Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa


Lugha gani unaongea? Vitabu gani umesoma?

Mbona unaandika kama mtu asiye na upeo?

Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.

Unahubiri tu.

Huja resolve contradictions za Mungu.

Hujaeleza maandiko gani sijayaelewa na sijayaelewa kivipi.

Unarahisisha mambo makubwa na magumu kwa majibu rahisi rahisi tu.

Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.
 
Maisha na zama kubadirika hakuondoi ukweli wa uwepo wa Mungu yeye ni yule yule Jana na Leo hayo ni mawazo yako lakini huu Ulimwengu ni mkubwa naamini kuna maisha ya viumbe hai ktk sayari nyingine inje ya Dunia haiondoi ukweli wa uwepo wa Muumba Mungu.
 
Mungu ni nafsi tukufu iliyo hai nafsi haiwezi kufa ataakuwepo milele na milele yeye ni MWANZO NA MWISHO
Hapa naona unenikuu.... nikuulize jambo imagine kwamba umezaliwa sehemu ambayo ukufunuliwa mambo ya kimungu.... je hayo ungetowa wapi haya unayoyazungumza leo??? je could u have the same assumptions as of now.
 
H

Hakuna aliye mleta, Mungu ni nafsi tukufu iliyo hai Ipo na ilikuwepo na itaaendelea kuwepo milele na milele Nafsi HAIFI wala yeye Ni mwanzo na mwisho
What is the state of nafsi??? Yabisi, kimiminika, gesi au dark matter?????...
 
ndo mana nikakwambia hauwez kumjua mungu kwa kutumia akili zako.na hapo ndo nikauita utafiti wake uchwara.akasome kitabu cha dini yake atajua kumuhusu mungu.sio kutumia akili zake anatudanganya
Je hivyo vitabu vimetumia akili ya nani??
 
Kwani angekuwa anaishi kwenye galaxy nyingine je nani angemkaribia huko???
 
Je utafiti wako umefikia tamati?
Je kuna miungu wangapi apo juani?

Ni vema ukapeleka ripoti ya utafiti wako wizara ya sayansi ili ijadiliwe kitaifa.
 
Mkuu kama hauwezi kudefine kitu je unamuelinishaje mtu mwingine??? Napata ukakasi... this shows ni jinsi gani umememorize yale uliyolishwa. If u cant explain to a fifteen years old child na akakuelewa that means u have to start researching again or better stay quite. Why do u want me to believe something I dont understand.... na ni kwanin nipate zambi wakati sikielewi???
 
Naunga mkono hoja yako.Mwandishi wa hii post akapimwe afya ya akili.
 
Hakuna nilipo rahisisha hoja yangu on ukweli usiopingika Mungu yupo na vitu vingi vipo wazi hakuna anayeweza kukataa akaleta ushahidi wa ushindi wake ktk imani anayoaamini hata wewe unasadikisha hakuna uhakika na unachosema Pole sana Mungu yupo Mimi sihubiri siyo mchungaji naongea uhalisia.

Mlipuko wa Big bang Uliiacha Dunia na joto kari sana kusingewezekana kuwepo uhai wa asili (super natural) kwa joto lililokuwa likikadiriwa ilifika 4,500,000° ambalo mpaka Leo Dunia imepoa inje na sehemu za ndani bado ni joto kari.

Miale ya Jua (sun) yenye sum kari iliweza kufika ktk sayari ya Dunia bila kizuizi chochote uwezekano wa hewa mgando ya ukanda haukuwepo.

Nini kilipoza Dunia?

Nini kilianzisha oxygen?

Nini kilianzisha hewa ya ukanda kukinga Dunia na miare sumu ya Jua?

Nini kilianzisha uhai?

Unaufahamu Ulimwengu?
 
Hapa naona unenikuu.... nikuulize jambo imagine kwamba umezaliwa sehemu ambayo ukufunuliwa mambo ya kimungu.... je hayo ungetowa wapi haya unayoyazungumza leo??? je could u have the same assumptions as of now.
Zamani ktk jamii yangu waliamini Mungu ndie aliyeumba inchi , waliamini Jua ni jicho la Mungu jamii zote wanaamini Mungu ni vile kujikanganya ktk matamshi .

Atheism wanaamani uhai na vyote ni super natural ni vile akili imefika anakoona lakini hiyo supernatural ndio Mungu ni mgoto wa ufikiriaji
 
Unaelewa kwamba katika vyote ulivyotaja hakuna hata kimoja kilichothibitisha kwamba Mungu yupo?
 
Naunga mkono hoja yako.Mwandishi wa hii post akapimwe afya ya akili.
Mkuu waafrika tupo hivi hatupendi kujifunza hatuamini hata yanayowezekana siyo kosa lako

Tunasoma mifumo ya elimu ya Informal kuanzia awali mpaka chuo lazima ni tegemee wengi kama wewe KARIBU KIJANA MLUGO
 
Unaelewa kwamba katika vyote ulivyotaja hakuna hata kimoja kilichothibitisha kwamba Mungu yupo?
Hivi kwanini unashindwa kunielewa mbona kila kitu kipo wazi?

Wewe unaamini nn kimesababisha Ulimwengu kuwepo na uhai?
 
Angalia anae kujibu ni yupi usikurupuke Mimi natumia hoja za kisayansi nilizozifanyia utafiti na bado naendelea kufanya utafiti.
 
Mkuu unashindwa hata kutofautisha majina kama una usingizi lala FYATUENI WATASOMA BULE (JPM)
 
Je utafiti wako umefikia tamati?
Je kuna miungu wangapi apo juani?

Ni vema ukapeleka ripoti ya utafiti wako wizara ya sayansi ili ijadiliwe kitaifa.
Mkuu hakuna nilikosema miungu nimesema Mungu muumba wa vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…