Sayansi inatanuka Roho ya mwanadamu ni Mungu tosha na inatosha kabisa kuleta majibu ya kila jambo huko unakosema hakufikiki patafikika tu kama pameshagundulika ni swala la muda tu
Safi sana nilitaka sema hivi umeniwahi, Kama Biblia ni kitabu cha kweli kutoka kwa Mungu. Kuna watu km mimi ni Mungu kwa sababu tumetokana na Mungu mwenyewe hasa, kwa kupulizia uhai wake ndani yangu, MUngu alimwambia Musa ''Tazama nakufanya km Mungu mbele ya Pharaoh''
Yesu alipotaka kupigwa Mawe na wayahudi kwa madai ya kuwa alikuwa anakufuru kujiita mwana wa Mungu, aliwakumbusha hao walio taka kumpa kisago namnukuu ''si imeandikwa kwa sheria zenu kuwa nyie ni Mungu kunakosa gani mimi kujjita mwana wa Mungu? wakaduwaa!!
lkn katika hawa hawa binadamu tunaoishi nao leo hata kutoka familia moja kuna watoto waliotoka kwa shetani hasa wa kwanza wa kiume km Cain, Esau nk, vizazi hivo vipo mpaka leo ndiyo vinasumbua, hakuna sehemu imeandikwa kuwa waliteketezwa vizazi vyoote!! la hasha!! kizazi cha nyoka kinajitahidi kumjua Mungu lkn wapi!! mara Mungu sijui ni nani, hayupo!! '' kwanini ,kwanini kibao''!
Kwa mujibu wa Biblia Mwanamke ni Mama wa viumbe vyote'' fikiri kwa nini Mungu alisema hivo? watoto wake Mungu watazaliwa na mwanamke, na wa shetani watazaliwa na mwanamke huyohuyo! kma waedom, wayebusi nk, kumbuka kila penye mkono wa Mungu shetani ana plan B'' yake. ili kuleta confusion ila kwa Yesu mnazareth alishindwa vibaya kwa aibu.
Kwa Muktadha huu Mleta Mada uko sahihi kabisa wala hatukupungi huyo ni mungu wako unaemjua na una muabudu, na suala la miungu kuishi limekuwepo tangu zama za Biblia na wametajwa kabisaa mfano mungu Baal, aliwasaida wafilisti kumuweka mnadhili wa Mungu Samson kwa kupitia Delila na kweli walimshukuru na kumtolea Sadaka ya shukrani