Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Nimeelewa nimekujibu Kujikana (contradiction) ni kipengere ulichokomaa nacho lakini ni vile unashindwa kupambanua maandiko unakaririsha kichwa chako na ukaamini kipengere kimoja bila kusoma na kutafakari mwendelezo au mwanzo ulianzia wapi na umefkaka wapi!
Mungu yupo siyo wa kufikirika kama mawazo yako yalivyo.
Lugha ninazo ongea ni 5
Mwaka huu nimesoma vitabu 2 vya falsafa
sijasoma atheism sioni logic ya kusoma atheism
Nimesoma vitabu vingi ila Dini sijasoma.
Mungu yupo Ulimwengu umekuwapo kwa ajiri take.
Katik akili yako unaamini Ulimwengu umekuwapo kwa sababu flani hicho kilichosababisha na Mungu.
Lugha gani unaongea? Vitabu gani umesoma?
Mbona unaandika kama mtu asiye na upeo?
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.
Unahubiri tu.
Huja resolve contradictions za Mungu.
Hujaeleza maandiko gani sijayaelewa na sijayaelewa kivipi.
Unarahisisha mambo makubwa na magumu kwa majibu rahisi rahisi tu.
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.