Nimejua kuna hewa ya ukanda kwa kujifunza na kufanya utafiti.
Uchawi Hakuna haja kuamini labda ikitokea ukakupata utaujua.
Mungu ndie aliyeumba kila kitu vinavyoonekana na visivyo onekana.
Lazima uamini wenye hekima kwa kuwa wanakufunza kwa hekima kwa kuwa hata madogo huyajui jifunze kwa wenye hekima ujue mengi.
Kama hujui kiwambo cha hewa ya ukanda bado hauwezi kujifunza mambo makubwa.
Jifunze madogo yanayolingana na uelewa wako utamjua Mungu kwa uthibitisho wa baadhi ya vitu vidogo tu vilivyomo ktk Dunia yetu kwa ustadi na mipangilio maalum.