Akili huna!Kwahiyo ukiwa Uvccm hairuhusiwi kuwa muumini wa Kanisa katoliki?
🤣 umemalizaKwahiyo ukiwa Uvccm hairuhusiwi kuwa muumini wa Kanisa katoliki?
Unaruhusiwa kabisa kuwa mkatoliki na uvccm.Kwahiyo ukiwa Uvccm hairuhusiwi kuwa muumini wa Kanisa katoliki?
Hivyo hivyo mkuu, wana hoja za kitoto sana, wanadhihirisha udini wao na waliyoficha ndani ya vifua vyao makubwa zaidi1. Ukiwa ccm hauruhusiwi kuwa RC?
2. Au tuamini ya kuwa RC ni tawi ndani ya chadomo
mkatoliki gani huyo?Hivyo hivyo mkuu, wana hoja za kitoto sana, wanadhihirisha udini wao na waliyoficha ndani ya vifua vyao makubwa zaidi