Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa


Ulikosa kaz ya kufanya unaamua udanganye kua n tafit umefanyaa jaamaa hapo umezingua 100%
 
Ulikosa kaz ya kufanya unaamua udanganye kua n tafit umefanyaa jaamaa hapo umezingua 100%
Hayo ni maoni yako kulingana na mazingira yako na uwezo wako wa kufikiri asante kwa kuchangia uwezo wako umekwisha kufikiri.
 
Ni vema ungejikita katika tafiti za jinsi ya kufanya kilimo kiwe na tija.
Hayo mambo ya kumchunguza mungu yatakufanya uwe mwehu kama Lipumba.
Kila kada ina wataalamu wake
 
Ni kweli.Tatizo ni kubwa ya zaidi tunavyo ambiwa.
Wakati wenzetu wanafanya utafiti wa kutengeneza samsung note 7 watu wengine wanafanya utafiti wa kumchunguza Mungu..
Taifa la wakimbiza Mwenge! Huo ni uwezo wako wa kufikiri na haimanishi utfiti huu ndicho kitu pekee ninacho kifanya lipumba ni tofauti na Mimi hii siyo siasa ni utafiti
 
Sioni Mantiki yoyote umeharibiwa na kujifunza vitu vya wengine umeshindwa kutumia akili yako kupambanua jema na ovu.

Unatumia mifano lahisi Mungu ni Mkubwa unavyoona ukubwa wa anga haupimiki ndio uwezo wa Mungu haupimiki.

Mifano ya elektronik moja haiwezi kuwa zaidi niya kitoto Mungu ni muweza wa yote.
 
Sioni Mantiki yoyote umeharibiwa na kujifunza vitu vya wengine umeshindwa kutumia akili yako kupambanua jema na ovu.

Unatumia mifano lahisi Mungu ni Mkubwa unavyoona ukubwa wa anga haupimiki ndio uwezo wa Mungu haupimiki.

Mifano ya elektronik moja haiwezi kuwa zaidi niya kitoto Mungu ni muweza wa yote.
 
Mbona haukutumia akili yako... kuwa na jf yako???
 
Tutaamini vipi maneno yako? Ulikuwepo wakati anaumba? Nani alishuhudia huo uumbaji?
Ulizo la kitoto ni sawa na kuulizwa mama ako alipo kutunga mimba ulikuwepo utajibu vipi?
 
U ask those questions... embu jiulize when u die na kuoza... funza wanatoka wapi???? Kama nikitumia mfano wa funza naweza pia kusema binadamu wa kwanza huenda aliibuka from something...
maxime Hiyo nyengineyo ninini? Hiyo nyenguneyo iite Mungu utapata jibu
 
Hiki kizazi hakielewi wamejifunza kuangalia movie za magharibi wakaamua kuzileta ktk ubishani ni Mpumbavu tu anayesema Mungu hayupo.
 
Kama hujui kilichosababisha uhai kwanini asiwe Mungu?
 
Utafiti unaosema Watanzania laki nne wana ugonjwa wa akili mimi nnaupinga, nnaamini Watanzania wenye matatizo ya akili ni wengi tena wengi sana.
Bibie huku sio size yako hakuna Ccm vs Ukawa wala mmu

Utaumiza kichwa bure huku hapakufai
 
Wewe hufahamu tofauti ya "lahisi" na "rahisi".

Utaweza vipi kufuatilia mabishano ya falsafa ya juu ya dini na mantiki ya kuwapo na kutokuwapo kwa Mungu muweza yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?
 
Kama hujui kilichosababisha uhai kwanini asiwe Mungu?
Kwa sababu Mungu asingeumba uhai ambao hauna 100% efficiency.

Tungekuwa tumeumbwa na Mungu tusingekunya.

Kunya ni waste production, waste product ni sehemu ya inefficient systems, Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na ujuzi wote kutengeneza an inefficient system ni contradiction.

Contradiction inaonesha uongo.

Dhana ya Mungu huyu kutuumba ni uongo.
 
Which means what????
Wenye dhambi.....wakitupwa motoni watakuwa wametupwa kwa mungu
 
Binafsi naona umetupa miaka yako yote kumi na tano kwa kufanya utafiti usio na kichwa wala miguu na usio na tija yeyote kwa maisha ya binadamu.
Mathalani tuchukulie upo sahihi kuwa Mungu anaishi Juani:So what?
Binadamu atafaidika vipi na huu ugunduzi wako?
Utafiti lazima uwe na rationale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…