Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Hata mm naweza kusema ninachotaka
Unaweza kusema unachotaka lakini hutakielewa kwa maana ni mawazo ya uamuzi au unapotosha lakini Mimi Nina Ukweli wa hiki kisayansi na ktk nukuu za vitabu vutakatifu
 
Kwa sababu ni tafiti kisayansi Kama ulivyodai tunaomba methodology uliyotumia kufikia hilo hitimisho lako pia bila kusahau proofs.
Nadhani ni utafiti wa kifikra kwa kuunganisha na fact za kisanyansi.
 
Watuwengine sijui wanatumia bange ilofukiziwa kwenye tundu la choo! Umepatawapi mamlaka ya kumjadili Mungu
 
Kafanye tena huo utafiti wako kiongozi.Kwa kukusaidia tu;Mwenyezi Mungu hakai kwenye nyota wala kwenye mbingu kama wengine wanavyodai.
Your so right,Ngoja niwaambie mungu anakaa wapi,kuna sehemu nyingi mungu anakaa
1.kwanza mungu hukaa ndani ya kila mtu aliyemwamini yesu kristo na amefanya roho yake kuwa umoja nae kupitia roho mtakatifu yaani roho wa mungu na roho ya mwamini ni kitu kimoja
2.kukaa kwa jinsi watu wengi wanavofikiria,sehem hakika ambayo mungu anakaa na alikaa kabla ya uumbaji ni sehemu inaitwa "eternity" yaani umilele maana huko ndiko alikokuwa before the establishment of time and its rules,its nearly impossible binadamu kuelewa umilele kwani akili zetu zipo ndani ya mda "time" we cannot percieve how something can exist out of time,Na pia mungu mwenyewe ndio umilele,kwaiyo unaweza ukauliza alikuwa anakaa katika mwenyewe? Jibu ni ndio.
3.Mungu yupo kila sehemu kwani he is omnipresent
Majibu yote haya ni sahihi!
 
Mungu
1.hukaa ndani ya mtu aliempokea yesu
2.hukaa sehem inayoitwa eternity yaani umilele,na yeye mwenyewe ni umelele hivyo jibu sahihi kwa swali lako ni "MUNGU ANAISHI/ANAKAA KATIKA YEYE"
3.Mungu yupo kila sehemu pia "omnipresent"

Plzzz review ur studies and try to hv a settled mind.
 
Kutoka 19:1 -
1Timothy 6:16 ni uelewa wa ki binadamu kushindwa kutafakari na uelewa kuhusu utatu mtakatifu.
Mungu huishi mbali kusikoweza kukaribiwa
 
Kutoka 19:1 -
1Timothy 6:16 ni uelewa wa ki binadamu kushindwa kutafakari na uelewa kuhusu utatu mtakatifu.
Mungu huishi mbali kusikoweza kukaribiwa
 
Ukimaliza utafiti wako huu, tufanyie utafiti na siku ya mwisho wa dunia ni lini?
 
Pia kama ushajua Mungu alipo, kamuulize utakufa lini.
 
Wolfgang Pauli once said "There is no God, and Dirac is his prophet".

God is an idea that was made by man.
 

Sasa unatafuta makubwa we endelea kumfuatafuata Mungu uone shauri yako we unataka ujue anapoishi ili iweje sisi binadamu wenzako hatutakua na uwezo wa kukusaidia we endelea kumnyatia uone kipigo chake hutarudia tena
 
We mchokoze Mungu tu uone kama mwenyewe amejificha maana yake hataki tumuone mpaka upate tiketi ya kufa tu, angerushusu tumuone tungemsumbua mno
 
Hapa ndipo ulipobugi,
Mungu ni Spiritual Issues, huwezi kuchanganya na Sayansi ambayo inaamini katika misingi mikuu ya Observation na Experiment.
Yaani huwezi ku-observe uwepo wa Mungu na anapoishi, wala huwezi kufanya Experiment yoyote ya kuthibitisha Mungu yuko na yuko wapi so Kisayansi ukitafuta kumjua Mungu una fail Mkuu.
 
Naaam mkuu
iyo kaa nayo tu , v2 kama ivo ukichochea chochea unaweza kupigwa hata na Kofi la uso na mkono usioonekana apo apo ulipo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…