gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Kutokuamini Mungu yupo nisawa nakutokuamin Upepo upo kwasababu hujauona.Utaniambia unaamin upepo upo kwakuona athari zake namim nitakwambia Mungu yupo kwakuona athar zake pia.Mojawapo wa hizo athari ni uwepo wa viumbe hai dunian ikiwemo wewe ambae huna uwezo wakuongeza uhai wako ata dakika moja pale kifo kinapokukuta.Kwaiyo ili ukatae uwepo wa Mungu kwanza kataa uwepo wa uhai na kifo,kisha pambana na kifo maana tayari uhai unao ila kifo chako bado hukijui maana hujawai kukiona kama ambavyo hujawai kumwona Mungu ila kwa hakika iko siku kitakukuta maana kipo kama jinsi ambavyo Mungu yupo.Aya mambo ya Mungu hakuna binadamu mwenye uwezo wakuyakana kwa akili zakibinadamu ambae hajui ata kesho yake.Kwaiyo kukana uwepo wa Mungu nikujitia ukichaa usio na sababu ilhali vitabu vya dini vipo na vimetuambia Mungu yupo na athari zake tunaziona ivyo hatuna budi kuamini.