Ukweli wa watu wengi kufilisika

Ukweli wa watu wengi kufilisika

Kibongo bongo Ukitaka ufanikiwe,
Fanya biashara na wenye hofu ya Mungu,
Hasa wavaa kobazi, wazee wa swala tano.
Hasa wazanzibari,wasomali au waarabu
Kiukweli tangu nmefanya nao kazi sijawahi kujuta[emoji4][emoji1431]
Hii imekaa kidini dini sana.

Je Rastafarians, Hinduism, Buddhism Paganism na Christians wote si waaminifu?

Dini na ustaarabu ni vitu viwili tofauti maana kuna mashetani waliojificha katika kushika sana dini ilihali ndani ya roho zao ni mmbwamwitu.

Hekima ni kipaji alichozaliwa nacho Mtu (gift) wala si vinginevyo.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mtu asiye muaminifu
Ni wa kumuepuka sn ktk utaftaji wako

Hata muandikishane mikataba lukuki,
Muhun Ni muhuni TU,akishadhamilia kukudhulumu lazima atakudhulumu TU.

Pia kuendesha kesi za madai Hizi mahakamani zetu utajikuta unapoteza Muda na pesa zaidi ya hizo ulizodhurumiwa.

Kweli hapo umenena kesi za madai n kero tupu
 
WaBongo uvumilivu ni sifuri,
Ndo maana biashara nyingi za partnership zinafeli, biashara bado changa ndo Kwanza imechanganya, tamaa inawaka wanataka waanze kugawana faida.

Naona ish n kutoaminiana
 
Kibongo bongo Ukitaka ufanikiwe,
Fanya biashara na wenye hofu ya Mungu,
Hasa wavaa kobazi, wazee wa swala tano.
Hasa wazanzibari,wasomali au waarabu
Kiukweli tangu nmefanya nao kazi sijawahi kujuta[emoji4][emoji1431]

Lakn watanzania weng wanahofu ya mungu
 
Kama ni lazima na muhimu kutoa pesa kwa mtu, bora hiyo pesa uiite msaada utabaki na amani rohoni.
Ila ukiita mkopo utabaki na maumivu ndani ya nafsi na kujenga uhasama usiokuwa wa lazima.

Sahihi kbsa toa kitu ambacho itakua rahs ww kukireplace
 
Ili kuepuka kufilisika
Pia epuka biashara yako tabia ya kuwakopesha sana wateja.

Yaani
Kuwakopesha wateja iwe Ni kwa dharula TU na wasijenge mazoea. Maana wateja wakikuzoea unakopesha kirahisi utashangaa kwa wengine wanalipa cash,wakija kwako ndo wanakukopa.

Pia epuka kumkopesha mteja kavukavu,
Lazimisha kwanza Alipie nusu au robo tatu, afu nyingine inayobaki ndo adaiwe.

Pia hiyo inayobaki unamdai jitahidi iwe ni sehemu ya faida yako,ili asipolipa Deni lake, ihesabike hujapata faida Wala hasara.

Bali pesa aliyokupa unaenda kununua mali nyingine na kuendeleza mzunguko wako.

Pia kumbuka
Kwenye biashara kukopesha kopesha Sana Ni kuwafukuza wateja, akikamia kumdai Sana mteja mnagombana na unajichafua.

Na wateja wakishakujua kwenye madeni unakamia sana,utashangaa hata usiwadai wanakuhama[emoji4]

Una experience kubwa sana mm sna mkopo kwa kweli kwa sasa wateja walishanipiga
 
WATU WENGI WANAFILISIKA KWAKUWA WANAANZA KUWA NA VIGHARAMA VYA KIJINGA ETI UNAKUTA BOSI KANUNUA TOILET PAPER WAKATI KIPINDI ANA PESA ALITUMIA MAJI KUCHAMBA
 
Kufilisika ni mentality tu kwamba kamwe hautawahi kufilisika[emoji276]mfanyabiashara inabidi kila siku upambane kama vile unafilisika kesho
 
Kibongo bongo Ukitaka ufanikiwe,
Fanya biashara na wenye hofu ya Mungu,
Hasa wavaa kobazi, wazee wa swala tano.
Hasa wazanzibari,wasomali au waarabu
Kiukweli tangu nmefanya nao kazi sijawahi kujuta[emoji4][emoji1431]
Ndio maana mchungaji kimaro amewasifia na watu wakampinga kumbe ni kweli bwana.
 
Habari guys

Kuna kitu watu wengi huwa hawakisemi ila kwa utafiti wangu na bado najiulza kwanini watu huwa hawakisemi
KUFANYA KAZ KWA KUAMINIANA AU MAKUBALIANO

Unafanya biashara na watu unawapa pesa kisa unawaamnin no contract itakufanya uhisi unamikosi kila sku maana utavuna maumivu na itakupa shida kudai haki yako mdaiwa hafungwi kumbuka

ONGEZEN ZINGINE TUZID KUJIFUNZA
Uzi tayari...
 
Back
Top Bottom