impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
- Thread starter
- #581
Mkuu rudia kusoma post vizuri kuhusu kuishi kwenye jua!"Katika utafiti wangu nimejifunza kwa kuwa Jua ndilo lina Uhai kwa Viumbe basi kuna uwezekana mkubwa wa 94.6% Muumba anaishi katika Jua" kwahiyo muumba anaishi kwenye jua pamoja na viumbe gani??
Hivyo viumbe vinauwezo sawa na muumba??
Jua kiumbe, mwezi kiumbe, sayar ni viumbe na mwisho wao vyote vitazima ila kudhihirisha ukiumbe wao...!
##kuleta amri kumi kupitia radi mwanga sio sababu yakusema anaishi kwenye jua/radi kwasababu rad/mwanga pia husafiri kwenye hewa... Je, tunaweza kusema muumba yupo kwenye jua na hewa??
Jua (sun) ni kundi nyota na katika ulimwengu kuna nyota nyingi sana m billion kubwa zaidi ya jua letu zenye mfumu kama wa Solar system yetu ninaamini Hizo nyota ambazo ni nuru moja wapo ndipo uhai wa Mungu ulipo!
Soma:1Timotheo 6:16
Kutoka 19:5-30
Uhai wa viumbe vinavyotegemea Jua ni vile ambavyovipo duniani Mfano; hapa duniani katika bara Antarctica kusini mwa Dunia hupata kiasi kidogo cha jua kwa mwaka kwa siku 15 tu hakuna misitu hakuna wanyama labda ni mwani wa baharini na bacteria uhai ni 19% kuweza kuishi hewa nzito upepo mkali barafu imeganda baridi Kali mvua hunyesha Mara 2 au 1 kwa msim wa mwaka mzima.