Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuita majua ni kutafta lugha nyepesi kufahamisha ili wengi wafahamu Jua ni Nyota
Ndio maana nikatumia Majua maana wengi hawajui jua ni Nyota
Dini ni utashi wa watu kujitaftia ridhiki endelea kujifunza ukiwa huru utaujua ukweli wa uwepo wa Mungu kikubwa usiruhusu kushikwa akili hapo kweli hautoijuaMungu hakuna ndio maana kuna imani nyingi sana duniani,kila dini unayoiona ww hapa duniani ujue inawakilisha utamaduni wa eneo lao
Mfano uislam asili yao wao waarabu ukristo mchanganyiko wa wazungu na waebrania hindus kwa wahindi
Kama mungu yupo kweli na yeye mmoja kwann kuna dini nyingi na mbona kila mtu akiomba kwa dini yake anafanikiwa?
Mkuu sawa nimetumia Majua kwa muktadha wa kufahamisha asiyejua kuwa Jua ni Nyota.
Wamwabuduo Mungu humwabudu kwa roho na kweli kabla Mungu hajaumba dunia alikuwa sehemu yote ya ulimwengu ila naamini alipo umba Dunia alioondoa utukufu wake na kuiacha dunia iutafte utukufu kwa kumcha yeye.Nimekuelewa.
Mkuu Mungu hana makazi. Mungu yupo pote wakati wote. Mungu akiwa na makazi italeta ukakasi kidogo kwani unaweza Kufikiri mambo mengi zaidi. Moja, unaweza kufikiri kwamba Kumbe Mungu naye anamuda ambapo kutoka mbinguni(mahali anapoishi) mpaka hapa itamchukua muda gani jambo ambalo litapunguza uungu wake. Mungu yupo pote kwa wakati wote.
Utaungana nami endapo utajiuliza, Kabla ya Mungu kuumba mbingu na ardhi alikuwa anaishi wapi?
Wamwabuduo Mungu humwabudu kwa roho na kweli kabla Mungu hajaumba dunia alikuwa sehemu yote ya ulimwengu ila naamini alipo umba Dunia alioondoa utukufu wake na kuiacha dunia iutafte utukufu kwa kumcha yeye.
Soma
14 Musa akatelemka mlimani akawaendea watu akawatakasa, nao wakafua nguo zao.
Kutoka 19 :14
15 Akawaambia watu; Mwe tayari siku ya tatu; msimkaribie mwanamke.
Kutoka 19 :15
16 Ikawa siku ya tatu, wakati wa asubuhi, palikuwa na ngurumo na umeme, na wingu zito juu ya mlima, na sauti ya baragumu iliyolia sana. Watu wote waliokuwa kituoni wakatetemeka.
Kutoka 19 :16
17 Musa akawatoa hao watu katika kituo, akawaleta ili waonane na Mungu; wakasimama pande za chini za kile kilima.
Kutoka 19 :17
18 Mlima wa Sinai wote pia ukatoa moshi, kwa sababu Bwana alishuka katika moto; na ule moshi wake ukapanda juu kama moshi wa tanuu, mlima wote ukatetemeka sana.
Kutoka 19 :18
19 Na hapo sauti ya baragumu ilipozidi kulia sana, Musa akanena, naye Mungu akamwitikia kwa sauti.
Kutoka 19 :19
20 Bwana akaushukia mlima, juu ya kilele cha mlima; Bwana akamwita Musa aende hata kilele cha mlima; Musa akapanda juu.
Kutoka 19 :20
IslamImani IPI niangazie?
اللَّهُ نُورُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۚ مَثَلُ نُورِهِ كَمِشْكَاةٍ فِيهَا مِصْبَاحٌ ۖ الْمِصْبَاحُ فِي زُجَاجَةٍ ۖ الزُّجَاجَةُ كَأَنَّهَا كَوْكَبٌ دُرِّيٌّ يُوقَدُ مِن شَجَرَةٍ مُّبَارَكَةٍ زَيْتُونَةٍ لَّا شَرْقِيَّةٍ وَلَا غَرْبِيَّةٍ يَكَادُ زَيْتُهَا يُضِيءُ وَلَوْ لَمْ تَمْسَسْهُ نَارٌ ۚ نُّورٌ عَلَىٰ نُورٍ ۗ يَهْدِي اللَّهُ لِنُورِهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَيَضْرِبُ اللَّهُ الْأَمْثَالَ لِلنَّاسِ ۗ وَاللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ )Ametokana na nanii. Mungu ametokana na nini?
Sijakuelewa kakaاللَّهُ نُورُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۚ مَثَلُ نُورِهِ كَمِشْكَاةٍ فِيهَا مِصْبَاحٌ ۖ الْمِصْبَاحُ فِي زُجَاجَةٍ ۖ الزُّجَاجَةُ كَأَنَّهَا كَوْكَبٌ دُرِّيٌّ يُوقَدُ مِن شَجَرَةٍ مُّبَارَكَةٍ زَيْتُونَةٍ لَّا شَرْقِيَّةٍ وَلَا غَرْبِيَّةٍ يَكَادُ زَيْتُهَا يُضِيءُ وَلَوْ لَمْ تَمْسَسْهُ نَارٌ ۚ نُّورٌ عَلَىٰ نُورٍ ۗ يَهْدِي اللَّهُ لِنُورِهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَيَضْرِبُ اللَّهُ الْأَمْثَالَ لِلنَّاسِ ۗ وَاللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ )
النور (35) An-Noor
Mwenyezi Mungu ni Nuru ya Mbingu na Ardhi. Mfano wa Nuru yake ni kama shubaka lenye kuwekwa ndani yake taa. Taa ile imo katika tungi. Tungi lile ni kama nyota inayo meremeta, inayo washwa kwa mafuta yanayo toka katika mti ulio barikiwa, mzaituni. Si wa mashariki wala magharibi. Yanakaribia mafuta yake kung'aa wenyewe ingawa moto haujayagusa - Nuru juu ya Nuru. Mwenyezi Mungu humwongoa kwenye Nuru yake amtakaye. Na Mwenyezi Mungu huwapigia watu mifano. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua kila kitu.
Uliuliza mungu ni nani kama sijakosea,,,Sijakuelewa kaka
Niliuliza chanzo chake ni kipi hasaUliuliza mungu ni nani kama sijakosea,,,
Mkuu MUNGU YUKO AMBE YUKONiliuliza chanzo chake ni kipi hasa
Dini ni utashi wa watu kujitaftia ridhiki endelea kujifunza ukiwa huru utaujua ukweli wa uwepo wa Mungu kikubwa usiruhusu kushikwa akili hapo kweli hautoijua
You have a point kaka... nikitafakari haya huwa nabaki na mashaka na nakuwa mgumu sana kutekeleza yanayodaiwa ni maagizo ya Mungu....napata ukakasi sana linapokuja swala la practising... najiuliza kama mimi nafanya kosa kufanya ibada.. je babu na bibi zangu nao walikuwa na makosa???.. . Waliishi bila kutegemea kufanya haya ya miaka hii.Tatizo ni moja kwann huyo mungu mwenyewe hakutaka sisi tumjue?
Kwanini nasema mungu hakutaka sisi tumjue?
Jibu uislam umekuja kati ya karne 13 au 14 kupitia waarabu walivyokuja kufanya biashara East Afrika wakati ukristo umekuja kati ya karne 18 baada ya industrial revolution ulaya
Swali langu ni
Kama mungu alikuwa anataka tumjue kwanini muhammad katokea mwaka 570 lakini uislam umekuja karne 13 miaka mingapi imepita hapo mpaka waarabu walipokuja kufanya biashara wakaamua kueneza na uislam kwa maneno mengine lengo lao kubwa waarabu lilikuwa biashara na si kueneza dini kama ingekuwa dini wangekuja miaka ya 610 wakati muhamad yupo hai
Na Yesu katokea miaka ya 1 C.E lakini wazungu wameleta ukristo karne 18 imepita miaka karibu elfu kwann miaka hiyo yote wasije kueneza dini mpaka kulipotokea mapinduzi ya viwanda ulaya ndio wao wakaja na colonial agents wakiwemo missionary inamaana lengo lao kubwa lilikuwa kutafuta mali ghafi sio kueneza dini
Kwanini mungu wa uislam na ukristo wamekuja kwa dizain kama hizo?
Ningetaka kukupinga kwa hoja ningekuwa tayari nimewela hoja zangu hapa,Mkuu nipo huru milembe nipelekwe kufanya nini kosa langu lipo wapi nipinge kwa hoja siyo unitusi