Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Hivi kwanini unashindwa kunielewa mbona kila kitu kipo wazi?

Wewe unaamini nn kimesababisha Ulimwengu kuwepo na uhai?
Chochote kilichosababisha ulimwengu uwepo, chochote kilichosababisha uhai uwepo, si Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Kwa sababu ulimwengu uliopo na uhai uliopo havina logical consistency na Mungu huyo.

In fact ulimwengu uliopo na uhai uliopo vina m contradict Mungu huyo.

Na contradiction inaonesha uongo katika habari.

Hivyo habari ya kuwepo Mungu huyu ni uongo.

Nikikwambia sasa hivi nipo Los Angeles, halafu hapo hapo nikakwambia nipo Dar es salaam muda huo huo, utajua habari hii haijakaa sawa, ina contradiction. Kwa sababu siwezi kuwa sehemu mbili kwa wakati mmoja.

Nikikwambia nina pembetatu ambayo pia ni duara, katika Euclidian geometry, habari hiyo haiyumkiniki. Ni contradiction.

Umeelewa hilo?
 
Zamani ktk jamii yangu waliamini Mungu ndie aliyeumba inchi , waliamini Jua ni jicho la Mungu jamii zote wanaamini Mungu ni vile kujikanganya ktk matamshi .

Atheism wanaamani uhai na vyote ni super natural ni vile akili imefika anakoona lakini hiyo supernatural ndio Mungu ni mgoto wa ufikiriaji
Unawajua atheist wote?
 
Chochote kilichosababisha ulimwengu uwepo, chochote kilichosababisha uhai uwepo, si Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Kwa sababu ulimwengu uliopo na uhai uliopo havina logical consistency na Mungu huyo.

In fact ulimwengu uliopo na uhai uliopo vina m contradict Mungu huyo.

Na contradiction inaonesha uongo katika habari.

Hivyo habari ya kuwepo Mungu huyu ni uongo.

Nikikwambia sasa hivi nipo Los Angeles, halafu hapo hapo nikakwambia nipo Dar es salaam muda huo huo, utajua habari hii haijakaa sawa, ina contradiction. Kwa sababu siwezi kuwa sehemu mbili kwa wakati mmoja.

Nikikwambia nina pembetatu ambayo pia ni duara, katika Euclidian geometry, habari hiyo haiyumkiniki. Ni contradiction.

Umeelewa hilo?
Siwezi kukuelewa ktk jambo lenye ushahidi wa kimazingira niambie unadhani uhai wa viumbe umesababishwa na nini?

Kama shida ni kutoamini pembe tatu euclidian geometiry Kwa sababu unaamini ni contradictions endelea kujipa muda wa kufikiri lakini uhai umekuwapo kwa nini?
 
Unawajua atheist wote?
Siwajui lakini mwelekeo wao wengi ni supernatural kila kitu kimekuwapo lakini wanashindwa kufahamu ndani ya supernatural ni Mungu muumba wa vyote.
 
Siwajui lakini mwelekeo wao wengi ni supernatural kila kitu kimekuwapo lakini wanashindwa kufahamu ndani ya supernatural ni Mungu muumba wa vyote.
Wengi ni wangapi?

Mimi muelekeo wangu ni super natural au si super natural?
 
Yeyote asiye amini Mungu huamiani super natural akasahau super natural ni Mungu mwenyewe.

Wewe mwelekeo wako niwa supernatural kwa dhana yangu kama upo tofauti niambie nitakushauri maana uelekeo wako siyo mzuri
 
Utafiti unaosema Watanzania laki nne wana ugonjwa wa akili mimi nnaupinga, nnaamini Watanzania wenye matatizo ya akili ni wengi tena wengi sana.
 
Unajuaje kwamba yeyote asiye amini Mungu huamini super natural wakati ushasema huwajui wasioamini Mungu wote?

Mbona swali langu hujalijibu?

Mimi naamini au siamini super natural ?
 
Angalia anae kujibu ni yupi usikurupuke Mimi natumia hoja za kisayansi nilizozifanyia utafiti na bado naendelea kufanya utafiti.
Sikurupuki.... base on your research hakuna vivid example and experiment ulizofanya za hiyo sayansi unayosema.... kwa kifupi unachokiongea hakina tofauti na maneno ya mchungaji au sheikh.... u research is dumb... na wala haitaji 16 yrs kuja na research ya kuduwanzi hivyo. 16 yrs research ingecomeout na kitabu cha page 10000....
 
Chochote kilichosababisha ulimwengu uwepo, chochote kilichosababisha uhai uwepo, si Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Kwa sababu ulimwengu uliopo na uhai uliopo havina logical consistency na Mungu huyo.

In fact ulimwengu uliopo na uhai uliopo vina m contradict Mungu huyo.

Na contradiction inaonesha uongo katika habari.

Hivyo habari ya kuwepo Mungu huyu ni uongo.

Nikikwambia sasa hivi nipo Los Angeles, halafu hapo hapo nikakwambia nipo Dar es salaam muda huo huo, utajua habari hii haijakaa sawa, ina contradiction. Kwa sababu siwezi kuwa sehemu mbili kwa wakati mmoja.

Nikikwambia nina pembetatu ambayo pia ni duara, katika Euclidian geometry, habari hiyo haiyumkiniki. Ni contradiction.

Umeelewa hilo?
Hawezi kukuelewa.... but in quantum mechanics... electron can exist in various points at the same time.
 
Siwajui lakini mwelekeo wao wengi ni supernatural kila kitu kimekuwapo lakini wanashindwa kufahamu ndani ya supernatural ni Mungu muumba wa vyote.
Wht is wrong if they call it supernatural and not Mungu..... na kwanini tuamini Mungu ametuambia tufanye yanayosemwa ambayo yanacontradiction. Mungu wa upande wa waislamu anacontradict na wa upande wa wakristo, budha etc????? What is the consistency in this??? There is a consistency kwenye uumbaji according to ur point of view. Mbona hakuna consistency kwenye kumuelezea Mungu huyo????.
 
Umenielewa vibaya Mungu yupo na kila jambo afanyalo lina makusudi yake Mungu ni mwenye uwezo wote hakuna kinachoweza kumshinda yeye ni Alfa na
Omega
Then so what?? Let say tumeshajua yupo...way forward yake ni nin????
 
Kiwango cha Akili ya binadamu tulucho wekewa haziwezi Kim chunguza Mungu aliye tutengeneza, kuna watu wanasema wanafanya kazi na majini na mashetani, hata watu wamediliki kusema wameonana na shetani, kwa sababu shetani alikuwa huko kama Bible inavyosema basi wamuulize yeye, lakini hawezi kusema ndio maana imani za hakuna Mungu, Mungu jua nk, ni za shetani mwenyewe, kama shetani kushindwa kuwaambia, maana yeye anaitwa baba wa uongo, na alikuwako huko basi ni vigumu sana kujua maana hata yeye ni kiumbe tu hajawai kumuona Mungu, ila vita yake ilikuwa kati ya malaika watiifu na malaika waasi, kiongozi wa malaika watiifu alikuwa Mikael, na waasi shetani, kuufupi kuumbe haziwezi kumchunguza Muumba, na akili ikapata tafasili, Mungu yupo by karibu sana wakati wachunguzi wanaenda mbali kumtafuta , Mungu ni Roho, Roho ni kama upepo,
 
Mkuu waafrika tupo hivi hatupendi kujifunza hatuamini hata yanayowezekana siyo kosa lako

Tunasoma mifumo ya elimu ya Informal kuanzia awali mpaka chuo lazima ni tegemee wengi kama wewe KARIBU KIJANA MLUGO
Ni vema ungejikita katika tafiti za jinsi ya kufanya kilimo kiwe na tija.
Hayo mambo ya kumchunguza mungu yatakufanya uwe mwehu kama Lipumba.
 
Utafiti unaosema Watanzania laki nne wana ugonjwa wa akili mimi nnaupinga, nnaamini Watanzania wenye matatizo ya akili ni wengi tena wengi sana.
Ni kweli.Tatizo ni kubwa ya zaidi tunavyo ambiwa.
Wakati wenzetu wanafanya utafiti wa kutengeneza samsung note 7 watu wengine wanafanya utafiti wa kumchunguza Mungu..
 
Hawezi kukuelewa.... but in quantum mechanics... electron can exist in various points at the same time.
I have been thinking a lot about quantum mechanics, particularly this question. I have yet another quantum mechanics book - "The Quantum Story: A History in 40 Minutes"- to finish before the end of the year just to understand it better. If you have a worthy title please do recommend.

If God has any hope in my heart, it will not come from the Bible, the Dhamapada, the Tripitaka, The Quran, The Tibetan Book of The Dead, The Egyptian Book of The Dead, The Bhagavad Gita, The Upanishads - all of which I have read from cover to cover and dismissed. God in the context of an omniscient, omnipotent and omni benevolent godhead- . God will have to come from Quantum Physics or its derivative Grand Unifying Theory -in a sense that transcends unifying Relativity and Quantum Physics and ventures into unifying God and Science in a way that will make us understand God's mind as per the closing sentences of Professor Stephen Hawking in "A Brief History of Time: From The Big Bang To Black Holes". The last bastion of restoring this confidence is Science, even as one needs faith to pursue science.

Your succinct post shows you are learned. At least to the extent of knowing that we are still challenged by logical contradictions in science. But it does not show that these challenges are inherent or simply due to the poverty of our minds.

I respect learned people. I respect anybody who dare to discuss quantum mechanics.

From Heisenberg, particularly the Uncertainty Principle, what I have gathered is that it is not so much that electrons and similar particles can be -some say must be- at more than one position at any particular time, as it is that we do not have the capacity to accurately measure both the position x and momentum p of a particle.

In other words, it is quite possible that the particles have definite position, we just do not have precise enough tools to measure both the particles' position and momentum at the same time.

On that note, I have observed that even in the much simpler question of optics, we cannot focus on the foreground and background.

I read some 7 years ago, and this needs scholarly verification, that the Uncertainty Principle was not caused by some inadequacy in our measurement or tools, that it was an inherrent fact of our universe.

That could very well vindicate contradiction.

But to quote Albert Einstein, "God does not play dice".

A probabilistic universe in which uncertainty sits at the base, quite part from vindicating a godhead by way of allowing contradiction, would actually prove further that God does not exist and the entire charade is a product of things that are infinitely more comolex than the entire God idea.

Maybe God needs a God. His God needs a God. His God's God need a God, ad infinitum, ad nausea.

In a way that the word and idea of God is reduced to a very small wheel in an almost infinite machine.

I haven't even touched on "spooky action at a distance" also known "Quantum Entanglement", which would make two distinct electrons act as one.

How do you say one electron can be at two different places if you cant even show that one electron cannot act like two electrons with the same characteristics at two different places?

See NIST Team Proves 'Spooky Action at a Distance' is Really Real

CC Kikwajuni One The Transporter always am a Winner UHURU JR impongo
 
Hakuna nilipo rahisisha hoja yangu on ukweli usiopingika Mungu yupo na vitu vingi vipo wazi hakuna anayeweza kukataa akaleta ushahidi wa ushindi wake ktk imani anayoaamini hata wewe unasadikisha hakuna uhakika na unachosema Pole sana Mungu yupo Mimi sihubiri siyo mchungaji naongea uhalisia.

Mlipuko wa Big bang Uliiacha Dunia na joto kari sana kusingewezekana kuwepo uhai wa asili (super natural) kwa joto lililokuwa likikadiriwa ilifika 4,500,000° ambalo mpaka Leo Dunia imepoa inje na sehemu za ndani bado ni joto kari.

Miale ya Jua (sun) yenye sum kari iliweza kufika ktk sayari ya Dunia bila kizuizi chochote uwezekano wa hewa mgando ya ukanda haukuwepo.

Nini kilipoza Dunia?

Nini kilianzisha oxygen?

Nini kilianzisha hewa ya ukanda kukinga Dunia na miare sumu ya Jua?

Nini kilianzisha uhai?

Unaufahamu Ulimwengu?
U ask those questions... embu jiulize when u die na kuoza... funza wanatoka wapi???? Kama nikitumia mfano wa funza naweza pia kusema binadamu wa kwanza huenda aliibuka from something...
 
Back
Top Bottom