Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Mkuu tumepewa akili tuitumie
Akili tulizo pewa mkuu zinaukimo ndio mana huwezi kutengeneza mbingu zako ardhi yako viumbe vyako hata uambiwe tengeneza sisimiz huwezi mkuu Mungu katupa akili na elimu kidooogo sana
 
Akili tulizo pewa mkuu zinaukimo ndio mana huwezi kutengeneza mbingu zako ardhi yako viumbe vyako hata uambiwe tengeneza sisimiz huwezi mkuu Mungu katupa akili na elimu kidooogo sana
Ikiwa Mungu amempa binadamu akili ndogo sana ya kumjua na kumfahamu Mungu, kwahiyo mikanganyiko mingi ihusuyo imani ya uwepo wa Mungu, sifa ya Mungu, n.k kasababisha Mungu mwenyewe kutokana na binadamu kutumia utashi wao wenyewe ambao upo kwenye ukomo?
 
Sayansi inatanuka Roho ya mwanadamu ni Mungu tosha na inatosha kabisa kuleta majibu ya kila jambo huko unakosema hakufikiki patafikika tu kama pameshagundulika ni swala la muda tu
na kwa haya maneno machache umemshinda mleta mada na research yake ya miaka kumi na moja.
 
Good thought
 
Kabla ya kumchunguza mungu alipo jichunguze wewe kwanza ilkuwaje ukatokea kwenye maji maji meupe huo udadisi wako Leo hii unamchunguza mungu acha kibri
 
Mungu anakaa kwenye jua! Mwanafalsa wa kale (ancient philosophy) sikumbuki jina alisema ukweli upo kwenye moto, lakini alishindwa kujieleza. Yote hayo ni maoni kwani jibu la uwepo wa Mungu kila mtu na maoni yake. Mimi nafikiria hivi, nimetoka kwa wazazi wangu, nao walitoka kwa wazazi wao, ukiendelea huna mwisho, basi kuna chanzo chake, ni kipi? Basi kila kitu kina mwanzo wake na kuna mwanzo wa vyote, ndio Mungu. Anakaa wapi? Hakuna jibu. Basi shughulika Na vinavyoonekana, vingine unapoteza mda. Hakuna utafiti mbele na Muumba
 
Leta elim iliyojificha
 
[emoji106] [emoji122]
 
Mungu anakaa kwenye jua makabila mengi ya kiafrika Mungu anaitwa jua mfano wachaga wanamwita Rua maana jua
 
Hiyo akili yako itakusababishia matatizo makubwa..utakuja kuwa kama huyo kwenye avatar yako..endelea na uchunguzi wako na kufuru zako
Sioni kosa nililofanya hapa huu ni utafiti unaolenga na kusaidia kujua ukweli
 
Wazungu wamemidanganya na mkadanganyika
Rubbish#
Hakuna cha wazungu na hatupaswi kujishusha huu ni utafiti lengo nikuelezea bayana kwa lugha yetu adhimu ya kiswahili ili walau kila mtu ajifunze tatizo wengi mmeshikwa akili hamfikirriii inje ya box
 
Akili tulizo pewa mkuu zinaukimo ndio mana huwezi kutengeneza mbingu zako ardhi yako viumbe vyako hata uambiwe tengeneza sisimiz huwezi mkuu Mungu katupa akili na elimu kidooogo sana
Sijatengeneza kitu ni utafiti inje ya box na nimetumia sayansi na biblia sioni nilichokosea
 
Asante natumai atakuelewa tatizo wengi wanafikiri ndani ya box
 
Kabla ya kumchunguza mungu alipo jichunguze wewe kwanza ilkuwaje ukatokea kwenye maji maji meupe huo udadisi wako Leo hii unamchunguza mungu acha kibri
Kufanya utafiti hakuna maana ya kufanya dhambi nikujithibitisha ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…