Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Mkuu usiongee kwa hoja ya udini Ulimwengu huu ni mkubwa sana unafikili hiyo mbingu ya saba anaishi katika kitu gani sayari au anaelea angani JALIBU KUFANYA UTAFITI HATA HAPO ULIPO JIFUNZE DUNIA IPOJE ULIMWENGU KWA UJUMLA UTAPATA JIBU.
 
Mkuu mambo mengi tunayoyajua yamevumbuliwa na watu wa kale waliokuwa hawana Elimu yoyote
Sio kweli huwezi ukawa hauna elimu au ujuzi alafu ugundue kitu. Ila naelewa kwamba sayansi imekuwepo mda mrefu katika jamii tofauti tofauti.
 
Mkuu usiongee kwa hoja ya udini Ulimwengu huu ni mkubwa sana unafikili hiyo mbingu ya saba anaishi katika kitu gani sayari au anaelea angani JALIBU KUFANYA UTAFITI HATA HAPO ULIPO JIFUNZE DUNIA IPOJE ULIMWENGU KWA UJUMLA UTAPATA JIBU.
ndo maana nikakupa kitabu cha kusoma al quran acha ubishi.
 
"...nina uhakika Mwenyezi Mungu anaishi katika mojawapo ya nyota za jua..." Uhakika gani huo kutokana na utafiti wako?
 


Nimecheka sana! ...wabongo na hadithi za kwenye video noumer sana!!..Brother,hapo chenga tu, kwa kweli hakuna utafiti hapo kwa sababu mpaka sasa hakika yako ni ya kuotea tu.
Ila nashukuru kwa post yako, manake umenifurahisha sana!
 
Biblia inasema hivi
Mungu alimuumba binadamu kwa mfano wake inamaana mungu naye ni binadamu
Kama sisi
Swali linakuja je huyo binadamu aliye uumba huu ylimwengu alivipata wapi vitu vya kuumbia huu Ulimwengu wote na wakati huo inaonyesha nayeye aliumbwa?
 
Mimi ni Muislam kaka na hoja yangu ni Quran.Mwenyezi Mungu yuko juu zaidi baada ya mbingu ya saba.Yuko kwenye arshi tukufu kwa lugha rahisi kiti cha enzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…