga analima, anagombana n.k
Hapo watu walipiga magoti kumuomba Mungu awaondolee balaa wanaloliona mbele yao kuomba mvua, chakula, waondolewe magonjwa kama ukoma uliokuwa ni tishio, funza wa miguuni, na walifanikiwa ktk maombi yao .

Wengine walimwomba Mungu mwenye roho mbaya katika miti mi kubwa ya aina 2
1.Umvumu (milumba)
2.Umguruka

Waliwaombea wenzao mabalaa kuomba uchawi , wezi wa mifugo mpaka leo ktk jamii yangu bado baadhi wameendelea kutumia hizi mila kulaani watoto wasio na heshima n.k.
Lakini Mimi huu ni utafiti wa science na Vitabu vitakatifu na nimeelezea kwa marefu kama una hoja iweke nitakujibu
MIMI MUNGU WANGU NI MUNGU ALIE HAI ANAEISHI DAIMA NA MILELE 1Timotheo 6:16

ALFA NA OMEGA.
 
Aisee Hi hatari!

Unawezaje kutumia miaka 16 tu kukamilisha Extraordinary research kama hiyo?

NASA wana taarifa yako?

Scientific research ndiyo,Methodology ipi uliyotumia?

Kifaa kipi ulichotumia kuchunguza hiyo nyota?Hubble space telescope?

"Nina hakika mwenyezi Mungu anaishi katika mojawapo ya Nyota za Jua"

'Nyota za Jua' ndiyo kitu gani kaka yangu?

Mkuu,Mungu hachunguziki.
Mkuu unawaamini nasa kuliko mshikaji mliee nae jf wewe ni Jipu
 
Kuna kubwa sana ukileta taarifa yoyote wwanataka Chanzo hawataki kuamini chanzo ni wewe mtoa taarifa .

Wa naamini ili taarifa iwe sahihi ni lazima chanzo iwe tv au radio au magazeti.

Kama taarifa ya kisayansi wanataka chanzo Kutoka magharibi ni mbaya sana watu kuwa watumwa wa fikira na kudhani wao hawawezi kila kitu ni mzungu.

Umasikini wa fikira umetwala hawapo tayali kutumia akili zao katika kujifunza husubili taarifa kutoka magharibi, ndio maana vijana wengi wamekuwa vichaa kwa kujifunza ujinga ushoga, uvaaji uchi kata k, vinguo vya kubana tatizo ni kule kuwa na fikira finyu
 
Kuna mtu anaitwa Deception humu Jf,jamaa na zile mada zake za ukimwi ameweza kuonesha ni jinsi gani madaktali walivyomezeshwa tu vitu ambavyo haviendani na uhalisia. Lakini ajabu watu wanaona vitabu vya dini tu ndiyo vinamezesha watu uongo.
 
Mungu hachunguziki....
Aisee Hi hatari!

Unawezaje kutumia miaka 16 tu kukamilisha Extraordinary research kama hiyo?

NASA wana taarifa yako?

Scientific research ndiyo,Methodology ipi uliyotumia?

Kifaa kipi ulichotumia kuchunguza hiyo nyota?Hubble space telescope?

"Nina hakika mwenyezi Mungu anaishi katika mojawapo ya Nyota za Jua"

'Nyota za Jua' ndiyo kitu gani kaka yangu?

Mkuu,Mungu hachunguziki.
Ova......
 
Unajua ukweli uko hivi.Watu wanakosa misingi ya elimu na kuitafuta haki,ndio maana wanaangukia pua sana.Huwezi kumjua Mola hakika yake kwa kufanya utafiti wa kisayansi.Utafanya huo utafiti mpaka utafanya tena.Na ukweli utakuwa mbali na wewe.

Utamjua Mola na hali yake kama yeye kwenyewe alivyojielezea na vile alivyoelezewa na Rasuli.Kinyume na hapo ni kujidanganya na kupoteza muda.
 
Kuna mtu anaitwa Deception humu Jf,jamaa na zile mada zake za ukimwi ameweza kuonesha ni jinsi gani madaktali walivyomezeshwa tu vitu ambavyo haviendani na uhalisia. Lakini ajabu watu wanaona vitabu vya dini tu ndiyo vinamezesha watu uongo.
Mambo mengine tunafunzwa kwa ajiri ya masilahi ya wengine.

Lakini ukitaka kumjua Mungu chukua mda jifunze kuhusu muundo wa ulimwengu tunaoishi compare na Bible hakika utapata majibu sahihi pasina shaka Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom