impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
- Thread starter
- #1,161
Biblia imeandika vyema Wanaojiita wakristo ndio hupotosha ukweli na watu hujitoa ufahamu na kuwafata hawa wapotoshaji pasipo kujifunza wao wenyeweMzee baba, kama unategemea biblia itakuambia ukweli kuhusu mungu, hauko sahihi. Biblia inamfanya mungu aonekane hana msimamo, anayetengua amri zake mwenyewe, anayewahukumu watu kwa makosa (mipango) aliyofanya/kuandaa yeye. Mungu yupo lakini si kama anavyoelezewa kwenye biblia.