Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mimi ni tofauti na hao unao wafikiria nafahamu nini ninaongea na Nina ushahidi wa kimazingira lakini anayepinga ni imani tu isiyo kuwa na tija.Hautaji kuniambia ni uwezo mdogo... kwani followers wa udini ni wenye uelewa duni. Dini haitaji uwe na akili dana bali ukiwa ******** sana ndio unaielewa vizuri....
Mkuu, ufaham wa kitu haijalishi umekuwapo ama haujakuwapo ni mengi sana ktk Dunia yetu tunajifunza na kuyapatia majibu vitu vingi ktk Dunia vimeonyesha kuwa vilianza na vinakoma mojawapo ni uhai wa viumbe hai hata mawe yamefikia wakati yanazeeka.Imekuwepo tu... utasemaje imeumbwa wakati inaumbwa haukuwepo... why unafanya imaginations.

How come anakuwa addressed as he???Mungu ni mwanzo na mwisho hakuumbwa Bali ameumba Mungu si kiumbe kama unavyodhani, Mungu ni himaya ya Ulimwengu iliyoumba vyote.
Umejuaje kama mungu hakuumbwa?Mungu ni mwanzo na mwisho hakuumbwa Bali ameumba Mungu si kiumbe kama unavyodhani, Mungu ni himaya ya Ulimwengu iliyoumba vyote.
How come anakuwa addressed as he???[/QUOTE
Mkuu nielewe hakuumbwa Mungu ni mwanzo na mwisho unafahamu nini kuhusu Dunia ?
Kwa nini upo Duniani?
Nani alikwambia tu naishi Duniani?
Unaamini hii ni Dunia?
Ukinijibu nitakuelewesha utanielewa
Mungu muweza wa yote ni mwanzo na mwisho hana kitu cha kumfananissha. Unaelewa nn kuhusu Dunia?How come anakuwa addressed as he???
Mungu ni mwanzo na mwisho hakuumbwa yupo at a kuwepo milele daima.Umejuaje kama mungu hakuumbwa?
Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.
Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
Kama mungu hakuumbwa... why dunia na vinginevyo viwe vimeumbwa???
Hayo ni mawazo ya kushindwa kufikiri haina maana eti kila jambo unalolifahamu lazima lilipotokea ulikuwapoImekuwepo tu... utasemaje imeumbwa wakati inaumbwa haukuwepo... why unafanya imaginations.
Umejuaje kama mungu hakuumbwa?
Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.
Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
Umejuaje kama mungu hakuumbwa?
Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.
Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
Umejuaje kama mungu hakuumbwa?
Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.
Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
Umejuaje kama mungu hakuumbwa?
Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.
Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
Umejuaje kama mungu hakuumbwa?
Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.
Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
Ni mwenye uwezo wote mamlaka anayo yote iwe alibuni au chochote yote ni mamlaka yakeUmejuaje kama mungu hakuumbwa?
Najua utasema ulisoma kwenye vitabu dini vinavyo toa sifa mbalimbali juu yake.
Kama hakuumbwa mamlaka ya kutuumba sisi aliyatoa wapi huyo Mungu?
Ulimwengu ambao una mabaya mengi hauwezi kuwa umetokana na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.Uthibitisho wa maisha na Ulimwengu inatosha kuwa kuna muumba, wewe unafahamu ninini kimesababisha kuwepo Ulimwengu?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?Ni mwenye uwezo wote mamlaka anayo yote iwe alibuni au chochote yote ni mamlaka yake
Ni mipangilio ya Mungu kuumba Ulimwengu wenye haya mabaya na mema angeweza kuumba Ulimwengu usio na mabaya lakini kufahamu kwanini aliumba hivi jibu analo mwenyewe.Ulimwengu ambao una mabaya mengi hauwezi kuwa umetokana na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Maisha yenye mabaya, dhiki na kifo kinachotenganisha wapendanao pia hayawezi kuwa yametokana na Mungu huyo.
Ulimwengu huu na maisha haya havitibitishi kwamba Mungu huyo yupo.
Vinathibitisha kwamba Mungu huyo hayupo.
Ukisema ni mpangilio wa Mungu na jibu analo mwenyewe kimsingi unasema humuelewi huyo Mungu na huwezi kumuelezea.Ni mipangilio ya Mungu kuumba Ulimwengu wenye haya mabaya na mema angeweza kuumba Ulimwengu usio na mabaya lakini kufahamu kwanini aliumba hivi jibu analo mwenyewe.
Unadhani nini hasa kimesababisha Dunia kuwepo?