Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chochote kilichosababisha ulimwengu uwepo, chochote kilichosababisha uhai uwepo, si Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.Hivi kwanini unashindwa kunielewa mbona kila kitu kipo wazi?
Wewe unaamini nn kimesababisha Ulimwengu kuwepo na uhai?
Unawajua atheist wote?Zamani ktk jamii yangu waliamini Mungu ndie aliyeumba inchi , waliamini Jua ni jicho la Mungu jamii zote wanaamini Mungu ni vile kujikanganya ktk matamshi .
Atheism wanaamani uhai na vyote ni super natural ni vile akili imefika anakoona lakini hiyo supernatural ndio Mungu ni mgoto wa ufikiriaji
Siwezi kukuelewa ktk jambo lenye ushahidi wa kimazingira niambie unadhani uhai wa viumbe umesababishwa na nini?Chochote kilichosababisha ulimwengu uwepo, chochote kilichosababisha uhai uwepo, si Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Kwa sababu ulimwengu uliopo na uhai uliopo havina logical consistency na Mungu huyo.
In fact ulimwengu uliopo na uhai uliopo vina m contradict Mungu huyo.
Na contradiction inaonesha uongo katika habari.
Hivyo habari ya kuwepo Mungu huyu ni uongo.
Nikikwambia sasa hivi nipo Los Angeles, halafu hapo hapo nikakwambia nipo Dar es salaam muda huo huo, utajua habari hii haijakaa sawa, ina contradiction. Kwa sababu siwezi kuwa sehemu mbili kwa wakati mmoja.
Nikikwambia nina pembetatu ambayo pia ni duara, katika Euclidian geometry, habari hiyo haiyumkiniki. Ni contradiction.
Umeelewa hilo?
Wengi ni wangapi?Siwajui lakini mwelekeo wao wengi ni supernatural kila kitu kimekuwapo lakini wanashindwa kufahamu ndani ya supernatural ni Mungu muumba wa vyote.
Unajuaje kwamba yeyote asiye amini Mungu huamini super natural wakati ushasema huwajui wasioamini Mungu wote?Yeyote asiye amini Mungu huamiani super natural akasahau super natural ni Mungu mwenyewe.
Wewe mwelekeo wako niwa supernatural kwa dhana yangu kama upo tofauti niambie nitakushauri maana uelekeo wako siyo mzuri
Nuru upo huku... ccm oyeeeee.Utafiti unaosema Watanzania laki nne wana ugonjwa wa akili mimi nnaupinga, nnaamini Watanzania wenye matatizo ya akili ni wengi tena wengi sana.
Sikurupuki.... base on your research hakuna vivid example and experiment ulizofanya za hiyo sayansi unayosema.... kwa kifupi unachokiongea hakina tofauti na maneno ya mchungaji au sheikh.... u research is dumb... na wala haitaji 16 yrs kuja na research ya kuduwanzi hivyo. 16 yrs research ingecomeout na kitabu cha page 10000....Angalia anae kujibu ni yupi usikurupuke Mimi natumia hoja za kisayansi nilizozifanyia utafiti na bado naendelea kufanya utafiti.
Kama hayupo kwenye hayo magroup... how do u know anaexist???Yaani unataka ktk makundi haya nimlinganishe Mungu?
Hawezi kukuelewa.... but in quantum mechanics... electron can exist in various points at the same time.Chochote kilichosababisha ulimwengu uwepo, chochote kilichosababisha uhai uwepo, si Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Kwa sababu ulimwengu uliopo na uhai uliopo havina logical consistency na Mungu huyo.
In fact ulimwengu uliopo na uhai uliopo vina m contradict Mungu huyo.
Na contradiction inaonesha uongo katika habari.
Hivyo habari ya kuwepo Mungu huyu ni uongo.
Nikikwambia sasa hivi nipo Los Angeles, halafu hapo hapo nikakwambia nipo Dar es salaam muda huo huo, utajua habari hii haijakaa sawa, ina contradiction. Kwa sababu siwezi kuwa sehemu mbili kwa wakati mmoja.
Nikikwambia nina pembetatu ambayo pia ni duara, katika Euclidian geometry, habari hiyo haiyumkiniki. Ni contradiction.
Umeelewa hilo?
Wht is wrong if they call it supernatural and not Mungu..... na kwanini tuamini Mungu ametuambia tufanye yanayosemwa ambayo yanacontradiction. Mungu wa upande wa waislamu anacontradict na wa upande wa wakristo, budha etc????? What is the consistency in this??? There is a consistency kwenye uumbaji according to ur point of view. Mbona hakuna consistency kwenye kumuelezea Mungu huyo????.Siwajui lakini mwelekeo wao wengi ni supernatural kila kitu kimekuwapo lakini wanashindwa kufahamu ndani ya supernatural ni Mungu muumba wa vyote.
Then so what?? Let say tumeshajua yupo...way forward yake ni nin????Umenielewa vibaya Mungu yupo na kila jambo afanyalo lina makusudi yake Mungu ni mwenye uwezo wote hakuna kinachoweza kumshinda yeye ni Alfa na
Omega
Ni vema ungejikita katika tafiti za jinsi ya kufanya kilimo kiwe na tija.Mkuu waafrika tupo hivi hatupendi kujifunza hatuamini hata yanayowezekana siyo kosa lako
Tunasoma mifumo ya elimu ya Informal kuanzia awali mpaka chuo lazima ni tegemee wengi kama wewe KARIBU KIJANA MLUGO
Ni kweli.Tatizo ni kubwa ya zaidi tunavyo ambiwa.Utafiti unaosema Watanzania laki nne wana ugonjwa wa akili mimi nnaupinga, nnaamini Watanzania wenye matatizo ya akili ni wengi tena wengi sana.
I have been thinking a lot about quantum mechanics, particularly this question. I have yet another quantum mechanics book - "The Quantum Story: A History in 40 Minutes"- to finish before the end of the year just to understand it better. If you have a worthy title please do recommend.Hawezi kukuelewa.... but in quantum mechanics... electron can exist in various points at the same time.
U ask those questions... embu jiulize when u die na kuoza... funza wanatoka wapi???? Kama nikitumia mfano wa funza naweza pia kusema binadamu wa kwanza huenda aliibuka from something...Hakuna nilipo rahisisha hoja yangu on ukweli usiopingika Mungu yupo na vitu vingi vipo wazi hakuna anayeweza kukataa akaleta ushahidi wa ushindi wake ktk imani anayoaamini hata wewe unasadikisha hakuna uhakika na unachosema Pole sana Mungu yupo Mimi sihubiri siyo mchungaji naongea uhalisia.
Mlipuko wa Big bang Uliiacha Dunia na joto kari sana kusingewezekana kuwepo uhai wa asili (super natural) kwa joto lililokuwa likikadiriwa ilifika 4,500,000° ambalo mpaka Leo Dunia imepoa inje na sehemu za ndani bado ni joto kari.
Miale ya Jua (sun) yenye sum kari iliweza kufika ktk sayari ya Dunia bila kizuizi chochote uwezekano wa hewa mgando ya ukanda haukuwepo.
Nini kilipoza Dunia?
Nini kilianzisha oxygen?
Nini kilianzisha hewa ya ukanda kukinga Dunia na miare sumu ya Jua?
Nini kilianzisha uhai?
Unaufahamu Ulimwengu?