Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Kutokuamini Mungu yupo nisawa nakutokuamin Upepo upo kwasababu hujauona.Utaniambia unaamin upepo upo kwakuona athari zake namim nitakwambia Mungu yupo kwakuona athar zake pia.Mojawapo wa hizo athari ni uwepo wa viumbe hai dunian ikiwemo wewe ambae huna uwezo wakuongeza uhai wako ata dakika moja pale kifo kinapokukuta.Kwaiyo ili ukatae uwepo wa Mungu kwanza kataa uwepo wa uhai na kifo,kisha pambana na kifo maana tayari uhai unao ila kifo chako bado hukijui maana hujawai kukiona kama ambavyo hujawai kumwona Mungu ila kwa hakika iko siku kitakukuta maana kipo kama jinsi ambavyo Mungu yupo.Aya mambo ya Mungu hakuna binadamu mwenye uwezo wakuyakana kwa akili zakibinadamu ambae hajui ata kesho yake.Kwaiyo kukana uwepo wa Mungu nikujitia ukichaa usio na sababu ilhali vitabu vya dini vipo na vimetuambia Mungu yupo na athari zake tunaziona ivyo hatuna budi kuamini.
 
Umefanya nafasi yako. Mungu ni omnipresent-yupo kila mahali. Tatizo unamlinganisha na viumbe. Yeye ni Muumbaji. Yeye tunamwita Niko na yuko kila mahali. Siku moja atatenga wema na uovu...chagua wema ukaishi
Hakuna niliko mfananisha Mungu na kiumbe naamini sana Mungu naamini yeye nimuumba wa kila kitu nionyeshe nilipo fananisha Mungu na kiumbe/?
Naamini haipo Mungu ni roho tukufu yupo mbinguni patukufu duniani hakuna utukufu soma 1Timotheo 6:16 utamjua Mungu soma kutoka 19 yote na 20
 
Kutokuamini Mungu yupo nisawa nakutokuamin Upepo upo kwasababu hujauona.Utaniambia unaamin upepo upo kwakuona athari zake namim nitakwambia Mungu yupo kwakuona athar zake pia.Mojawapo wa hizo athari ni uwepo wa viumbe hai dunian ikiwemo wewe ambae huna uwezo wakuongeza uhai wako ata dakika moja pale kifo kinapokukuta.Kwaiyo ili ukatae uwepo wa Mungu kwanza kataa uwepo wa uhai na kifo,kisha pambana na kifo maana tayari uhai unao ila kifo chako bado hukijui maana hujawai kukiona kama ambavyo hujawai kumwona Mungu ila kwa hakika iko siku kitakukuta maana kipo kama jinsi ambavyo Mungu yupo.Aya mambo ya Mungu hakuna binadamu mwenye uwezo wakuyakana kwa akili zakibinadamu ambae hajui ata kesho yake.Kwaiyo kukana uwepo wa Mungu nikujitia ukichaa usio na sababu ilhali vitabu vya dini vipo na vimetuambia Mungu yupo na athari zake tunaziona ivyo hatuna budi kuamini.
Kumjua Mungu hakuhitaji msomi hata maisha ya kila siku na ni jibu tosha kwa Mungu ni muumba wa kila kitu
 
Kutokuamini Mungu yupo nisawa nakutokuamin Upepo upo kwasababu hujauona.Utaniambia unaamin upepo upo kwakuona athari zake namim nitakwambia Mungu yupo kwakuona athar zake pia.Mojawapo wa hizo athari ni uwepo wa viumbe hai dunian ikiwemo wewe ambae huna uwezo wakuongeza uhai wako ata dakika moja pale kifo kinapokukuta.Kwaiyo ili ukatae uwepo wa Mungu kwanza kataa uwepo wa uhai na kifo,kisha pambana na kifo maana tayari uhai unao ila kifo chako bado hukijui maana hujawai kukiona kama ambavyo hujawai kumwona Mungu ila kwa hakika iko siku kitakukuta maana kipo kama jinsi ambavyo Mungu yupo.Aya mambo ya Mungu hakuna binadamu mwenye uwezo wakuyakana kwa akili zakibinadamu ambae hajui ata kesho yake.Kwaiyo kukana uwepo wa Mungu nikujitia ukichaa usio na sababu ilhali vitabu vya dini vipo na vimetuambia Mungu yupo na athari zake tunaziona ivyo hatuna budi kuamini.
Upepo hauna logical inconsistency.

Mungu wenu ana logical inconsistency.

Unaelewa hilo?
 
Bado unazunguka swali. Hujalijibu.

Nakuuliza kwa nini niamini Mungu yupo, unaniambia lazima niamini.

Sitaki kulazimishwa, nataka kujibiwa mpaka nielewe na kukubali kwa hiyari yangu.

Kwa nini unasema ninachokiona kimekuwepo kwa uwezo wa Mungu?

Ninachokiona leo ni kimbunga kinachoitwa Matthew, kimeua watu masikini 900 huko Haiti.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao unawezekana kuwa na kimbunga kama hiki wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na kimbunga kama hiki bila ya kupungukiwa na chochote?
Haya yote hayana budi kutukia ili uwepo wa Mungu utiishe na kumuheshimu Kifo ni Furaha kifo ni baraka lazima ufe ili uishi milele Mungu anatupenda kila alichofanya kina sababu Amini Mungu upone maana hujui siku wala saa
 
Haya yote hayana budi kutukia ili uwepo wa Mungu utiishe na kumuheshimu Kifo ni Furaha kifo ni baraka lazima ufe ili uishi milele Mungu anatupenda kila alichofanya kina sababu Amini Mungu upone maana hujui siku wala saa.
Unaamini upepo una nguvu? unaweza kuushika upepo? Upepo ninini? Hujawahi kuuona upepo kwa macho kama usivyo wahi kumuona Mungu lakini una mkiri Mungu kwa kinywa chako wewe siku moja utaitwa mchungaji wa wateule Mungu ana Mpango nawewe
 
Hujajibu swali. Unahubiri tu. Kama huna jibu sema tu hujui.

Nimeuliza.

Mungu kashindwa kufanya namna nyingine zaidi ya hii ya kuua watu kwa namna mbaya kabisa?

Huyu ndiye Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Yupo kweli Mungu huyu au ni hadithi tu?

Kifo ni furaha na baraka? Jiue basi usiendelee kuandika ujinga huu hapa JF tujue kweli unamaanisha hilo.
 
Haya yote hayana budi kutukia ili uwepo wa Mungu utiishe na kumuheshimu Kifo ni Furaha kifo ni baraka lazima ufe ili uishi milele Mungu anatupenda kila alichofanya kina sababu Amini Mungu upone maana hujui siku wala saa.
Unaamini upepo una nguvu? unaweza kuushika upepo? Upepo ninini? Hujawahi kuuona upepo kwa macho kama usivyo wahi kumuona Mungu lakini una mkiri Mungu kwa kinywa chako wewe siku moja utaitwa mchungaji wa wateule Mungu ana Mpango nawewe
Upepo hauna logical inconsistency.

Mungu wako ana logical inconsistency.

Unafananisha visivyofanana.

Unaelewa hilo?
 
Upepo hauna logical inconsistency.

Mungu wenu ana logical inconsistency.

Unaelewa hilo?
Mda mwingine nashindwa kuamini hivi kweli kiranga huamini uwepo wa Mungu au ni joking?
Ulimwengu umekuwapo kwa nani msanifu?
 
Hujajibu swali. Unaelewa kuhusu "logical consistency"?
Kama kila kilichopo kinahitaji msanifu, Mungu amekuwapo kwa sababu nani msanifu wake?

Dhana yako kwamba kila kilichopo kinahitaji msanifu inapinga uwepo wa Mungu.

Kwa sababu huyo Mungu naye atahitaji msanifu, na msanifu wake atahitaji msanifu.

Ad infinitum, ad nausea.
 
Upepo hauna logical inconsistency.

Mungu wako ana logical inconsistency.

Unafananisha visivyofanana.

Unaelewa hilo?
Ni jinsi uelewa wako ulivo au mazingira yaliyo kukuza unahitaji kugusa ndio uamini? Mbona si vyote vinagusika na vipo?
Je bila mashine kiona vijidudu vya bakteria usingeamini kwa kuwa huoni vijidudu?
 
Wapi nimetaja kugusa?

Unafahamu logical inconsistency ni nini? Mbona hujibu suala hili?

Ni wazi hufahamu.Ungefahamu usingeongelea habari za kugusa.

Na hili ndilo tatizo. Huna elimu ya kujadili haya mambo.Zaidi ya kukosa elimu, huna utashi.

Huwezi hata kuuliza "hiyo logical inconsistency siielewi, nieleweshe, ni kitu gani hicho?"

Ungeuliza hivyo hata usingejiaibisha kuuliza habari za kugusa.

Sasa unaongelea habari za kugusa unajionesha si tu huna elimu ya kutosha kuzungumzia mambo haya, bali pia huna utashi wa kutosha hata kuuliza usichoelewa.
 
Hujajibu swali. Unaelewa kuhusu "logical consistency"?
Kama kila kilichopo kinahitaji msanifu, Mungu amekuwapo kwa sababu nani msanifu wake?

Dhana yako kwamba kila kilichopo kinahitaji msanifu inapinga uwepo wa Mungu.

Kwa sababu huyo Mungu naye atahitaji msanifu, na msanifu wake atahitaji msanifu.

Ad infinitum, ad nausea.
Mada zako zinafikirisha sana lakini mantiki ya kutokuwepo Mungu inakutoa ulingoni kwanini usiamini Mungu ili ujifunze kuhusu Mungu?
 
Nimekuuliza kwa nini niamini Mungu, hujaweza kunijibu.

Nimekuuliza unaelewa logical inconsistency iliyopo katika idea ya Mungu wako?

Hujaelewa naongea kitu gani wala kuwa na utashi wa kuniuliza uelewe.

Kwa nini unafikiri una chochote cha maana cha kunishauri mimi wakati wewe mwenyewe maswali yangu huwezi kuyajibu wala kuyaelewa?
 
Wapi nimetaja kugusa?

Unafahamu logical inconsistency ni nini? Mbona hujibu suala hili?

Ni wazi hufahamu.Ungefahamu usingeongelea habari za kugusa.

Na hili ndilo tatizo. Huna elimu ya kujadili haya mambo.Zaidi ya kukosa elimu, huna utashi.

Huwezi hata kuuliza "hiyo logical inconsistency siielewi, nieleweshe, ni kitu gani hicho?"

Ungeuliza hivyo hata usingejiaibisha kuuliza habari za kugusa.

Sasa unaongelea habari za kugusa unajionesha si tu huna elimu ya kutosha kuzungumzia mambo haya, bali pia huna utashi wa kutosha hata kuuliza usichoelewa.
Kuwa na Mantiki ya uhuluishi (upayukaji) Pia hujui unachokisema au ni jinsi unalazimisha kujenga uelewa wako katika dhana ya ubongo wako kukaririsha unachokiamini kwa kujilazimisha
 
Kuwa na Mantiki ya uhuluishi (upayukaji) Pia hujui unachokisema au ni jinsi unalazimisha kujenga uelewa wako katika dhana ya ubongo wako kukaririsha unachokiamini kwa kujilazimisha ?
Hujajibu ulichoulizwa, ulichojibu hujaulizwa.

Narudia

Wapi nimetaja kugusa?

Unafahamu logical inconsistency ni nini? Mbona hujibu suala hili?

Ni wazi hufahamu.Ungefahamu usingeongelea habari za kugusa.

Na hili ndilo tatizo. Huna elimu ya kujadili haya mambo.Zaidi ya kukosa elimu, huna utashi.

Huwezi hata kuuliza "hiyo logical inconsistency siielewi, nieleweshe, ni kitu gani hicho?"

Ungeuliza hivyo hata usingejiaibisha kuuliza habari za kugusa.

Sasa unaongelea habari za kugusa unajionesha si tu huna elimu ya kutosha kuzungumzia mambo haya, bali pia huna utashi wa kutosha hata kuuliza usichoelewa.
 
Hujajibu swali. Unahubiri tu. Kama huna jibu sema tu hujui.

Nimeuliza.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao unawezekana kuwa na kimbunga kama hiki wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na kimbunga kama hiki bila ya kupungukiwa na chochote?

Mungu kashindwa kufanya namna nyingine zaidi ya hii ya kuua watu kwa namna mbaya kabisa?

Huyu ndiye Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Yupo kweli Mungu huyu au ni hadithi tu?

Kifo ni furaha na baraka? Jiue basi usiendelee kuandika ujinga huu hapa JF tujue kwelifwv unamaanisha hilo.
Mungu hajaribiwi kufa lazima kukufike siyo kujiua
 
Back
Top Bottom