Mazingira ya maisha yetu yanathibitisha hakuna Mungu huyo muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote.
1. Kama yupo, kwa nini aliumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
2. Kwa nini kaumna mifumo ya kibaiolojia yenye vast inefficiencies? Kunya, kukojoa, kutoa jasho vyote ni inefficiencies. Katika physics any waste product show lack of 100% efficiency. Mungu wenu angekuwepo na angekuwa katuumba tungekuwa hatunyi wala kukojoa, hatuumwi wala kufa. Hayo ni mapungufu yanayoonesha hayupo.
3. Umetaja mpangilio wa nyota na sayari etc. Hilo pia linaonesha vast inefficiency. The univetse is 99% empty space. The most prevalent atom in the universe is 99.9999999999996% empty space. This is vast inefficiency in the use of space.
The atoms that make up your body are more than 99% empty space.
This is vast inefficiency. How can you say an all knowing, all loving and all capable God made this ?