Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na upunguani wa "huku na kule", its all in your head, kila kitu kipo mbele yako na kwenye fingertips zako.
Nisome tena kisha jibu hoja yangu; Utafiti unaosema Watanzania laki nne wana ugonjwa wa akili mimi nnaupinga, nnaamini Watanzania wenye matatizo ya akili ni wengi tena wengi sana.
Bibie huku hapa kufai hakuna mapunguani wamatusi nasisitiza sio size yako.Achana na upunguani wa "huku na kule", its all in your head, kila kitu kipo mbele yako na kwenye fingertips zako.
Nisome tena kisha jibu hoja yangu; Utafiti unaosema Watanzania laki nne wana ugonjwa wa akili mimi nnaupinga, nnaamini Watanzania wenye matatizo ya akili ni wengi tena wengi sana.
Kwa mfumo wa Elimu ya inform lazima nitegemee ni wengi wa aina yako.Metaphysics moja ya branch ya philosophy ndio inaongelea jambo kama hilo kwahiyo jamaa kapitia tu vitabu vya philosophy anajidai kafanya utafiti. Shida tunayo kama watafiti ndio wa dizaini hii waliopo
Kitabu cha mwanzo 1;1biblia inasema,Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.mleta uzi unaelewa nini hapo?
Hapan' shaka hapa tulipo tayari Tu kuzimuWenye dhambi ni kuzimu na kuzimu ni duniani
Hapa Duniani hakuna starehe ni uwanja wa fujo shida na karaha hakuna chochote mwanadamu anachojivunia kula ni kazi, Kunya ni kazi, Kulala ni kazi, mapenzi kufanya ni kazi ukikaa ni kazi hakuna starehe Duniani.Hapan' shaka hapa tulipo tayari Tu kuzimu
Mbona hujibu nilichouliza?Mkuu unapitia mada za Rakim na kuelewa anachomanisha?
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kaumba huu ambao mabaya yanawezekana?Hapa Duniani hakuna starehe ni uwanja wa fujo shida na karaha hakuna chochote mwanadamu anachojivunia kula ni kazi, Kunya ni kazi, Kulala ni kazi, mapenzi kufanya ni kazi ukikaa ni kazi hakuna starehe Duniani.
Ili uishi katika utukufu lazima ufe ukiwa mtenda mema roho yako itaihama Dunia na kuishi katika utukufu.
Mbona hujibu nilichouliza?
Unaweza ku define supernatural nielewe unavyoelewa ni vipi?
Hata wewe unaelewa unachokiandika? Maana isije kuwa umeona neno ukaamua kulirusharusha tu hata maana yake huelewi.
Rakim ni nani?
Napitia na kujibu angalau posts zote zinazoninukuu au kunitag.
Mungu ni muweza wa yote tatizo wewe uwezo wako wa kufikiri umegota sioni Mantiki yoyote katika unachoulizaKwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kaumba huu ambao mabaya yanawezekana?
Tumeshangaa tetemeko la Bukoba kuua watu, tukaona kimbunga kimeua watu karibu elfu moja huko Haiti.
Hivi Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna tetemeko la ardhi wala kimbunga?
Angeumba hivyo angepungukiwa nini?
Tukiona baba wa mtoto anamwachia mtoto aumie wakati ana uwezo wa kuweka mazingira ya mtoto kutoumia tutamuitaje huyo baba?
Kwa nini tuna standards za juu kuhusu baba wa mtoto ambaye hana ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote kuliko Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
Unaweza kujibu maswali haya?
Shetani hayupo, kwa nini niamini uwepo wa shetani?Supernatural- Ni uwezo wa kiasili wa kufanya kitu uhai wa viumbe au chochote kulingana na mazingira halisi.
Ni nguvu ya msukumo wa asili kwa dhana ya mazingira halisi.
Wewe unaamini uwepo wa shetani?
Hujajibu swali nililokuuliza, sijui ni kwa sababu huna uwezo wa kulielewa au unalielewa hutaki kulijibu kwa makusudi tu.Mungu ni muweza wa yote tatizo wewe uwezo wako wa kufikiri umegota sioni Mantiki yoyote katika unachouliza
Mungu ameumba Ulimwengu na vyote vilivyomo ktk Ulimwengu lazima uamini kwa kuwa uhai wa viumbe na mazingira yake ni ushahidi tosha kukuaminisha Mungu muweza wa yote ndie chanzo cha uhai na vyote.
Unaamini mwanadamu ana uwezo katika nafsi kukunenea baya na likawa?