CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Nilisema mimi hawa ni uvccm na Bakwata kwa udhamini wa Mwigulu Nchemba
Kwahiyo ukiwa Uvccm hairuhusiwi kuwa muumini wa Kanisa katoliki?
Unalinganisha ukatoliki (dini) na ufuasi wa chama?..hawezi kuwa katibu uvccm na mkatoliki kwa wakati mmoja!?..akili gani hizo!?Wakuu,
Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.
Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.
Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?
Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION mlimuamini vipi mkampa hadi nafasi ya kuzungumza kwenye propaganda yenu?
Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha namna hii
ONilisema mimi hawa ni uvccm na Bakwata kwa udhamini wa Mwigulu Nchemba
Tunatofautishaje uccm wake na ukatoliki. Akili.zako zimejaaa kinyesiKwani Ccm haina wakatoliki? Au Ccm ni dini, Nyumbu hamna akili na wewe umeona hii ni hoja ya maana sana kuileta.
Kweli nyumbu ni chakula cha mamba
Dr. Mwigulu Nchemba unaona unavyozidi kuumbuka, kila ukipanda jukwaani domo lako linatoa mashudu na mipango unayopanga gizani ikija nuruni inakuvua nguo, wewe ni failure kila unalopanga linagalambuka, shame on you !!!Wakuu,
Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.
Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.
Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?
Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION mlimuamini vipi mkampa hadi nafasi ya kuzungumza kwenye propaganda yenu?
Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha namna hii
Mama Ako alizaa debe tupu,watu wengi humu jf wanakupuuza Kwa utaahira ambao huwa unaandika ila Mimi Leo nimeamua kukujibu Kwa busara na hekima angalau na wewe uonekane mtu katika watuUnalinganisha ukatoliki (dini) na ufuasi wa chama?..hawezi kuwa katibu uvccm na mkatoliki kwa wakati mmoja!?..akili gani hizo!?
Mbona lissu ni mkatoliki na mwenyekiti chadema?
Anaogopa akichagua mtu smart kichwani atamu-outshine hivyo anachagua wanaomzidi ukilaza.Yaani Mwigulu ana akili ndogo kiwango hiki? Ule wizi wake wa mitihani akiwa chuo kikuu, bado anaamini anaamini kuendesha maisha yake kwa njia fake zilezile? Mkuu wake below average IQ, unamteua msaidizi ambaye naye ni below average, atakusaidia nini!!
O
Hilo jina Michael lenyewe kalimtaka kama lilivyoandikwa kwa kiswahili🤣Wakuu,
Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.
Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.
Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?
Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION mlimuamini vipi mkampa hadi nafasi ya kuzungumza kwenye propaganda yenu?
Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha namna hii
Umeona reactions!?... sasa turudi ujibu hoja, maana hao wengi wanaonipuuza hukuwafanyia sensaMama Ako alizaa debe tupu,watu wengi humu jf wanakupuuza Kwa utaahira ambao huwa unaandika ila Mimi Leo nimeamua kukujibu Kwa busara na hekima angalau na wewe uonekane mtu katika watu
Kwani Ccm haina wakatoliki? Au Ccm ni dini, Nyumbu hamna akili na wewe umeona hii ni hoja ya maana sana kuileta.
Kweli nyumbu ni chakula cha mamba
Si imeelezwa hata dini yake siyo mkatoliki...waliodanya huu ujinga wana akili kama zakoUnalinganisha ukatoliki (dini) na ufuasi wa chama?..hawezi kuwa katibu uvccm na mkatoliki kwa wakati mmoja!?..akili gani hizo!?
Mbona lissu ni mkatoliki na mwenyekiti chadema?
Uelewa wenu ni shida aisee!!..'watu wengi wanakupuuza'. Naweka ushahidi kuwa sipuuzwi unakuja na hoja ya kijingaMkuu hujawahi kuona Chizi anapigiwa makofi barabarani?
CCM bwana
Hawezi kusema Michael anasema Michaeli. Angetamka MIKAELI kwa kiswahili au MAIKO.Eti tunamshtaki askofu Luwacha , yaani huyo nyang'au hajui hata askofu wake anaitwa Ruwa'ichi na sio Luwacha.