Ukweli wazidi kujulikana. Dada aliyejitambulisha kama Mkatoliki ni Katibu wa UVCCM Tawi la Dovya

Ukweli wazidi kujulikana. Dada aliyejitambulisha kama Mkatoliki ni Katibu wa UVCCM Tawi la Dovya

Kama huyu ni katibu yupo hivo pata picha hao anaowaongoza wapo vipi

Kweli huko sisiemu hakuna mwenye akili kuanzia mwenyekiti mpaka katibu wa tawi
 
Hivi huko UVCCM na CCM kwa ujumla? inakuaje kanisa lao linadhalilishwa kiasi hiki na wao kubaki kimya kama si kuhusika kulifedhehesha kanisa lao? misheni mbovu zinapangwa na wao wamo humohumo hawa react, ni umasikini wao au ni kulinda vibarua vyao?
 
Leo mmevuka "RED LINE". Hivi katibu wa UVCCM hawezi kuwa MKATOLIKI? Au mwana CCM hawezi kuwa mkatoliki? Au mkatoliki mpaka awe na degree ndio aweze kutoa maoni yake. Sadaka zao wote mnazitaka na kuzipokea kila j,pili, bila ya kujali kama anaweza kuandika au sio.
Acheni ubaguzi, au mnaonyesha sura yenu kamili.-Ubaguzi ni hatari, tena mnabaguana wenyewe kwa wenyewe. Na hapa nataka wakatoliki wote walilaani hili kwa nguvu zote.
Mnachotaka ni kumteka huyo dada, na kuwalaumu wengine. Huyu dada ana haki ya kutoa maoni yake hata kama hajasoma. Tahadhari: bado ana haki ya kuhudhuria kanisani bila kunyanyaswa, kutukanwa wala kufedheheshwa. Tunafuatilia kwa makini.
Wakatoliki hawawezi kumnyanyasa huyo binti
Wakatoliki wanajali sana haki, sio amani pekee
 
Kanisa langu haliwezi kufedheheshwa namna hiyo na mimi nimo ndani ni lazima nitibue huo mpango haraka sana. Hao wakatoliki wa ccm akili zao zikoje?
 
Acha uongo- Hivi wakatoliki wangapi wanalifahamu jina la Papa. Hipa nilipo kazini wapo wakatoliki watano, nimewauliza jina la Papa ni wawili tu ndio wamelifahamu. Wengine wakajibu, la muhimu ni kufahamu tu kiongozi mkuu wa ukatoliki duniani ni Papa.
Huna akili unajibunia tu ujingaz!
 
Amani ya nchi hii imo mikononi mwa wakatoliki aisee, ingekuwa kobazi wanafanyiwa michezo hii wangetembeza bakora na majambia wale wehu, wasingevumilia dini yao kuchezewa kishenzi namna hii
 
Hivi huko UVCCM na CCM kwa ujumla? inakuaje kanisa lao linadhalilishwa kiasi hiki na wao kubaki kimya kama si kuhusika kulifedhehesha kanisa lao? misheni mbovu zinapangwa na wao wamo humohumo hawa react, ni umasikini wao au ni kulinda vibarua vyao?
Mkuu haya yote yanatokana na ulichoandika hapo chini mwisho kwenye post yako.

Hakuna kingine.
 
Wakatoliki hawawezi kumnyanyasa huyo binti
Wakatoliki wanajali sana haki, sio amani pekee
Akinyanyaswa tutamsikia, pengine kama akitolewa roho yake. Sina mawasiliano naye ila nitafuatilia kwa karibu na kujaribu kupata mawasiliano naye. Nimelichukulia hili swala kwa umakini mkubwa. Imeniudhi sana hoja za mtoa Uzi, tena nimesikitishwa sana.
 
Chama mbona kinafanya mambo ya kitoto hivi?
 
Acha uongo- Hivi wakatoliki wangapi wanalifahamu jina la Papa. Hipa nilipo kazini wapo wakatoliki watano, nimewauliza jina la Papa ni wawili tu ndio wamelifahamu. Wengine wakajibu, la muhimu ni kufahamu tu kiongozi mkuu wa ukatoliki duniani ni Papa.
Ndio maana mnaonekana wapumbavu tu Kwenye Misa za kikatoriki Kila Jumapili lazima jina la papa na Jina la askofu mkuu wa Jimbo kuu yatajwe, Sasa hao waumini hawasaligi mpaka kushindwa kujua majina ya hao watu muhimu katika ukatoriki?.
 
Wakuu,

Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.

Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.

Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?

Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION mlimuamini vipi mkampa hadi nafasi ya kuzungumza kwenye propaganda yenu?

Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha namna hii

Rip Ruge.....'Ogopa Mungu na teknolojia.'
 
Alishindwa pia kutamka jina la Askofu anayemshtaki na Papa anayempelekea mashtaka. Sasa sijui kama hata anajua anachokilalamikia. Hakuna mkatoliki asiyejua kutamka jina la askofu wa jimbo lake, hata watoto wadogo wa Utoto mtakatifu, labda kama ni mkatoliki jina tu na awe alienda kanisani mara ya mwisho alipopata kipaimara miaka kadhaa iliyopita na hajakanyaga tena. Askofu huwa anaombewa kwenye kila misa, anatajwa kwa jina lake, na kama askofu ana msaidizi ama wasaidizi pia wanatajwa kwa majina yao. Papa pia anatajwa kwa jina lake kwenye kila misa. Kutokana na hii majina huwa yanabaki kwenye kumbukumbu na unajua namna ya kuyatamka. Tukiacha code nyingine za kikatoliki ssiyejua majina ya Paroko, Askofu wa jimbo lake na Baba Mtakatifu....huyo ni mkatoliki wa mchongo. Hakuna mkatoliki anayeweza kufanya press kumlalamikia hata katekista. Acheni kulitesa kanisa.
 
Back
Top Bottom