Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa bannedMazingira ya maisha yetu yanathibitisha hakuna Mungu huyo muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote.
1. Kama yupo, kwa nini aliumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
2. Kwa nini kaumna mifumo ya kibaiolojia yenye vast inefficiencies? Kunya, kukojoa, kutoa jasho vyote ni inefficiencies. Katika physics any waste product show lack of 100% efficiency. Mungu wenu angekuwepo na angekuwa katuumba tungekuwa hatunyi wala kukojoa, hatuumwi wala kufa. Hayo ni mapungufu yanayoonesha hayupo.
3. Umetaja mpangilio wa nyota na sayari etc. Hilo pia linaonesha vast inefficiency. The univetse is 99% empty space. The most prevalent atom in the universe is 99.9999999999996% empty space. This is vast inefficiency in the use of space.
The atoms that make up your body are more than 99% empty space.
This is vast inefficiency. How can you say an all knowing, all loving and all capable God made this ?
Kama mungu ndiyo mpangaji kwahiyo moja kwa moja mungu wako ni muuaji sasa.Mungu ndie mpangaji wa yote tumezaliwa tutakufa sioni maajabu kufa ni lazima haijarishi tetemeko ,njaa, vita ,n.k kufa ni kufa tu
Mkuu, Kifo ni sehemu ya maisha kufa Si dhambi labda kujiua ni dhambi ila kama mda wako ukifika ni mipango ya Mungu kwa kuwa kuna maisha inje ya mwili.Kama mungu ndiyo mpangaji kwahiyo moja kwa moja mungu wako ni muuaji sasa.
Pia kwanini atuletee haya mabalaa yote mfano njaa, tetemeko n.k?
Yeye si anadai kuwa una upendo, mwingi wa rehema.
Kwanini asiyazuie hayo mambo mabaya yanayowatesa watu wake anaowapenda?
Kulingana na unavyomuelezea atakuwa ni mnafiki mkubwa sana Mkuu!
Chukulia huu mfano wa kawaida-- hakuna mzazi wa kumuua mtoto wake kisa kamkosea mbali na kumuonesha njia sahihi anavyotakiwa aishi!
Aisee Asante sanaAisee Hi hatari!
Unawezaje kutumia miaka 16 tu kukamilisha Extraordinary research kama hiyo?
NASA wana taarifa yako?
Scientific research ndiyo,Methodology ipi uliyotumia?
Kifaa kipi ulichotumia kuchunguza hiyo nyota?Hubble space telescope?
"Nina hakika mwenyezi Mungu anaishi katika mojawapo ya Nyota za Jua"
'Nyota za Jua' ndiyo kitu gani kaka yangu?
Mkuu,Mungu hachunguziki.
Mungu Si mwanadamu na kila jambo amelipanga kama alivyoona inafaa kwa utaratibu wake.Kama mungu ndiyo mpangaji kwahiyo moja kwa moja mungu wako ni muuaji sasa.
Pia kwanini atuletee haya mabalaa yote mfano njaa, tetemeko n.k?
Yeye si anadai kuwa una upendo, mwingi wa rehema.
Kwanini asiyazuie hayo mambo mabaya yanayowatesa watu wake anaowapenda?
Kulingana na unavyomuelezea atakuwa ni mnafiki mkubwa sana Mkuu!
Chukulia huu mfano wa kawaida-- hakuna mzazi wa kumuua mtoto wake kisa kamkosea mbali na kumuonesha njia sahihi anavyotakiwa aishi!
Mnaongozwa vibaya kutumia mstari wa Biblia. Kumbuka kwamba maneno hayo yalitamkwa na Ayubu kwenye Ayubu 1:21 baada ya kupatwa na majanga makubwa likiwemo la kufiwa na watoto wake wote. Alikuwa akimlaumu Mungu kuwa ndiye alimletea mabalaa yote hayo kama wewe na wengine mnavyomtuhumu Mungu kuwa muuaji. Ukiendelea kusoma sura zinazofuata za Ayubu, aliendelea kumlaumu na kuilaani siku aliyozaliwa. Baada ya kuongea mambo mengi ya shutuma dhidi ya Mungu, Mungu anaanza kumjibu Ayubu kuanzia Sura ya 38 ya kitabu cha Ayubu, anamuuliza maswali mazito ambayo Ayubu anashindwa kujibu.Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jibu na la Bwana Libarikiwe
Mkuu nadhani umeni quote vibaya hakuna nilikosema Mungu ni muuaji.Mnaongozwa vibaya kutumia mstari wa Biblia. Kumbuka kwamba maneno hayo yalitamkwa na Ayubu kwenye Ayubu 1:21 baada ya kupatwa na majanga makubwa likiwemo la kufiwa na watoto wake wote. Alikuwa akimlaumu Mungu kuwa ndiye alimletea mabalaa yote hayo kama wewe na wengine mnavyomtuhumu Mungu kuwa muuaji. Ukiendelea kusoma sura zinazofuata za Ayubu, aliendelea kumlaumu na kuilaani siku aliyozaliwa. Baada ya kuongea mambo mengi ya shutuma dhidi ya Mungu, Mungu anaanza kumjibu Ayubu kuanzia Sura ya 38 ya kitabu cha Ayubu, anamuuliza maswali mazito ambayo Ayubu anashindwa kujibu.
Kwenye Sura ya 40:4 Ayubu anasema;"Tazama! Nimekuwa kitu kisicho na maana. Nitakujibu nini? Nimeuweka mkono wangu juu ya kinywa changu. 5. Nimesema mara moja nami sitajibu; Na mara mbili, nami sitaongeza lolote. - NW.
Baada ya Ayubu kujibu hivyo, Mungu aliendelea kumuuliza maswali ambayo Ayubu alishindwa kuyajibu. Ndipo sasa kwenye Ayubu 42:1-5 Ayubu anaujua ukweli kumhusu Mungu na mambo makubwa aliyoyafanya na kukiri hivi.. "Nimesikia habari zako kwa fununu, lakini sasa jicho langu mwenyewe linakuona wewe. 6. Ndiyo sababu NINAYATANGUA NILIYOSEMA NAMI NINATUBU KATIKA MAVUMBI NA MAJIVU". - NW.
Ayubu aliyatangua yote aliyomshutumu Mungu likiwemo lile alilosema "Bwana anatwaa" , na akatubu makosa hayo, inakuwaje leo mnafanya makosa hayo hayo na hamtubu? Na mnaendelea kufundisha watu kwamba Mungu ni muuaji?
Anakaa wapi mkuu?Kafanye tena huo utafiti wako kiongozi.Kwa kukusaidia tu;Mwenyezi Mungu hakai kwenye nyota wala kwenye mbingu kama wengine wanavyodai.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jibu na la Bwana Libarikiwe
Mungu ndie mpangaji wa yote tumezaliwa tutakufa sioni maajabu kufa ni lazima haijarishi tetemeko ,njaa, vita ,n.k kufa ni kufa tu
Mkuu, Hizo nyuzi nilikuwa nikijibu anayepinga uwepo wa Mungu ili afahamu Mungu amefanya kila kitu kwa mpangilio wake kama alivyo ona inafaa.Samahani ndugu yangu, ulimaanisha nini kwenye hizi nyuzi zako?