Ukweli wazidi kujulikana. Dada aliyejitambulisha kama Mkatoliki ni Katibu wa UVCCM Tawi la Dovya

Ukweli wazidi kujulikana. Dada aliyejitambulisha kama Mkatoliki ni Katibu wa UVCCM Tawi la Dovya

Eti reactions 😂😂,umepuyanga huko kote umeamua uje na hiki kigezo!!!?? Nakufananisha na amber ruti akiwa Facebook huwa anapata comments hata laki na likes za KUTOSHA Kwa post Moja ila maudhui yake unayajua na wafuasi wake unawajua!!??😂😂
Meaning sijapuuzwa na wengi kama ulivyodai
 
Hivi ni kweli hamna akili timamu au ni maslai Fulani tu au ni mkumbo wa kidini , kikanda au ni kujifyatua akili tu?
Akili ni nini kwenye muktadha huu mkuu!!?
Kukubaliana na msimamo wa heche na hivyo chadema kwamba ije jumuiya ya kimataifa itutawale kwa muda?..au natakiwa kukubaliana na nyinyi kwamba walioenda ubalozi wa Vatican,wakafunguliwa milango,wakasikilizwa ni kweli si wakatoliki sababu nyinyi mmesema hivyo?
 
Bila kuingilia mada,

kwani Katibu wa UVCCM - hawezi kuwa mkatoliki?​

Anaweza akawa, ila si hawa tuliowaona....Hawajui vigango vyao, hawajui maparoko wao, hawajui nyimbo za wakatoliki ambazo zinatumia nota, wao wanaimba mapambio.....Katoliki hakuna mapambio, hao wenye akili fupi hakuna hata mmoja hapo ni mkatoliki yule wa kubatizwa....Ni wahuni walioletwa na huyo mhuni Mwigulu Madelu Nchemba. Huyo waziri mkuu wenu ni wa ovyo mno hajui chochote...cheti amefoji, jina si lake, ubunge wameiba wakishirikiana na mama yao bi KIDUDE KIZIMKAZI. Wameaibika hasa!
 
Kuwa Katibu/Mwenyekiti wa Chama hakumuondolei mtu Dini yake. Wahusika watatue matatizo yanayo wakabiri kuwa CCM au Chadema hakuondoi Imani ya watu kwenye Dini zao.
 
Akili ni nini kwenye muktadha huu mkuu!!?
Kukubaliana na msimamo wa heche na hivyo chadema kwamba ije jumuiya ya kimataifa itutawale kwa muda?..au natakiwa kukubaliana na nyinyi kwamba walioenda ubalozi wa Vatican,wakafunguliwa milango,wakasikilizwa ni kweli si wakatoliki sababu nyinyi mmesema hivyo?
Heche na chadema ni Nan ? Ndugu zetu wamepotea kizembe heche ni nan?

Unahisi kila anaepinga huo uozo anamjua sijui heche?
 
Wameshindwa hata kutengeneza igizo lionekane la kuvutia.
Sababu igizo limesimamiwa na vilaza matokeo yake ndio haya mpaka wameshindwa kuwapanga wabadili nguo kulingana na tukio
20260106_060525.jpg
20260106_060522.jpg
20260106_060525.jpg
 
Heche na chadema ni Nan ? Ndugu zetu wamepotea kizembe heche ni nan?

Unahisi kila anaepinga huo uozo anamjua sijui heche?
Wamepoteaje kizembe?..kwenda kufanya fujo siku ya uchaguzi?..Ili,pasiwe na serikali siyo!?..huko ni kuvuruga uchaguzi siyo?..na unataka tuamini kwamba hujui hilo linatokana na nrne?
 
Nchi ina mambo kitoto halafu ajabu yanafanywa ni mijitu mikubwa!
 
Wamepoteaje kizembe?..kwenda kufanya fujo siku ya uchaguzi?..Ili,pasiwe na serikali siyo!?..huko ni kuvuruga uchaguzi siyo?..na unataka tuamini kwamba hujui hilo linatokana na nrne?
Acha ujinga wewe , tumefiwa na ndugu zetu wapo zao majumbani , usicheze na hasira za watu kabisa na ujambazi wa kihuni uolifanyika

Kwa akili yako raia wa kawaida anawezaje choma sheli wewe? unajua huo mlipuko wake?
 
Wakuu,

Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.

Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.

Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?

Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION mlimuamini vipi mkampa hadi nafasi ya kuzungumza kwenye propaganda yenu?

Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha namna hii

Hahaha hata anachozungumza hakieleweki
 
Kwahiyo mtu hawezi kuwa mkatoliki na kuwa CCM simultaneously? Mpango alikua dini gani? Nchimbi ni dini gani? Nyerere? Magufuli? Mhagama? Siwatetei ila kuwa CCM sio sababu ya kutokuwa mkatoliki. Tumieni akili.
 
Akinyanyaswa tutamsikia, pengine kama akitolewa roho yake. Sina mawasiliano naye ila nitafuatilia kwa karibu na kujaribu kupata mawasiliano naye. Nimelichukulia hili swala kwa umakini mkubwa. Imeniudhi sana hoja za mtoa Uzi, tena nimesikitishwa sana.
You're just being dramatic 🚮
 
Wakuu,

Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.

Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.

Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?

Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION mlimuamini vipi mkampa hadi nafasi ya kuzungumza kwenye propaganda yenu?

Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha namna hii

Dada yake na Troll JF
 
Back
Top Bottom