Ukweli wa watu wengi kufilisika

Kibongo bongo Ukitaka ufanikiwe,
Fanya biashara na wenye hofu ya Mungu,
Hasa wavaa kobazi, wazee wa swala tano.
Hasa wazanzibari,wasomali au waarabu
Kiukweli tangu nmefanya nao kazi sijawahi kujuta[emoji4][emoji1431]
Hii imekaa kidini dini sana.

Je Rastafarians, Hinduism, Buddhism Paganism na Christians wote si waaminifu?

Dini na ustaarabu ni vitu viwili tofauti maana kuna mashetani waliojificha katika kushika sana dini ilihali ndani ya roho zao ni mmbwamwitu.

Hekima ni kipaji alichozaliwa nacho Mtu (gift) wala si vinginevyo.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Kweli hapo umenena kesi za madai n kero tupu
 
WaBongo uvumilivu ni sifuri,
Ndo maana biashara nyingi za partnership zinafeli, biashara bado changa ndo Kwanza imechanganya, tamaa inawaka wanataka waanze kugawana faida.

Naona ish n kutoaminiana
 
Kibongo bongo Ukitaka ufanikiwe,
Fanya biashara na wenye hofu ya Mungu,
Hasa wavaa kobazi, wazee wa swala tano.
Hasa wazanzibari,wasomali au waarabu
Kiukweli tangu nmefanya nao kazi sijawahi kujuta[emoji4][emoji1431]

Lakn watanzania weng wanahofu ya mungu
 
Kama ni lazima na muhimu kutoa pesa kwa mtu, bora hiyo pesa uiite msaada utabaki na amani rohoni.
Ila ukiita mkopo utabaki na maumivu ndani ya nafsi na kujenga uhasama usiokuwa wa lazima.

Sahihi kbsa toa kitu ambacho itakua rahs ww kukireplace
 

Una experience kubwa sana mm sna mkopo kwa kweli kwa sasa wateja walishanipiga
 
WATU WENGI WANAFILISIKA KWAKUWA WANAANZA KUWA NA VIGHARAMA VYA KIJINGA ETI UNAKUTA BOSI KANUNUA TOILET PAPER WAKATI KIPINDI ANA PESA ALITUMIA MAJI KUCHAMBA
 
Kufilisika ni mentality tu kwamba kamwe hautawahi kufilisika[emoji276]mfanyabiashara inabidi kila siku upambane kama vile unafilisika kesho
 
Kibongo bongo Ukitaka ufanikiwe,
Fanya biashara na wenye hofu ya Mungu,
Hasa wavaa kobazi, wazee wa swala tano.
Hasa wazanzibari,wasomali au waarabu
Kiukweli tangu nmefanya nao kazi sijawahi kujuta[emoji4][emoji1431]
Ndio maana mchungaji kimaro amewasifia na watu wakampinga kumbe ni kweli bwana.
 
Uzi tayari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…