Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Hautaji kuniambia ni uwezo mdogo... kwani followers wa udini ni wenye uelewa duni. Dini haitaji uwe na akili dana bali ukiwa ******** sana ndio unaielewa vizuri....
Mkuu Mimi ni tofauti na hao unao wafikiria nafahamu nini ninaongea na Nina ushahidi wa kimazingira lakini anayepinga ni imani tu isiyo kuwa na tija.

Unafaham Dunia imeumbwa?
 
Imekuwepo tu... utasemaje imeumbwa wakati inaumbwa haukuwepo... why unafanya imaginations.
Mkuu, ufaham wa kitu haijalishi umekuwapo ama haujakuwapo ni mengi sana ktk Dunia yetu tunajifunza na kuyapatia majibu vitu vingi ktk Dunia vimeonyesha kuwa vilianza na vinakoma mojawapo ni uhai wa viumbe hai hata mawe yamefikia wakati yanazeeka.

Dunia imeumbwa
 
Kama mungu hakuumbwa... why dunia na vinginevyo viwe vimeumbwa???
Mungu ni mwanzo na mwisho hakuumbwa Bali ameumba Mungu si kiumbe kama unavyodhani, Mungu ni himaya ya Ulimwengu iliyoumba vyote.
 
Umejuaje kama mungu hakuumbwa?

Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.

Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
 
How come anakuwa addressed as he???[/QUOTE
Mkuu nielewe hakuumbwa Mungu ni mwanzo na mwisho unafahamu nini kuhusu Dunia ?

Kwa nini upo Duniani?

Nani alikwambia tu naishi Duniani?

Unaamini hii ni Dunia?

Ukinijibu nitakuelewesha utanielewa
 
How come anakuwa addressed as he???
Mungu muweza wa yote ni mwanzo na mwisho hana kitu cha kumfananissha. Unaelewa nn kuhusu Dunia?
Kwa nini upo Duniani?
Nani alikwambia hii ni Dunia ?
Unaamini upo Duniani?
Kwa unacho amini unashaka nacho na kwanini?
 
Umejuaje kama mungu hakuumbwa?

Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.

Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
Mungu ni mwanzo na mwisho hakuumbwa yupo at a kuwepo milele daima.
Mungu ni Muumba wa vyote

Unaelewa nn kuhusu Dunia?

Unaamini upo Duniani?

Kwanini hauna shaka kuwa haupo Duniani?
 
Hamna mtu aliyethibitisha kwamba Mungu yupo bado.
 
Unataka uthibitisho gani?

Mazingira ya maisha yetu ni kielelezo tosha kwa uumbaji wa Mungu wetu.

Umewahi kuota jambo na baadae likakutokea ?
 
Umejuaje kama mungu hakuumbwa?

Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.

Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
Umejuaje kama mungu hakuumbwa?

Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.

Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
Umejuaje kama mungu hakuumbwa?

Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.

Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
Umejuaje kama mungu hakuumbwa?

Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.

Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
Umejuaje kama mungu hakuumbwa?

Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.

Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
Umejuaje kama mungu hakuumbwa?

Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.

Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
Ni mwenye uwezo wote mamlaka anayo yote iwe alibuni au chochote yote ni mamlaka yake
 
Hamna mtu aliyethibitisha kwamba Mungu yupo bado.
Uthibitisho wa maisha na Ulimwengu inatosha kuwa kuna muumba, wewe unafahamu ninini kimesababisha kuwepo Ulimwengu?
 
Ulimwengu ambao una mabaya mengi hauwezi kuwa umetokana na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Maisha yenye mabaya, dhiki na kifo kinachotenganisha wapendanao pia hayawezi kuwa yametokana na Mungu huyo.

Ulimwengu huu na maisha haya havitibitishi kwamba Mungu huyo yupo.

Vinathibitisha kwamba Mungu huyo hayupo.
 
Ni mipangilio ya Mungu kuumba Ulimwengu wenye haya mabaya na mema angeweza kuumba Ulimwengu usio na mabaya lakini kufahamu kwanini aliumba hivi jibu analo mwenyewe.

Unadhani nini hasa kimesababisha Dunia kuwepo?
 
Ukisema ni mpangilio wa Mungu na jibu analo mwenyewe kimsingi unasema humuelewi huyo Mungu na huwezi kumuelezea.

Kama humuelewi na huwezi kumuelezea Mungu unayemuamini unaweza kuwa unaamini Mungu ambaye hayupo.

Kipi kinakufanya uamini kwamba yupo wakati hata huwezi kumuelezea?
 
Back
Top Bottom