Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Sasa kama Mungu anaishi ndani ya jua na ameshazoea moto wake,roho zinazoenda mbinguni alipo Mungu inakuaje?? Kama ni kweli hakuna mbingu, nani aende huko kwenye tanuru?? Basi shetani anaishi mahali pazuri kuliko Mungu
 
Walioleta hizi dini walikua na interest zao binafsi so walitumia dini kama gia ya kuingilia kwetu
 
Ndiyo maana hii thread nimeanza kuiona muda mrefu lakini nilikuwa sishawishiki kuifungua. Yaani utafiti wako wa miaka 16 unaleta majibu ya hivi!! Mungu yupo tofauti na tunavyomfikiria.

Hizo karatasi zako za utafiti washia jiko uchemshe chai.
 
Yupo ambae yuko ndo MUNGU , wapo waliowaza na wenye akili haaa haaaaa huwezi kupata jibu kwa sababu unamfanyia utafiti ambae anajua unachowaza, haaa haaa yaani bora uache tuu
 
Mpangilio na Usanifu wa muundo wa Ulimwengu wetu ni mpangilio uliofanywa kwa usahihi ndio maana kila kitu kipo katika sehemu yake bila kuathiri kingine
Quotation ya Sir Isaack Newton alipoulizwa nini mawazo yake kuhusu uwepo WA supernatural power
 
God is not a three dimensional being so it is impossible to describe God in a three dimensional world
Makazi yake anayajua mwenyewe
Mkuu ukweli unajifunua ktk kweli tu hebu fikiri kitu kisichoweza kukaribiwa ni nini?
Fikiri Mungu alipowatokea wana wa Israel Sinai slikuja ktk moto
Mungu alimtokea Mussa ktk mwali wa moto kwa nini asingetokea kama maji au barafu?

16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16
 
Sasa kama Mungu anaishi ndani ya jua na ameshazoea moto wake,roho zinazoenda mbinguni alipo Mungu inakuaje?? Kama ni kweli hakuna mbingu, nani aende huko kwenye tanuru?? Basi shetani anaishi mahali pazuri kuliko Mungu
Mkuu roho si upepo tu kwani roho inashikika?
Umewahi kuiona roho?

16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16
 
Walioleta hizi dini walikua na interest zao binafsi so walitumia dini kama gia ya kuingilia kwetu
Ukweli wa Muumbaji wa ulimwengu ni dhahiri yupo fundi mpangiliaji wa vyote
 
16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16
 
Ndiyo maana hii thread nimeanza kuiona muda mrefu lakini nilikuwa sishawishiki kuifungua. Yaani utafiti wako wa miaka 16 unaleta majibu ya hivi!! Mungu yupo tofauti na tunavyomfikiria.

Hizo karatasi zako za utafiti washia jiko uchemshe chai.
Mkuu mbona unakuja na majibu mepesi yasiyokuwa logic???
Soma hii

16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16
 
Kwa hiyo una maanisha mbingun ndo juani[emoji32]
Kwanza hapa tulipo hata sisi tupo angani hakuna chini tunaiona chini kwakuwa tupo ktk ardhi ya dunia

16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16
 
Yupo ambae yuko ndo MUNGU , wapo waliowaza na wenye akili haaa haaaaa huwezi kupata jibu kwa sababu unamfanyia utafiti ambae anajua unachowaza, haaa haaa yaani bora uache tuu
16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16
 
Quotation ya Sir Isaack Newton alipoulizwa nini mawazo yake kuhusu uwepo WA supernatural power
Ukweli ni kuwa usanifu wa ulimwengu wetu umetengenezwa
2045enh_std%7E2.jpeg
VY-Canis-Majoris-wide-field-640x615%7E2.jpeg
 
Mkuu mbona unakuja na majibu mepesi yasiyokuwa logic???
Soma hii

16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16
Mzee baba, kama unategemea biblia itakuambia ukweli kuhusu mungu, hauko sahihi. Biblia inamfanya mungu aonekane hana msimamo, anayetengua amri zake mwenyewe, anayewahukumu watu kwa makosa (mipango) aliyofanya/kuandaa yeye. Mungu yupo lakini si kama anavyoelezewa kwenye biblia.
 
Mkuu katika ulimwengu huu kuna nguvu kubwa isiyoonekana ambayo imeufanya ulimwengu huu na kupangilia kila kitu ktk mfumo wake hii nguvu tuipe jina gani?
Angalia mfano Dunia yetu ilivyo rejea nyuma Big bang au Supernova pata picha tengeneza maisha mengine ya nyota na sayari zake
Jibu: hizi sayari zote zitakuwa na joto Kali kama la nyota yao na miale ya sum inaingia moja kwa moja hakuna kinachoweza kustawisha uhai
Inatokea sayari Dunia inawekewa kioo cha hewa nzito kuchuja sumu ya miale ya jua na inawekewa oksjen inaanza kustawisha uhai wa viumbe je nini kimefanya haya tukipe jina?
 
Back
Top Bottom