Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Hii imekaa kidini dini sana.Kibongo bongo Ukitaka ufanikiwe,
Fanya biashara na wenye hofu ya Mungu,
Hasa wavaa kobazi, wazee wa swala tano.
Hasa wazanzibari,wasomali au waarabu
Kiukweli tangu nmefanya nao kazi sijawahi kujuta[emoji4][emoji1431]
Je Rastafarians, Hinduism, Buddhism Paganism na Christians wote si waaminifu?
Dini na ustaarabu ni vitu viwili tofauti maana kuna mashetani waliojificha katika kushika sana dini ilihali ndani ya roho zao ni mmbwamwitu.
Hekima ni kipaji alichozaliwa nacho Mtu (gift) wala si vinginevyo.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app