Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Unapinga dini ambazo zinaeleza habari za kuhusu Mungu kwa kuona zimetungwa tu na watu,ila ajabu na wewe unakuja na habari za kuhusu Mungu. Hivi watu watakao kubali haya unayoyaeleza nao watakuwa huru au nao pia watakuwa watumwa wa maelezo yako kama ilivyo katika dini?Dini ni utashi wa watu kujitaftia ridhiki endelea kujifunza ukiwa huru utaujua ukweli wa uwepo wa Mungu kikubwa usiruhusu kushikwa akili hapo kweli hautoijua