Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Ni kweli mambo mengi dini zinatudanganya kwa ajiri ya maslahi yao binafsi ila ukijifunza ukaujua ukweli inasidia kumjua Mungu si kama wafia dini wanavyotufundisha njia zinazolenga sadaka kwa maslahi yao na family zao
Barikiwa Sana.
 
16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16

Kama unaamini bible tafakari hiyo aya
Kukaa kwenye Nuru isiyokaribiwa Siyo kithibitisho kwamba ni jua...vipi kuhusu nyota nyingine zisizo karibiwa?...na kauli ya kukaribiwa inaweza kuwa inaelezea umbali au joto ya nuru hiyo, Hivyo basi reference hiyo pekee kwa upande wangu inaweza isiwe Kigezo kikuu kuamini ni jua a.k.a nearest star...

Shukrani pia kwa Jibu lenye reference nzuri,
 
Asante, lakini tuone Nyota ndio Nuru maana sayari haina sifa ya kuwa nuru hata kama ingekuwa kubwa kiasi gani maana bado itaendelea kuwa na uhai kutokana na nguvu ya uvutani katika nyota iliyoisababisha hiyo sayari kuwa hai

Kwa muktadha huu Nuru isiyokaribiwa ni nyota

Pitia hii picha utafakari zaidi
taurus-zodiac-sign-of-the-beautiful-bright-stars-vector-1893038.jpg
 
Mm haniingii akilini kua mungu Ana mtoto kama ni hivo basi Ana baba na babu na wajukuu?
Mkuu, Mungu hajazaa wala hajazaliwa
Mungu siyo kiumbe
Wamwabuduo Mungu humwabudu kwa roho na kweli
 
Usiabudu chochote kilicho angani wala aridhini ,hiyo ya jua kuwa mungu unaturudisha 3000 yrs ago wakati huo wagiriki walikuwa wanaabudu sana jua
Rudia kusoma nadhani hukunielewa Nyota ni kama makazi tu
 
Nadhani kuna sehemu haujanielewa au ni ubishani lakini elimu niliyonayo kuhusu geography inanitosha kabisa

Hii ni Jua kubwa katika mfumo wetu Milk away galaxy
Angalia pembeni yake nukta ya Jua letu hapo ufikiri na ujifunze kusoma na kuelewa
Lakini pia ndio challenge lazima tutofautiane kimutazamo
View attachment 861573

Nimekuelewa Mkuu. Haya tuambie Mungu ataishije kwenye Nyota ndogo kuliko zote ilihali zipo nyota kubwa?
Watu wengi hawajui kuwa Mungu haonekani, hagusiki, na hutakuja umuone Mungu kwani ndivyo alivyo. Hata huko mbinguni hao viumbe waliokuwa huko hawajawahi kumuona. Lusifa mwenyewe hajawahi kumuona. Watu wanasema Mungu yupo mbinguni, wakati si kweli. Mungu yupo pote.
 
Rudia kusoma bandiko langu ujiridhishe vyema hakuna niliposema Mungu anaishi kwenye Jua letu
Nimesema Mungu anaishi katika moja ya majua (Nyota)
Na siku specify kuwa Nyota - Jua ipo Andromeda, Milk away galaxy, X6 maana galaxy zipo mabilioni

Unaposema Majua unatoa tafsiri gani mkuu? Nini ulilenga? Jua ni jina la nyota yetu. Kila nyota inasayari zake. Kila sayari ina setilaiti zake. Sasa ukisema majua ulimaanisha huenda Mungu anaishi kwenye moja ya Nyota zilizopo angani?
 
Jaribu kuangazia na upande mwengine Wa imani,Nakwambia hutojutia utafiti wako
 
Hapana mkuu majua yapo mengi hatujui makazi maalumu ya Mungu ni yapi.

Mfano katika anga ambamo sisi tupo na nyota yetu ya Jua (milk away galaxy) kuna mabilion ya ma Jua nyota.

Bible
16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16

View attachment 861569
Usijali ukifa utajua
 
Mungu hakuna ndio maana kuna imani nyingi sana duniani,kila dini unayoiona ww hapa duniani ujue inawakilisha utamaduni wa eneo lao

Mfano uislam asili yao wao waarabu ukristo mchanganyiko wa wazungu na waebrania hindus kwa wahindi

Kama mungu yupo kweli na yeye mmoja kwann kuna dini nyingi na mbona kila mtu akiomba kwa dini yake anafanikiwa?
 
Nimekuelewa Mkuu. Haya tuambie Mungu ataishije kwenye Nyota ndogo kuliko zote ilihali zipo nyota kubwa?
Watu wengi hawajui kuwa Mungu haonekani, hagusiki, na hutakuja umuone Mungu kwani ndivyo alivyo. Hata huko mbinguni hao viumbe waliokuwa huko hawajawahi kumuona. Lusifa mwenyewe hajawahi kumuona. Watu wanasema Mungu yupo mbinguni, wakati si kweli. Mungu yupo pote.
Mkuu hakuna niliposema Mungu anaishi katika Jua letu
Nilisema anaishi katika moja wapo ya majua nyota ila sikubainisha ni katika milk away Galax, Andromeda, wala galaxy nyinginezo ila kwa sifa za Mungu zilivyo ambako hakufikiki lazima ni katika nyota
 
Mkuu Jua lipo moja tuu. Hizo zingine ni Nyota
 
Unaposema Majua unatoa tafsiri gani mkuu? Nini ulilenga? Jua ni jina la nyota yetu. Kila nyota inasayari zake. Kila sayari ina setilaiti zake. Sasa ukisema majua ulimaanisha huenda Mungu anaishi kwenye moja ya Nyota zilizopo angani?
Kuita majua ni kutafta lugha nyepesi kufahamisha ili wengi wafahamu Jua ni Nyota
Ndio maana nikatumia Majua maana wengi hawajui jua ni Nyota
 
Back
Top Bottom