Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Mhh, walah hali inatisha, inaonekana ile albadir inaendelea kuwehua watu mpaka wanaanza kuchunguza yasiyochunguzika ha ha
 
Huwezi kumchambua Mungu kwa miaka16 hata miaka million huwezi mwisho ishia Mungu yupo mbingun yatosha
 
Hayupo huyo anakuelekeza yupo yeye mwnyewe anatenda maovu wewe hushangai anakuogopesha alafu yeye haogopi
 
Katika mbingu(universe) kuna mamilioni ya galaxy na katika galaxy kama hii yetu kuna billions za nyota.Kumbuka jua ni nyota pia kwa sifa zake,Je kwa nini jua ndio liwe makazi ya mungu wakati kuna mabilioni ya nyota?
Kumbuka sisi tunaishi katika galaxy iitwayo milky way galaxy picha hio ni ya nasa.

Kumbuka mbingu au universe ndio imebeba galaxies na nasa wanasema kuna galaxy kama bilioni mia.
Hii sisi tuliopo ni moja tu.

Hio picha hapo ni mfano wa galaxy zilizopo katika universe.
Sasa unasemaje kuhusiana na supernova ?kwa maana ni kubwa sana kuliko jua yaani jua linaingia mara kadhaa na supernova ni mlipuko wa star baada ya maisha yake.
It means jua lina mwisho wake pia na litatoweka.
Sasa mkuu niulize swali ina maana umeona jua tu ndio makazi ya mungu?
Vipi kuhusiana na nyota zingine ambazo ni kubwa kuliko jua?
Au nyota nyingine kubwa ndio mungu mkuu?
 
Sasa unatafuta makubwa we endelea kumfuatafuata Mungu uone shauri yako we unataka ujue anapoishi ili iweje sisi binadamu wenzako hatutakua na uwezo wa kukusaidia we endelea kumnyatia uone kipigo chake hutarudia tena
Mkuu Mungu ametupa akili tuitumie hakuna dhambi kuutafta ukweli
 
We mchokoze Mungu tu uone kama mwenyewe amejificha maana yake hataki tumuone mpaka upate tiketi ya kufa tu, angerushusu tumuone tungemsumbua mno
Mungu ametupa akili tuitumie ila kufika alipo lazima ufe ndio utafte njia
 
Mkuu tumepewa akili tuzitumie, na nimechanganya sayansi kwa misingi ya kuelezea kuonyesha ukuu wa Mungu ktk Hali zote jumuishi ktk maisha yetu.
Mwakani Mungu akiniweka hai nitaleta jumuishi ya utafiti kujazia mjadala huu
 
Du watu wana vituko. Miaka 16 unagundua MUNGU yupo kwenye jua? MUNGU ni Roho maana yake ni nafsi hai. Hashikiki wala haonekani. Ni kama sauti inayozungumza na wewe kukushauri,kukuelimisha na kukuongoza katika mema. Kwa binadamu MUNGU hutambulika kama dhamiri njema. Hivo dhamiri mbaya ndio huitwa shetani. Hivo mtu anaeishi kwa dhamiri njema huyo ndio huitwa ana mtii MUNGU. hivo tofautisha MUNGU na jua.
 
Kwa hiyo ulixhoandika ndo utafiti wa maika 19 sio??????

Kwani kila ulivyokuwa ukichunguza akili yako iliisha ktk jua tu????

Upeo wako ni kubust ili upate upeo mkubwa sana hicho ulichoandika kwa mbwembwe si chenyewe labda ulimlenga mungu APOLO au Nimrodi kwani yeye ndiye mungu aishie ktk jua na mungu mke semiramis mungu mwezi anayeishi mwezini.

Kumbuka Mungu wetu hawezi ishi ktk jua.

Kuhusu utafiti wa kutokufikiwa ktk mwezi,km unavyosema si kweli kwani wale Nasa wa watafiti wengine wengi tu wametuma vyombo vya kisayans kwenda kuchunguza jua ikiwepo chombo maarufu kwa jina la VOYAGER 1 kilichorushwa sep 1977 kimeshasafir zaid ya kilomita 10 bill na mpka sasa kina umri wa km miaka 40 angani.

Hivyo si kweli kuwa jua haichunguziki.
 
Ni kweli ktk universe Kuna ma bilioni ya galaxy na katika kila galaxy kuna billion ya nyota (jua) na ktk nyota (jua) kuna Sayari na ktk sayari kuna miezi ([emoji287] moon) .
Kuhusu supernova nyota hufa baada ya mda wake kuisha na nyota ikifa sayari zake na miezi hufa, lakini maelezo yangu yanahusu uwepo wa MAKAZI YA MUNGU KTK MOJA WAPO YA NYOTA (JUA) hili linatanabahishwa ki Bible na scientific Rejea
Bible, Kutoka 19,20 Mungu ameshuka ktk moto.
Science, Katika nyota (Majua) ndio penye uthibitisho hapawezi kukaribiwa na chochote kwa sababu ya moto mkali wa myeyungano waki nuclear

Rejea 1Timotheo 6:16 Mungu huishi pasipo karibiwa ktk Nuru ya mbali.

Mkuu kama haujanielewa niulize tu
 
Mkuu bado haujajifunza endelea kujifunza ipo siku utajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…